Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

DEAR DOCTOR 01

23rd Jun, 2025 Views 104



Naitwa Sajda ni mtoto wa tatu na wa mwisho kuzaliwa , nipo mm na dada zangu wawili Nilivyomaliza kidato cha nne tu nikawa nimefeli hivyo sikubahatika kuendelea na masomo.

Ila dada zangu wawili mmoja alikuwa yupo elimu ya juu chuo kikuu na mwingine aliajiriwa na kuolew anaishi na mume wake huko dar.

Nilipata masimango kila mahali nitakapokanyaga baba na mama walikuwa wanafanya kazi ya kunisema tu.
Niliyachoka yale maisha nikawasiliana na dada ili niende kuishi kwake dar ata nitafute kitu Cha kujishikiza nifanye .
Nilivyoongea naye alikubali akanitumia nauli haraka nilijipanga na safari nikaenda dar.

Nilifika stendi usiku nilimkuta shemeji yangu amekuja kunipokea.
Kwa kuwa alikuwa anakujaga nyumban nilimtambua haraka nilivyomuona.

Nikamuita Shemu aligeuka na kuniona mm ndie ninayemuita.
Sajdat enhe umekuwa mkubwa jamani hadi raha pole na safari......
Asante shemeji shikamoo .....

Enhe mke tena anamsalimia mume umeona wapi , kwanza usinizeeshe mimi unataka kuninyima nini?.....

Maneno ya shemeji yalinishangaza huyu mtu mzima na yeye vipi kuniambia maneno kama haya nilimpotezea tu nikajua watu wa dar ndio hulka yao .

Alichukua mizigo yangu akaniongoza hadi kwenye gari akanifungulia mlango nikapanda tukaanza safari ya kuelekea nyumban.

Vipi huko utokako wanaendeleaje? Shemeji aliniuliza
Tuko salama tu sijui nyie huku halafu kuna joto sana huku kwenu?......
Ndio wenyewe tumeshazoea wageni ndio mnapata tabu .

Tulipiga story za hapa na pale tukafika nyumban kwao.
Tulishuka kwenye gari tukasaidizana kubeba mizigo tukaingia ndani.

Nilimkuta dada yupo seblen amekaa nilifurahi nilivyomuona nilimkimbilia na kumkumbatia.
Hatujaonana kitambo sana karibia miaka mitatu.

Nilikuta nishaandaliwa chakula nilikula nikaonyeshwa chumba changu nikaenda kupumzika.

Nilidamka asubuhi na mapema maana nilishazoea kule kwetu tunduma kuamka asubuhi kisha naanza kufanya usafi.
Nilitoka nje nikanawa nililiona fagio la uwanja nilichukua nikaanza kufagia.

Mara Shem alitoka nje akiwa na taulo tu akanikuta nafagia uwanja nilimsalimia lakini hakuitikia salamu yangu .
Mbona umeamka mapema hivi Sajda ?....Shemeji aliniuliza
Hamna shemu mm nimeshazoea kuamka asubuhi na mapema kufanya kazi ......

Sawa ila usiwe unaamka mapema sana bhana kwani umekuja kufanya kazi huku hayo mambo mwisho chalinze huku kwetu hatuna hayo mambo nenda kapumzike .
Sawa shemeji ngoja nimalize kufagia basi.
Shemeji aliondoka mimi nikaendelea kufagia uwanja.

Dada alitoka nje akanikuta nafagia akaniachia maelekezo yeye anaenda kazin atarudi jioni saa kumi hivyo nimuandae mtoto wake gari la shule litakuja kumpitia saa moja kamili.
Dada aliniaga akaondoka mimi nikaenda ndani kumuamsha mtoto wa dada ambaye anasoma darasa la pili.

Nilimuandaa mida ya saa moja alikuwa tayar gari la shule lilikuja kumchukua akaondoka.
Nilikuwa mgeni lakin kama mwenyeji dada yangu alikuwa ni mvivu sana.

Niliingia jikon nikaanza kuosha vyombo mara shemu alikuja.
Shika hela ya matumiz hii utapika chakula chochote kile .........

Shemeji sokoni mi sipafahamu inakuwaje? .
Itakuj piki piki kukuchukua sawa mi naenda dukani.
Shemeji aliondoka na kwenda kweny mishe zake .
Shemeji yeye alikuwa anasimamia duka la vifaa vya ujenzi.

Mida ya mchana pikipiki ilikuj kunichukua nikaenda sokoni nilinunua vitu nikarudi nyumbani nikapika chakula .
Baada ya kumaliza nilipumzika seblen nikawa naangalia tv tu.
Geti liligongwa nikaenda kufungua nilimkuta shemeji.

Niandalie chakula haraka nirudi tena dukani.......

Nilienda jikoni nikamuandalia chakula nilimtengea nikaenda zangu nje kukaa.
Nikiwa nje shemeji aliinita , nilimuitikia nikaingia ndani.
Vipi ww huli ?..... Shemeji aliniuliza
Ndio sihisi njaa nitakula baadae tu ......
No hebu nawa uje tule wote hiki chakula kingi mm kukimaliza siwez......

