๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 23.
Tulibaki kama tumeangaliana na Njeri hakuna aliyetaka kushuhudia masomo ya mtu innocent yakikatizwa kwa makosa tuliyoyafanya sisi๐ญ. KAMAU after kuingia kwa gari alitugeuka na kusmile,,
HIM: Am facing all this because of my actions bro,, don't get stressed too much๐ช. The kid is mine โฃ๏ธ.
NJERI aliinamisha kichwa chini ili ayape machozi nafasi ya kuongea๐ญ. According to Kamau, alikuwa anadhani njeri analia ju ya venye atammiss๐ญ๐ญ. We all remained silent as they departed from school ๐ญ. Three days later the whole school was called for an emergency meeting ๐.
MADAM Stacy: Students, it's by his mistakes he has been jailed for life๐ฑ. This is just some of many bad outcomes of impregnanting a school kid๐๐. That's how kamau's life have been destroyed. He was an intelligent and brave student in class, you all are aware that he's the one who took the lead in his class๐ญ๐ญ.
Nilikuwa nmekaa karibu na Njeri na Brianna ๐. Ju Brianna alikuwa hapo, hatuwa na freeness ya kubonga na Njeri..
NJERI: Sky? Eti jailed for life?? Noo ๐ญ๐ญ๐ญ.
ME: Hata mm nmeshtuka sana ak๐๐. Na wewe Brianna? Pia umeshtuka ama hapana๐ญ๐ญ.
BRIANNA: Kulingana na venye namjuwa KAMAU ๐๐. Mm naona kuna game ilichezwa mahali๐ญ. Njeri lazma kuna kitu anatuficha๐ญ. Ningekuwa mm et wewe Sky umenipa bol, nawezaje kuruhusu ufungwe maisha jela?? Alfu et najidai venye nakupenda๐ญ๐ญ. Hiyo inaleta sense kweli๐๐. Njeri for the first time you have disappointed me, unless kuna kitu yenye mm na Sky hatujui hapa๐ญ๐ญ.
NJERI: ๐ญ๐ญ๐ญukweli ni KAMAU alinipa bol ak๐ญ.
ME: Yaa hata mm naona ivo.
NJERI: Are you sure? Eti hata wewe unaona ivo๐๐??
BRIANNA: Anyway my dear,,, am very sure kwa sasa uko happy sana๐ญ, sindio?? Umeamua maisha ya mwenzio yatokomee ivo, mm venye naona hii ni game๐ค๐ค. Ama alikurape tu?? Sidhan kama mtu mlilala na yeye mkaenjoy pamoja unawezamfany......
ME: Brianna utaacha ujinga sasa,,, so hatutaskia venye mwalimu anasema๐ช๐ช. Mm sioni point yoyote hapo๐ช. Ama Njeri wewe unaonaje??
MADAM: Hey Brianna Njeri na sky, come forward. Mnaonekana mna kitu cha kushare na sisi,, mbna mnagombana??
BRIANNA: Madam do you think Kamau impregnated Njeri for real Kulingana na venye unamjuwa๐ค๐ค. (Watu wakacheka)
MADAM: Hilo swala liko kwa OCS kwa hiyo sitaliongelelea kwa sasa.. ila pia walimu wameibua hilo hilo swala๐, kwa sababu KAMAU mbele ya korti alisema walifanya mapenzi wiki mbili zilizopita, na matokea ya daktari yanasema mimba ya mwezi mmoja na wiki kadhaa๐๐. Ooookay tuwachie polisi hiyo kazi๐๐๐.
ME: Lazma tu akuwe KAMAU mwalimu๐ญ๐ญ. Hawezi kuwa mtu mwengine, ni kamau tu๐ญ๐ญ.
MADAM Stacy: ๐ณ๐ณ, wee Sky una shida??(watu wakacheka tena) I thought una stress ju Kamau alikuwa rafiki yako wa kiti cha kwanza๐คญ๐คญ.
