๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
Part 24.
Damu ilianza kunienda mbio, moyo kunidunda kwa kasi๐. Eti aitwe tena? Woih๐ญ.
Principal: sky mbna unatetema hivo,, mbna una wasiwasi?
ME: Mm niko tu sawa mwalimu, kwanza nmefurahi sana kuona juhudi zenyu za kumtoa Kamau korokoroniโฃ๏ธ. ๐ญ
Madam alifika na Njeri ๐ฑ, this round nilijaribu kumtupia jicho angalau kama akiniona nmshow asinitaje but ilikuwa sawa na ngumi zipigwazo ukutani๐ญ. Njeri hakuniangalia hata kwa sekundi moja๐๐.
NJERI: You sent for me Sir ๐.
MKUU: Ndio nilitumana uitwe๐. So my daughter, how do you feel ukiskia KAMAU amefungwa maisha jela jumatatu ijayo??
"Very bad Sir,,, am regretting for everything I said about him,, I have been trying to reach out to you so that tuongee in private, KAMAU is very innocent Sir ๐ญ๐ญ" Njeri stated in tears๐๐๐ญ.
PRINCIPAL: Oh my goodness ๐ฑ, how can you do that to your fellow student ๐ณ. KAMAU amewahi kufanyia kitu mbaya??
HER: No Sir,, he hasn't ๐๐. That's why am really regretting it ๐ญ๐ญ.
PRINCIPAL: It's okay dear,, ni vyema umeamua kusema mapema,,, I doubted your claims on the first day ๐๐. Kumbe fikra zangu hazikunidanganyaโฃ๏ธโฃ๏ธ. Now who's responsible for the unborn child ๐.
NJERI looked directly into my eyes, tears rolled down on her cheeks๐ญ. "SKY am sorry for this๐ญ๐ญ" she said.
MKUU: You are sorry?? Why??
HER: HE IS THE ONE SIR๐๐๐๐ญ.
"Whaaaat๐คญ๐คญ, Njeri please tell me that what you have just said is a joke๐ฑ" Principal screamed in a shock๐ฑ.
NJERI: It isn't Sir.. ni Sky ndo alinipa hii bol๐ญ๐ญ. But the way her Mom begged him to be a good child or else she would kill herself ๐ญ,, I decided to choose Kamau for the sake of sky's mom, lakn nmeona kumau kufungwa kwa kosa sio lake ni mbaya zaidi๐ญ๐ญ. Ni Sky mwalimu๐ญ๐ญ.
MKUU: Sky it's your time to talk,, why are you silent?? Were you aware of this??
ME: No Sir I wasn't ๐ญ.
NJERI: A big liar ๐ช. You wasn't na ni wewe ndo uliniambia niende nilalale na kamau et ndo tumwekelee ujauzito ๐ช๐ช.
PRINCIPAL: But Sky, why??๐ญ๐ญ Why son?? I thought KAMAU ni rafiki yako wa dhati, yan kumbe venye mwenzako anaumia hivo wewe unajuwa kila kitu๐ญ๐ญ. Alikukosea nini ama alikuibia nini nikulipe sahi๐ญ๐ญ. Kweli kikulacho siku zote huwa kiko nguoni mwako๐๐. This is more than a heartbreak Sky ๐๐ญ. You can't do that to your friend na unajuwa vizuri hana wazazi, kw hivo asiposoma ajiinue yeye mwenyewe hakuna pahali ataenda๐ญ๐ญ. I swear to God, you gonna pay for this ๐ฑ๐ฑ.
ME: Please Sir,, don't do that to me๐ญ๐ญ. Hurumia mamangu ak๐ญ๐ญ.
MKUU: was your mom there when you were enjoying and pumping her like shiet๐ช๐ช. Hivo venye imekuhurt ndo venye inamhurt kamau sahi, kwanza anadhani anafungwa akiwa na mtoto๐๐๐ญ. Get out of my office ๐ช๐ช, let's meet in court on Monday, nonsense ๐ช๐ช.
I kneeled down to beg him but ilikuwa late๐ญ, nilitoka ofisini kama navuruta tu miguu, nguvu ilikuwa imeniisha kwa magoti kabisa๐ญ. How will I tell my Mom, definitely she'll die of heart attack or kill herself ๐ญ๐ญ. Hiyo story ilizambaa shuleni kwote, hakuna aliyeamin et ni mimi nilimset kamaa๐ญ๐ญ. Kila mtu alinichukia including Brianna wangu๐ญ.
On that day jion nilichukuliwa na land cruiser kupelekwa ndani๐ญ, bado mom hakuwa ameskia hayo๐. Kuingizwa tu hivi nikamkuta kamau na wenzake wamekaa sakafuni๐๐. The guilty I had didn't allow me to look into kamau's face ๐ญ๐ญ. Alishangaa mbna nmeletwa ๐.