Hamna shemeji we kula tu ukishib nitakula mm baadae......
Nilijitahidi kukataa lakin alinilazimisha ikabidi tu ninawe nile.
Nilikuwa naona aibu sana sikula hata vizuri lakini ghafla shemeji alishusha mkono wake akanigusa kwenye mazi😳😳😳a ,

Nilishtuka kwa uoga wa hali ya juu nikanawa mikono yangu bila kupenda ili niinuke tu hapo.
Vipi mbona umenawa mapem hivyo?..... Shemeji aliniuliza
Nimeshiba shemeji.....

Shemeji alinawa akaniambia nitoe vyombo, nilivitoa nikaenda jikoni nikajidai naviosha vile vyombo ili tu aondoke.
Lakini alikuja hadi jikoni akaja nyuma yangu akaanza kunipss🥺🥺🥺
Shemeji tafadhali naomba uniache la sivyo nitapiga kelele.........

Niliongea hivyo baada ya kupatwa na wasi wasi.
Upige kelele kwani wewe ni mgeni wa haya mambo au naomba unisikilize ombi langu mm ninatakadada yako ananinyima nimejitahidi kwa kila namna lakin imeshindikana....
Sasa si uende ukatafute mtu mwingine nje kwani lazima ulale na mm huoni kama nitamkosea dada yangu heshima ......

Nilimjibu hivyo na kutoka jikoni lakini shemu alinishika kwa nguvu akafunga mlango wa jikoni alianza kuchana nguo zangu nilijitahidi kwa kila hali kujitoa mikononi mwake lakini nilishindwa kwa kuwa yeye alikuwa na nguvu kunishinda mimi, kingine alikuwa kama mnyama yani mda huo.

Alifanikisha kunidondosha chini nikapigiza kichwa kwenye sakafu nikajikuta nahisi kizungu zungu.

Alichana nguo yangu akaniingiza vid😓le kwenye 🤐😓😓wa nguvu , nilihisi maumivu makali sana .

Nilitaka kupiga kelele aliniwahi na kuniziba mdomo.
Unajidai nn hata bk huna mi nikajua unayo hivi unafikiri mjini kuna maisha mazuri tu huku kama unataka kukaa huku ukubaliane na yote.....

Shemeji alifungua zipu ya suruali yake akatoa...... wake akaanza kuniwekea kwangu .

Nilijitahidi kuomba kwa Mungu aniachie , mara honi ilisikika nje ya gari .

Alichukia sana baada ya kusikia honi ya gari.
Pumbavu yaan huna bahati mjinga wewe .....
Shemeji alivaa haraka akatoka nje akapitia mlango wa nyuma na kuondoka.

Niliinuka huku nikiwa na maumivu makali sana nilifuta machozi yaliyokuwa yananitoka nikaenda chumbani kuchukua khanga nilijifunga nikatoka nje.
Nilifungua geti nilikuta mtoto wa dada karudishwa toka shule.

Tumegonga mda mrefu sana dada yake na ilham....
Nilikuwa na kazi samahani kwa kuwachelewesha

Sawa ilham bye.......
Ilham aliagana na matron wao si tukaingia ndani nilimuandalia chakula akala mimi nikaenda chumbani

Nilijilaza kuugulia maumivu yangu nilimfikiria sana shemeji kitendo alichonifanyia.

ITAENDELEADEAR DOCTOR 02👨‍⚕️❤️

Nililala hadi mida ya jioni saa kumi aliporudi dada toka kazin.
Niliamka nikaenda seblen nikamkuta dada .

"Shikamoo dada"
"Marahaba vipi kulala mchana wote huu unaumwa au ndio umechoka na safari?"

"Ndio dada nahisi uchovu na safari ".
Niliamua kumdanganya sikutaka kumwambia ukweli wowote ule dada nilimuhofia shemeji pamoja na ndoa yao nisije kuivunja.

"Ok sasa kazi gani wewe unayotaka kuifanya maana umefeli kidato Cha nne na ajira ni ngumu sana?" Dada yangu aliniuliza
"Sijajua dada naomba nisaidie nipate hata kazi tu".

"Sawa ngoja niongee na shemeji yako anajuana na watu wengi tu atakutafutia naomba uniandalie chakula nile nina njaa sana vipi umemuogesha mtoto?" .

"Hapana sijamuogesha dada nilijua anaoga mwenyew".
Ndio malezi gani haya dada anayomlea mtoto wake , mtoto mkubwa hivi bado anaogeshwa ngoja niachane na maisha yao watajua wenyewe.

Nilienda kumuandalia chakula alikula akaacha vyombo hapo hapo hata hakuvitoa.
Ilinilazimu nikavitoe mm mwenyew nikaenda kuviosha.
Mara dada alikuja jikoni, akanikuta ninaviosha vyombo.

Dah yan Sajda nakushukuru yan hapo vyombo vingekaa hata siku mbili dada aliongea
Siku mbili dada kivipi si uchafu huo? Nilimuuliz

"Nakuwa bize na kazi yaani Kuna muda mwingine nachelewa kurudi inanilazimu mtoto kubaki shule hadi mda ninaorudi kazini ndio nampitia , siku nyingin napata shift ya usiku".

Nilishtuka nilivyosikia hadi usiku siku nyingin anaendaga kazini nilihisi kuchanganyikiwa kama leo tu nimenusurika na ni mchana hivi usiku si ndio nitab😭kwa mm hapa nitafute njia ya kujiokoa.

"Dada si utafute mfanyakazi shida yote ya nn?"