BRIANNA: Madam wachana na huyu sky,, anaenda haja kubwa kwa barabara usiku, amesahau mchana hakutakuwa na giza๐๐. Mungu wa KAMAU halali๐ฑ๐ฑ.
ME: Brianna Brianna Brianna??๐ช๐ช. Will you shut up??
MADAM: Go sit down ๐.
Baada ya mkutano kuisha niliitwa ofisini na mkuu.
Sir: Sky sidhan kama kwa hii shule kuna mtu anamjuwa Kamau zaidi ya unavyomjuwa weweโฃ๏ธโฃ๏ธ. Leo nataka nipate neno la mwisho kutoka kwako, hilo neno moja tu linaweza fanya mwenzako aponee kifungo cha maisha๐ญ๐ญ. Niliamua kuanza kumlipia KAMAU fees koz niliona future kwake๐๐. Jumatatu ndo uamuzi utafanyika, tunaweza mwokoa Kamau before thatโฃ๏ธโฃ๏ธ. Mm sidhan kama huyu rafiki yko unaweza fanya kitendo kama hicho๐ญ๐ญ. Though siko sure pia na hiyo ndio sababu imefanya nikakuita๐๐. Unaona ni yeye alimpa Njeri mimba๐ค๐ค๐ค.
ME: Sir, what I know is that, they were deeply in love but kwa bol kidogooo sina uhakika , I don't know Sir huenda Ni yeye ๐ญ๐ญ.
PRINCIPAL: Do you think venye aliniambia eti walifanya mapenzi mara moja tu na ilikuwa last week but one, alinidanganya ama alisema ukweli๐๐. Please don't lie to me son, we need to get him out of jail๐ญ๐ญ. Remember he has no parent, akifungwa tena maisha si heri basi anyongwe tu yaishe sasa๐ญ.
ME: mwalimu kama kunaweza kuwa na njia ya kumtoa Kamau ak jaribu tu atolewe๐ญ๐ญ. Nammiss sana๐ญ.
MKUU: Kutolewa naweza mtoa hata kesho, but in one condition, jaji anasema lazma mwenye alimpa Njeri bol apatikane๐๐. Have you ever seen any man around or with Njeri kando na Kamau? Kwa sababu mwenyewe ameshikilia eti ni kamau alimpa mimba?
MADAM Stacy: Sidhan kama kunaye mwalimu,,, watu wanakuwanga karibu na Njerini huyu Sky na KAMAU ๐๐. Lazma awe ni kamau alimpa bol ama kuna siri inafichwa hapa๐คญ๐คญ. Last Sunday nilienda huko kumuona . aliniambia hajawahi muona kamau. Alisema hajawahi muona Njeri na boy mwingne kando na Sky ๐๐. Tena et ile siku walifanya mapenzi, ni Njeri alimforce tu so lazma kuna uwezekano kuwe na siri hapa katikati๐ฑ๐ฑ.
ME: Ni kweli kabisa๐.
MKUU: Nini hiyo unasema ni kweli๐ค๐ค.
ME: Hapo kwa kusema eti walifanya mapenzi,, ni kweli anaweza kuwa ni KAMAU tu๐ญ๐ญ.
MADAM: Koz Njeri hajawahi enda home et tuseme huenda aipate na huko๐๐. Wait,,, ama aliipata hii mimba wakati walienda scout trip ๐ฑ๐ฑ??
ME: Sidhan๐ญ๐ญ.
MKUU: Hold on madam,,,, enda uite Njeri, she must tell us where she slept that night ๐ฑ๐ฑ. Hiyo mimba wanasema ni ya mwezi mmoja na nusu, na imeingiana kabisa na hiyo trip๐๐. SKY muda gani umepita tangu mtoke hiyo meeting??
ME: Mwezi mmoja na nusu๐ญ๐ญ๐ญ.
MKUU: Wachia hapo๐๐. Wacha Njeri akuje๐ญ๐ญ.
Sina nguvu ya kuendela ak๐ญ๐ญ๐ญ. Wanataka kunionea mm๐ญ๐ญ๐ญ.
To be continued.....