KAMAU: Bro๐ณ, what is it again?? Kwan pia umempa Brianna bol? Hahaha I knew it,, nilijuwa tu ule ubeshte tulikuwa nao mm na wewe, haungekuruhusu uwache nikae huku pekee yangu๐ช๐ช. Now you have a kid, I have a kid tooโฃ๏ธโฃ๏ธ. Nmekuja kugundua wewe ndo beshte yangu man๐๐. Gota??๐ค.
ME: Bro, just leave me alone ๐ญ๐ญ. You don't know anything ๐ญ.
HIM: Wait, okay maybe sijui bro, si uniamgie basi, am like your brother, unakumbuka ukinisadia kupata huyu Njeri, mama wa mtoto wanguโฃ๏ธโฃ๏ธ๐ช?
ME: Please kamaa,,, wachana na mm kwanza๐ญ๐ญ. Kama utafaulu kuachiliwa tafadhali nakuomba unilindie mtoto wangu๐ญ sawa?๐๐
KAMAU: You scaring me now?? Nitafaulu kutoka aje tena?? Anyway Siwez chorea mtoy wako bro,, wewe ndo mm na mm ndo wewe๐ช๐ช. Kwanza watakuwa wanacheza na wangu pamojaโฃ๏ธโฃ๏ธ...
Kamaa hakujuwa venye maneno yake yalikuwa yananichoma kama mishale kwenye moyo wangu,,, nilitamani kumwambia kila kitu but sasa mtu anaongea ivo utaanza aje๐ญ๐ญ. But I had to tell him๐ญ, he should know that mm sio rafiki yake venye alikuwa anafikiria๐ญ. Nilitaka kuokoa mamangu lakn njia niliyoitumia ndo ilikuwa mbaya๐ญ๐ญ. Kweli mbio ๐ za sakafuni hazifikangi mbali walisema wahenga ๐ญ๐ญ, huwa zinaishia tu ukingoni eti๐ญ๐ญ.
Siku ya uamuzi wa kesi hatimaye iliwadia, zote tuliwekwa mbele ya jaji๐ฑ๐ฑ, I almost fainted after kumuona mamangu akiwa amekalia kwenye kiti cha nyuma kabisa๐ญ๐ญ. She was so relaxed, hakutaka kuniangalia hata, am sure she had been told everything ๐๐ญ. Eh mungu wangu,, kumpa mtoto wa shule ujauzito ni sawa na kucheza na sindano karibu na tundu la shimo๐ญ๐ญ. Ogopa ๐๐๐ญ.
JAJI: Kulingana na ushahiti na mashahiti waliojitokeza mbele ya korti hii๐๐. Korti imemvua KAMAU makosa yote na kumvalisha Sky,, imedhibitishwa kwamba ujauzito haukuwa wa kamau bali ulikuwa wa skyboy, huyu aliye mbele yetu๐ญ๐๐. Ina maana ni SKYBOY KENYA ndiye alimpa Njeri mimba wala sio Kamau kama ilivyodaiwa na mshtaki๐๐.
KAMAU: Wait, Sky you did this to me ๐ญ๐ญ. (Alichomoka mbio ili anirukie lkn akashikwa na watu๐ญ๐ญ) Why bro, why???
JAJI aliendelea๐ญ๐ญ. "KAMAU muda wako wa kuongea ulipita, kwa sasa ni uamuzi wa korti๐. Kwa hiyo ni sky ndiye alimpa Njeri ujauzito na kulingana na mashahidi, mnamo usiku wa jumatano, tare 7 mwezi uliopita wa tano, ndiyo ilikuwa siku ya kitendo๐, baada ya mkaza wa moto kutokea , Njeri na Sky walionekana kwa camera fiche(CCTV) za shule wakiingia kwenye shamba la miwa lililokuwa karibu sana na shule, saa tano usiku๐๐. Siku iliyofwata asabuhi saa kumi na moja, hawa wanafunzi wawili tena wakaonekana wakitoka kwa miwa๐๐. Uchunguzi wa daktari umebaini kwamba, hapo ndo Njeri alipata huo ujauzito ๐ญ๐ญ.
Tulianza kuskia mtu akijiongelesha pekee yake huko nyuma,, baada ya kurusha jicho huko, nilimuona kumbe alikuwa mamangu akiongea maneno ambayo hakuna mtu aliyeyaelewa๐ญ๐ญ. Alitolewa nje๐ญ๐ฑ.
JAJI: Kulingana na katiba na Sheria kuhusu mtoto wa shule kupachikwa mimba, sehemu ya 62b inaeleza kwamba..... Nitasoma.. "iwapo mtoto wa shule aliye chini ya miaka 18 atapata ujauzito, mwenye kumpa atahukumiwa maisha jela na viboko tano๐ฑ๐ฑ๐ญ๐ญ" kwa hivyo kama korti tumempata Sky na koza la kumpa mtoto wa shule mwenye miaka chini ya kumi na nane ujauzito ๐๐. SKYBOY KENYA......UMEHUKUMIWA ......... MAIS......
To be continued.....๐ญ๐ญ๐ญ.