"Sihitaji mfanyakazi wengi huwa wanatoroka na kuniibia fedha zangu wameshaondoka kama nane hivi".

Nilijua tu wafanyakazi hawakuwa na matatizo bali mume wake ndio mwenye matatizo.
Usiku nilikula mapema nikaenda zangu kulala sikutaka kuonana na shemeji.

Asubuhi kama kawaida niliamka mapema nikamuaanda mtoto nikampeleka nje kusubiria gari la shule.
Tukiwa tunasubir dada aliondoka na yy kwenda kazin akanikuta nipo nje na mtoto wake.

"Saj nimeshaongea na shemeji yako kuna mahali kuna kazi atakupeleka".

Nilimuitikia sawa kisha yeye aliondoka, gari la shule nalo halikuchelewa lilifika nilimpandisha mtoto mimi nikarudi zangu ndani.

Nilimkuta shemeji ndio anaamka sikutaka hata kumsalimia kwa sababu ya mambo yake ya ajabu.
Vipi Saj kuhus ombi langu nikubali mm nitakutafutia kazi nzuri tu ...

Sihitaji kazi yoyote na endapo ukiendelea kunifuatilia nitamueleza dada upuuzi wako na familia nzima itafahamu kwaiyo naomba ukae mbali na mm........

Walikuwepo wenzio wana misimamo utakuwa wewe mimi siwezi kulisha watu wasionihusu bure hata siku moja
Shem aliongea kwa dharau.
Sili hela zako dada yangu na yeye ni mfanyakazi kwaiyo kaa kwa kutulia..........

Nilimjibu nikampita nikaenda zangu chumbani nikajifungua kabisa mlango asije akaja.
Nilikaa kama nusu saa nikakumbuka simu yangu nimeacha seblen.

Niliinuka haraka nikaifuata nje nilimkuta Shemeji anavaa viatu anataka kuondoka sikumjali nikaendelea kutafuta .
Kuna kitu unatafuta ?........
Shemeji aliniuliza lakin sikumjibu kitu .

Unatafuta hii hapa ........
shemeji alitoa simu yangu mfukoni mwake akanionyesha.
Nilimpokonya nikaenda zangu ndani kulala, nilivyosikia kaondoka ndipo na mimi nikatoka nje kufanya usafi.

Siku hiyo mchana shemeji hakurudi nilimshukuru Mungu kidogo ila nikawaza dada akirudi toka kazin nimuelezee tabia mbaya ya mumewe maan mzaha mzaha utumbua usaha.

Mida ya mchana mtoto wake alirudishwa toka shule , tukawa tunaangalia tv.
Dada alirudi akaniita pembeni nilinyanyuka nikaenda chumbani kwake.
Nilimkuta amefura kwa hasira nikamuuliza shida nn kwani mbona yupo hivi.

"Yaan ndio maana ulifeli mbwa wewe ni um😢😢😢lya tu ndio unaokusumbua " dada alinitkana.

Dada mm sijui unanitkania nn hebu tafadhali nieleweshe?".
Nikueleweshe hivi we ndio wa kumtongoza mume wangu unaona mm nafaidi sana sio hivi Saj ww wa kunifanyia hivi dada yako wa tumbo moja aki ya nani dunia itakufunza malay* ww.........

Dada sijamtongoza mimi hebu nisikilize nikuelezee jinsi ilivyokuw basi..........

Ilivyokuwa nn ushaidi ninao na lazima hizi taarifa ziwafikie baba na mama aki ya mungu hawajapata mtoto hapa si Bora mama mimba angetoa tu..........
Dada aliongea maneno mabaya sana nilipatwa na uchungu nikaanza kulia 😭 tu nikashindwa nimjibu nn.

Dada alitoa simu ya shemeji akafungua kwenye meseji akanionyesha ni kweli nilikuta meseji nimemtumia yeye za kumtongoza.

Nikakumbuka kuwa huo ushenzi aliufanya kipindi alipokuwa amechukua cm yangu sebleni.

Nililaani kitendo Cha shemeji yangu kama alikuwa hajapenda ujio wangu si bora angenifukuza tu kuliko kunikosanisha mm na ndugu yangu.

Dada alipiga simu muda huo huo nyumban sikuamini maneno aliyotamka baba kuwa kuanzia leo mm sio mtoto wake nikatafute ndugu wengine.
Niliumia sana nilijuta kwann nilikuja dar bora ningebaki tu tunduma.

ITAENDELEA 3__5

DEAR DOCTOR 03

"Siwezi kuwa na mdogo mjinga kama ww naomba uchukue kila kilicho chako uondoke sijui utaenda kulala stendi mm sijui ninachotaka nisione sura yako hapa nashukuru mume wangu ni mwaminifu kwa kweli".

Nilikuwa na hasira kiasi kwamba sikutaka kubishana nae nilienda kuchukua nguo zangu ndani nilivyotoka nje akaniambia niondoke mm si muhuni nifanye uhuni wangu nipate nauli nirudi kijijini.

Dada sasa mm hela napata wapi nimekuambia kuwa sijafanya hivyo naanzaje kumtongoza shemeji yangu hio ni mipango ya shemeji alinitongoza lakini nilimkataa .....
nilijaribu kujitetea lakini haikufua dafu nilionekana mm mbaya .

