//dubzenom.com/4/6756542
Gonga94 Inazungumza
Lengo letu kusaidia kuinua vipaji kila leo gonga94 tumejitolea kwa dhati ya moyo kusaidia vijana wenye vipaji kwa kuwapa nafasi ya kuonekana kwa jamii kwa kuwa sisi tuna aminika zaidi basi itakuwa rahisi kwa msanii mchanga kuonekana na jamii mpya kila siku pia kama wewe mdau mwenye mawazo na mtazamo kama sisi basi usisite kuwasiliana nasi kwa mawasiliano hapo chini ongea na moja kati ya team yetu.
CEO and Founder
ommykhn@gmail.com
Co-Founder
Husnahusen@gmail.com
Morogoro Tanzania
muziki@gonga94.com