"Kama alikutongoza kwanini hukuniambia unataka nikuamini kwa lipi mwanahizaya mkubwa ww".

Nilichukua simu nikapiga nyumban nilisahau kuwa dada alikuwa kashampatia taarifa baba .

"Unapiga simu huku unataka nini unafikir mm nitapendezwa na ujinga wako yaan ww mtoto ni hasara kabisa shule umefeli, na bado muhuni una faida gani hatuhitaji kukuona nyumban yan katafute wazazi wako wengine ".

Baba aliongea maneno makali sana na kunikatia simu.
Niliinuka nikatoka nje hata sikutaka kumuaga dada tena machozi yalikuwa yananitoka tu.
Sikujua mahali pa kwenda halafu mfukoni sina hata mia.

Nilikaa kwenye kibaraza cha watu jirani na kwa dada.
Mara mwenye nyumba akawa anarudi toka kazin alikuwa ni mwanamke wa makamo tu.
Alivyoniona tu alishuka kwenye gari yake akaja hadi nilipokaa.

"Enh kulikoni kukaa kwenye kibaraza changu binti?" .
"Samahani mama kwa kukaa hapa mimi nina shida ".

"Shida gani hiyo".
"Sina mahali pa kukaa mama naomba unisaidie "

"Kwaiyo hapa ndio umeona mahali pa kukaa nitakuamini vipi ww matapeli mko wengi sana kwanza umetokea wapi?".
Nilimueleza yule mama nilipotokea hadi nilivyokuja kwa dada hadi mume wake alivyonitongoza.

" Mhh hivi Hassan hakuna asiyemjua mwanaume malaya mtaa mzima kashauchafua ila mke wake ndio kafa kaoza nitakupa hifadhi kwa siku chache tu ili upate nauli urudi kwenu".

Nilishukuru nikaingia ndani kwa yule mama , ndani kwake palikuw pazuri sana ni mtu anayejiweza.

Aliniacha seblen akaenda chumbani kwake kubadilisha nguo kisha akatoka nje akiwa amevaa t shirt ya NMB. Alimwambia mfanyakazi wake atuletee juisi.

"Umesema unaitwa nani vile binti?".
"Naitwa Sajda ".
"Anhaa sawa mm niite mama Kelvin au Sasha sawa".
"Sawa" .

"Nikikutafutia kazi utafanya ili upate ela ya kujisaidia mambo yako madogo madogo au nikupatie nauli urudi kwenu?".
"Mama yangu mi nitafutie kazi yoyote ile nitafanya nyumban kwenyewe dada kashanipakazia ubaya hawataki hata kunioa mimi".

"Sawa nimekuelewa ngoja niongee na shosti yangu ana kamgahawa na kwa jinsi ulivyo mrembo , msafi na mcheshi atakupatia tu kazi bora upate kazi yako ujisaidie mwenyewe hakuna atakayekusumbua mwanangu huo ndio ukubwa vumilia tu ".......

Usiku dada wa kazi alipika chakula tukala nikaenda kulala pamoja na mfanyakazi wake.
" Wewe ni ndugu yake na bosi? Yule dada aliniuliza

"Hapana sio ndugu yangu nimekutana naye tu"
"Anhaa sawa".

Tulilala hadi asubuhi nilishazoea kuamka asubuhi tukawa tunasaidiana kazi na yule mfanyakazi.

"Salma mimi naondoka kazin naomba ushirikiane na Sajda kwa kila kitu ni mwanafamilia yangu huyo sawa".

"Sawa mama"
Yule mwanamke aliondoka akatuacha sisi wawili.
" Umetokea wapi Sajda" Salma aliniuliza

"Nimetokea tunduma nimekuja kutafuta maisha huku" nilimjibu
"🤣🤣Sasa dar ndio kuna maisha mazuri yaani watu wa kijijini bhana mnavyojidanganya ".

Sikupenda Salma alivyoninibu yaan ni mtu mwenye dharau sana kiukwel sikujisikia vizuri kabisa.

Nilishinda kimya kutwa nzima naangalia TV tu hadi jioni aliporudi Mama Kelvin.

" Sajda nimeshaongea nae huyo rafiki yangu kasema atanipa jibu siku mbili hizi hizi vumilia kidogo tu ningekuwa na kazi ningekuajiri hata mm sema sina".

"Usijali mama mm nitasubir tu hata hivyo nashukuru kwa msaada wako ulionisaidia".

"Usijali ni jambo la kawaida tu ww ni kama binti yangu tu".
Usiku tukiwa tumelala Salma alianza kujiongelesha.
"Kwaiyo utakaa hapa hadi lini?".

" Mi sijajua nitakuwa hapa hadi lini ila nahisi hadi mama atakapochoka kunisaidia".

"Huo umama umeanza lini na ww yaani kusaidiwa siku moja tu unaweka na undugu mimi nikupe pole tu huyu mama ana watoto wake tena wakubwa tu na ni mapacha ".

"Anhaa kumbe ndio maana aliniambia nimuite mama Kelvin au Sasha".

"Oh kumbe unajua ngoja nikuoneshe hawa hapa"

Salma alichukua simu yake kubwa akaanza kunionyesha picha za kwenye simu yake.
Zilikuwa picha nyingi zingine alikuwa kapiga na Kelvin wakiwa beach.

" Huyu ni mpenzi wangu ila tupo kwa siri mama yake hajui ".

"Hongereni jamani mmependezana kwa kweli".
Nilimjibu huku nikaendelea kuangalia picha zingine yaan huyu alikuwa ni mfanyakazi ila waliishi kama ndugu.

" Vipi na ww huna mpenzi?" Salma aliniuliza
"Nilikuwa naye ila tuliachana baada ya kusikia nakuja huku dar".

"Pole bibie naomba nilale"

Salma alilala lakini mm sikupata hata lepe la usingiz nilikuwa na mawazo ya wazazi wangu nyumbani nitawabembeleza na nn ili wanielewe kuwa sijafanya kitu kama hicho .

Nilichukua simu yangu nikafuta namba zote za ndugu zangu kisha nikajilalia zangu.

Asubuhi niliamka mapema nikaanza kufanya usafi kwa kuwa nilikuwa nimeshapazoea sikupata tabu tena.

Mara niliwaona dada na shemeji wakiwa wanaondoka na mtoto wao asubuhi niliwaona kupitia matundu madogo ya fensi.

Nilijisikia vibaya sana mara mama Kelvin alitoka.

" Vipi Sajda mbona umepoa hivyo mko sawa na Salma?"
" Nipo sawa mama hakuna shida shikamoo".

"Marahaba jitahidi uwe na furaha bhana wewe hata usijali hata usipopata kazi nilipokuombea tutatafuta sehemu nyingin pia naona Salma anafurahia uwepo wako hapa maana anabakigi peke yake nyumba nzima ".
"Ni kweli mama unachosema nashukuru sana kwa msaada wako".

Mama Kelvin aliondoka nikaenda kufunga geti nikarudi ndani.
Nikamkuta Salma bado amelala tu hana hata mpango wa

kuamka nikasema huyu hata sina shida naye mimi binafsi najiwez usafi nitafanya na kupika nitapika.
Nikiwa jikoni naandaa chai nikasikia honi nje ya gari nilitoka nikaenda kufungua nilijua mama karudi .

Alishuk mkaka waliagana na mwenzie akaingia ndani nulivyomuona nilijua ndio huyu Kelvin mtoto wa kiume wa yule mama.
"Shikamoo "

"Marahaba vipi ww ni kijakazi mpya au?" Yule kaka aliniuliza
"Hapana "

Mara Salma alitoka nje alianza kujichekesha baada ya kumuona yule mkaka.
Nikajisemea hayanihusu ngoja niwapishe nikaondok zangu ndani.

Nilitayarisha chai nikaandaa mezani nikapakua nikaanza kula mwenyew.
Salma alikuja nilipo akanikuta nakunywa chai bila kumuita yeye.

"Yaan naona ushakuwa mama mjengo unapata wapi nguvu ya kujiachia humu ndani hebu punguza shobo bas".

Mimi kusimangwa sipendi kwa kweli nilijihis vibaya nikaingiwa na kinyongo hata kula nilishindwa. Niliinuka taratibu nikaenda zangu chumbani kulia😭😭.

DEAR DOCTOR 04

Niliamua kuchukua simu nikaandika namba ya mama maana nilifuta namba zote kwenye cm nikampigia mama ili nipunguze machungu kidogo.

Simu iliita tu bila kupokelewa nilijaribu kupiga zaidi na zaidi mwishowe akapokea.

Alooh shikamoo mama ......
We mpuuzi hivi unataka nini nilikuambiaje kuhusu kumtafuta mama yako , sisi sio wazazi wako tena marufuku kumpigia mama yako .......

Maneno yalitoka kinywani kwa baba yangu mzazi niliumia zaidi , baba alikata simu nilijua tu mama hawezi kunifanyia
hivyo ni baba anamshinikiza kosa gani hasa nililolifanya mm la maana hadi wanichukie kiasi hicho lazima kutakuwa na kitu kingine kinaendelea chini ya kapeti sijui.

Nilijilaza tu hadi usingiz ulivyonipitia ,
Nilikuja kuamka mida ya mchana baada ya simu yangu kuita niliamka haraka nikapokea alikuwa ni mama Kelvin.
Aloh mama
Sajda tafadhali jiandae namuagiza dereva boda akulete huku nilipo ....
Sawa mama

Niliinuka nikaingia bafuni nikajimwagia maji nikavaa haraka haraka nikasikia honi ya pikipiki nje nilitoka haraka nje .

Vipi dada mkubwa safar ya wapi hiyo mbona hatuambizani?
Salma aliniuliza baada ya kuniona naondoka haraka.
Mama kaniita mahali narudi muda sio mrefu sawa...
Mh watu na mama zao mjini poa ww hata usiporudi kipenz 🤣🤣....

Sikumjali nilitoka nje nikapanda piki pika tukaondoka .
Nilipelekwa sehemu husika nilimkuta mama Kelvin yupo amekaa ananisubiria.

Nilienda hadi mahali alipokaa na mm nilivuta kiti nikakaa.
Vipi umepaona mbali eeeh? Mama Kelvin aliniuliza
Hapana mama sio sana .....

Oh vizuri hapa ni mwenge kama ulikuwa hupajui na hii sehemu ndio utakuwa unafanya kazi hapa hii ni hoteli ya rafiki yangu naomba uwe msikivu na mtii bosi wako hana shida .......

Nilihisi kama ndoto maana nilikuwa natamani kufanya kazi ili nijitegemee mm mwenyewe .
Nilianza kulia 😭 pale pale.
Sasa unalia nini Sajda mbona ni kitu kidogo tu hichi hebu futa machozi bosi wako huyo anakuja

Nilifuta machozi , alikuja mkaka mahali tulipo.
Tulisalimiana baada ya hapo yalifuata mazungumzo.

Ignas huyu ndio Sajda maelezo yote nilishamwambia mkuu wako mi naomba niwaache ......
Nilibaki kazin ili kupata maelekezo ya nn natakiwa kufanya.

"Vipi una mpenzi Sajda?" Ignas aliniuliza swali ambalo nilichukia ghafla.
"Ndio ninaye kwani vipi?".

Hamna kitu nimekuuliza tu ila unaonekana msichana mzuri unakuja kuhangaika na mikazi tu ilibidi utulie nyumbani kwako sasa hivi na mume wako....

😣 Nilichukia kauli za yule kaka ananiuliza mm maswali yote hayo anahitaji kitu gani ila basi tu nahitaji kazi mimi ngoja nijifanye mjinga .

Ignas alinizungush sehemu yote ya hoteli na kunielekeza bahadhi ya vitu nikapewa sare kwa ajili ya kazi.
Nilirudi nyumbani kwa maelekezo kwa sababu sikulijua jiji la dar vizuri bado nilikuwa mgeni.

Nilifika kagiza tayari kalianza kuingia niliingia ndani nilimkuta mama Kelvin yupo anaangalia tv pamoja na watu wengine .
Bora umerudi njoo nikutambulishe ndugu zako hawa......

Nilienda seblen nikakaa chini nilisalimia wageni.
Sajda hawa ni watoto wangu ni mapacha huyu ndio Kelvin na huyu ni Sasha.

Nimefurahi sana kuwaona mama Kaka Kelvin nilimuona asubuhi hapa mgeni machoni mwangu ni dada Sasha tu....

Nilikuwa nasikia mama anakutaja mda wote Sajda , Sajda kumbe ndio ww ? Sasha aliuliz.
Sikujibu kitu maana nilijua sio kwa heri hilo swali kama kejeli tu.
Mama naomba niende nikaoge kwanza ndipo nije tuongee.....
Sawa....

Niliinuka nikaenda zangu chumbani kuoga nilikuwa na maswali mengi kuhus maisha yangu niliwaz nifanye kazi kwa bidii ili nianze life yangu nikisaidiwa na mm nijisaidie.

Nilitoka bafuni nilishtuka kumuona dada Sasha kitandan amekaa pamoja na Salma.

Shosti huko ulipoenda jamani mbona hatuambizani? Salma aliniuliza

Nilienda kuona mahali nitakapofanya kazi tu na sio kingine.
Oh kazi gani mpendwa? Sasha aliniuliza
Ni kufanya usafi tu kwenye hotel...

Enh mi nilijua chief cooker hivi elimu yako ni kiwango gani mamii".
Nilifeli kidato cha nne nimeshindwa kuendelea na masomo"

Duh pole nauli ya kwenu huko tunduma ni sh ngapi nikupatie ili urudi kwenu usije ukaja kutufia hapa ukampatia shida mama yangu , mama naye kusaidia saidia watu mwisho aje kusaidia na majambazi ....

Nilishindwa kujibu kwa hasira niliyokuwa nayo niliona dhahiri sumu aliyopandikiza Salma kwa Sasha.
Nilitoka nje kumshukuru mama Kelvin nilimkuta kajilaza kweny sofa.

Nashukuru sana kwa msaada wako nikipata tu fedha za kujikimu nitaanza kujitegemea nisiwe mzigo kwako😭😭".

Niliongea kwa maumiv makali moyoni mwangu.
Shida nn kwani hebu niambie sajda mbona kama Kuna tatizo yaan ww jisikie kama kwako hapa nimeamua kukusaidia wala

sioni kama ni mzigo kwangu...
Sawa mama...
Hebu subiria kwanza Sasha , Salma hebu njooni mara moja....
Salma na Sasha walikuja nje baada ya kuitwa.

Nimewaita hapa nahitaji ushirikiano wenu wote watatu Sajda ni mmoja wenu atakuwa hapa hadi atakapoweza kujitegemea sawa"
Sawa mama tumekuelewa mimi nimechoka naenda kupumzika ......Sasha aliitikia na kuondok .

Mama haikuwa na haja ya kuwaambia hivyo lakini .
Hakuna shida mm nawajua vizuri hawa pia ujitahid kuamka asubuhi nunavyoondoka mm kazin tuongozane jion utakuwa unarud na basi"
Sawa
Kesho yake nilianza kaz rasmi na kurudi mida ya jioni nikawa nalipwa elf sita kwa siku.

Nilianza kuonekana usiku tu naepukana na shida za mchana .
Nilizoea kazi yangu baada ya wiki nikabadilishwa kitengo nikaanza kuhudumia watu japo Kuna muda walikuwa wanakuja wasomi na kingereza chao nikawa napata mtihani kidogo sikuwa vizuri kwenye kingereza msinicheke jamani.
Nikaanza kudunduliza vihela vyangu yaan nilikuwa mchumi balaa.

Siku hiyo ilikuwa jumamosi sitasahau nilirudi kazin mida ya saa mbili usiku nilimkuta mama amekaa sebleni pamoja na mtoto wake yule wa kiume wanapiga stor.
Niliwasalimia nikataka niende zangu chumbani lakin mama alinizuia.

Sajda nilikuwa na shida hapa kesho kama hutakuwa free kaka yako anaomba uwende ukamsaidie kufanya usafi kwenye nyumba yangu ipo kisarawe........

Usijali mama kesho jpil siendi kazin nitaenda kufanya...
Nilikubali haraka sikuwa na jinsi ya kuuliza kwanini Salma haendi au Sasha.

Sijui kama mama alijua maswali niliyokuwa najiuliza.
Salma hatoweza kwenda wala Sasha kesho nitakuwa na ugeni hapa naomba unisaidie kwa hilo mwanangu.
Sawa mama basi kesho ngoja mm nikapumzike.
Sawa usiku mwema .

Nilienda chumbani kulala nikamkuta Salma bado yupo macho anachezea simu.
Nilipanda kitandan

DEAR DOCTOR 05

Asubuh na mapema niliamka nikajiandaa zangu nikatoka nje kumsubiri kaka Kelvin.
Punde tu alikuja tukaondoka zetu ndio mara ya kwanza mm kupanda pantoni na kufika kigamboni.

Aliniambia nishuke nikae pembeni hadi tufike ndipo niingie kwenye gar.
Nilishuka nikaenda kukaa pembeni nikatazama uzuri wa bahar.

Binafsi niliinjoy safar sikujua ya mbele mm😭😭.
Tulitembea umbali mrefu hatimaye tulifika palikuwa kimya sana sehemu nyingi palikuwa hapajajengwa na nyumba zingine hazijamaliziwa.

Mama kumbe ana nyumba kubwa nyingine na nzuri kama hii? Nilivunja ukimya nikamuuliza kaka Kelvin.
Sio hii tu zipo nyumba nyingi tu na nzuri hii nakuja kuishi mm hebu tushuke kwenye gari.

Tulishuka na kuingia ndani ya geti ya hiyo nyumba.
Nilikuta nyumba iko safi kama ilishafanyiwa usafi tayari.
Kaka mbona nyumba ni safi sasa tumekuja kufanya nn hapa?...........

Hebu tulia nimekuleta huku nina maswali kidogo nataka nikuuliz hivi ww hujaona familia zingine hadi umekuja kwetu?........
Sijakuelew kaka Kelvin unamaanisha nini hapa?..

Waoh yaan ndio shida ya mtanzania unamuuliza swali na yy anakuuliza nakuuliza huna sehemu nyingin ya kwenda zaidi ya kwetu halaf mm sio kaka yako unataka uninyime nn........
Niliamua ninyamaze tu nisimjibu kitu maana nipo mbali na nyumbani halafu mwenzangu yupo kishari zaidi .

Mara Kelvin alonisogelea akanivuta kwake.
Unahitaji nn kutoka kwangu...... Nilimuuliza akaanza kunivua gauni nililovaa.
Kaka Kelvin unataka kufanya nn kwani?.....

Acha utoto ina maana ww hujawahi au hujui na naomba unyamaze kimya yaan ukipiga kelele nakuua hapa hapa.
Nilishindwa kuongea kitu alinivua gauni na kunichania nguo yangu ya ndani akaanza kuniingilia bila hata ya kinga.

Bora mtu kitu uridhie kuliko kufosiwa maumivu yak hayaelezeki.
Alivyoridhika aliniacha alivaa nguo zake huku akitabasamu 😁.
Nilijua ni bikra kumbe kopo tu hii ni first warning na kama utaendelea kung'ang'ania kukaa kwetu kuna vingine vyingi vinakuja.........

😭😭Nilikuwa nalia tu pale chini niliinuk nikaenda chooni nikajisafisha nilijifunga khanga ambayo nilichukua ili nijifunge kipindi nafanya usafi nikatoka nje nikamkuta yupo kwenye gari ananisubiri sikuwa na jinsi niliingia kwenye gari hivyo hivyo tukaanza safari ya kurudi nyumbani.

Ila ww ni mtamu bhana yaan huyo mwanaume atakayekupata atainjoy sana, Kingine ole wako umwambie mama hichi kitu nitakuua mm mwenyewe kwa mikono yangu sawa.....

Sawa nimekuelewa 😭😭😭 nilijibu kwa uchungu huku machozi yakinitoka.

Unalia nn sasa au umefiwa hovyo fanya mpango uondoke nyumbani kwetu hapo tutaelewana na sio vinginevyo.
Tulifika nyumban niliingia ndani nikamkuta mama yupo sebleni na wageni nilienda kuwasalimia kisha nikaenda chumbani.

Nilipitiliza bafuni kuoga nilijihis ni mchafu 😭😭.
Nilivyotoka tu bafuni nikakutana na Salma amekaa kitandani.
Mbona umepitiliza kuoga hivyo umetoka kufanya nn nakuambia kama unajilengesha kwa mpenzi wangu koma.

Mpenzi..... mpenzi nilijua mume kumbe mpenzi tu hivi wakisema wanaume watoke mbele na Kelvin anatoka sina huo muda kaa kwa amani zote😭😭😭 Salma naomba uniache na maisha yangu sihitaji tufuatiliane ww dili na huyo mpenz wako akuoe na si kingine nakuonea huruma bado una safar ndefu sana.......

Nilimjibu kwa hasira nikavuta shuka nikajifunika nikaanza kulia 😭😭 mwanzoni nimenusurika kubakwa na shemeji yangu leo hii nimebakwa na mtoto wa mwanamke ninayemuheshimu kama mama yangu nina makosa gani mm niliyoyafanya .
Mimi au wewe nani mwenye safari ndefu unanifurahisha sana Sajda 😏.

Sikumjibu kitu nilibaki nalia kimya kimya

"Hivi mama anaweza kunifanyia mm hivi au ni mpango tu wa Kelvin yy mwenyewe enh mungu naomba unisaidie mm nitaendelea kuwa mkimya hadi lini mm na nitaaminiwa vipi kama nikisema nimebakwa?" ................

Nilijiuliza maswali lakini kuna sauti ikaniambia sipo kwetu hivyo nitulie tu .
Nilinyamaza nikajilalia zangu usingiz ukanipitia

Nilikuja kuamka usiku muda wa chakula muda huo Kelvin alikuwa tayar ameshaondoka.
Nilijitahidi kuweka sura ya furaha ili wasigundue kitu chochote kilichotokea ni aibu kwanza.

Sajda binti yangu nashukuru kwa kufanya usafi huko Kelvin kanitumia picha WhatsApp nimeona....

Sawa mama usijali ni kawaida tu naomba nikalale nimechoka leo pia nataka asubuh nijihimu kazin.......
Haya usiku mwema....

Nilienda chumbani kulala mapema sana siku hiyo asubuh niliamka mapema nikaenda zangu kazin.

Mida ya mchana nikiwa kazini alikuja mteja aliandaliw chakula na mhudumu mwingin alivyomaliza mm nikaenda kutoa vyombo alivyoniona alishtuka kidogo.

Dada kuna mahali nimekuona? Yule kaka aliniambia.......
Mh mm hapana labda umenifananisha tu ....... Nilimjibu.
Hamna ni ww bhana jana tulikuja kwa shangazi Betty nilikuona hapo.

Mhh una maanisha mama Kelvin au?????.
Ewaa ndio huyo huyo vipi upo hapa unafanya kazi?.......
Ndio nafanya hapa kazi ...... Nilimjibu.

Mbona sasa hauna furaha au hujaipenda hii kazi?
Umejuaje kuwa sina furaha ??? Naipenda hii kazi niko kawaida tu kaka yangu.

Usinidanganye bhan mm ni daktari wa saikolojia nakuona haupo sawa anyway nina harak now shika hii business card yangu nitafute nina shida na ww sawa.......

Sawa.... Nilichukua ile business card yake akanipatia na hela ya chakula alichokula.
Keep change.... Aliniambia huyo akaondoka zake.

Nilibaki nimemshangaa kwanini nisimrudishie chenji ila nikampotezea nilipeleka hela sehemu husika nikarudishiwa chenj nikaichukua.

Usiku nilirudi nyumbani sikutaka hata kumtafuta yule kaka baada ya kusikia anamuita shangazi mama yak na Kelvin nikajua lao ni moja tu .

Tukiwa tunakula mezan nikaamua nimuulize mama Kelvin kuhus wageni waliokuja jana.
Kwanini umeniuliza hivyo Sajda?......

Hamna mama hukunitambulisha tu jana naweza kutana nao tu hata njiani...
Nilivyoongea hivi Salma na Sasha waliangua kicheko cha kufa mtu🤣🤣🤣.

Mnachocheka ni nn hasa alichoongea Sajda ni kweli , sikia binti yangu wale wa jana ni familia ile yule mbaba uliyemuona ni meneja wangu kazin na yule mwanamke ni mke wake pia yule ni kijana wao ni daktari wanafanya kaz pamoja na mtoto wangu Kelvin . walikuja jana kunitembelea kifupi tupo kama ndugu ndio hivyo......

Sawa mama nashukuru kwa kunielewesha nimeshiba naomba niende kulala mm.......
Sawa......

Nilienda chumbani kulala nilichukua namba kwenye ile kadi nikampigia kabla ya Salma kuja kulala sikutaka chaumbea yule ajue kitu chochote kile.

Simu iliita mwishowe ikapokelewa ....
Alooh habar yako naongea na nani no ngeni?....
Sajda yule dada ambaye ulinikuta hotelini ukanipa namba nikutafute........

Anha sijategemea kama ungenitafuta nashukuru kwa hilo vipi unaendeleaje?.....
Niko poa kaka sijui nyie huko ?.....
Sisi tuko poa niite Abdul sawa nitakucheki kesho now kuna kazi naifanya.
Sawa........

Nilikata simu nikajilalia zangu asubuhi kama kawaida niliamka na kuondoka zangu kibaruani

Itaendeleaaaaaa

Full 1000.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DEAR DOCTOR 01  >>> https://gonga94.com/semajambo/dear-doctor-01
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 34

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 33

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_32

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_31

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _26 & 27

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_25

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_24

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_23

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_22

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _20 & 21

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_18 & 19

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _16 & 17

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 14 & 15

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 13

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 12

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 11

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 10

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 9

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 8

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 07.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 06.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 05.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 04.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 03.

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 38

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest