๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 25.
"Umdhaniye ndiye kumbe siye๐. Wakasema akuchukiae hakosi ila ya kukutia๐ญ, hawakusita kuongeza, asiye na adui si mtu, yan mwenye hana adui hapa duniani huyo si mwanadamu๐๐๐ญ. Mbna nilisahau kafahamu kwamba, kupendana sio kufanana๐ญ".
KAMAU aliangusha methali na misemo ya usaliti hadi mwalimu mkuu na madam stacy wakapenda๐๐. Kweli hata akose meno, simba huwa hachujuki๐ญ๐ญ. Nilidhani namweza kamau kwenye lugha, jamani nilionekana learner mbele yake๐ญ๐ญ.
Et mjinga siku zote akierefuka, mwerefu huwa mashakani,, Niko mbele ya JAJI ๐๐ญ, nawaza ni vipy nitaishi jela maisha yangu yote๐ญ. Mamangu baada ya Kutolewa nje akatulizwa na kurudishwa ndani๐ญ,
JAJI: kwa hiyo kama korti tumekufunga maisha je......
MOM: Maisha??? Mmeniuaaaaa
She fell down on the floor ๐ญ, hivyo ndo mamangu alisirai๐ญ, ingawaje korti ilinipa muda wa week mbili kukata rufaa๐, sikuona nikitolewa in any way๐ญ๐ญ. Nikiwa namlilia mam aamke, askari waliagizwa wanitowe na kunipeleka jela๐ญ๐ญ.
Kwa muda wa miezi mbili jela sikuwahi sikia sauti ya mama wala kuskia habari yoyote kuhusu afya yake๐ญ๐ญ. Maisha yaligeuka sumu kwangu, walisema kofi la mahaba huwa haliumizi lakn kwangu lilitaka kuniua ๐ญ. Moyo ulitoka kwa masomo kabisa๐ญ, sikutamani shule tena, sikutamani chochote kinachohusu masomo๐.
Miezi sita baadae ndo ilikuwa siku ya kuwatembelea wafungwa, moyo wangu angalau ulijawa na furaha nikitarajia kumwona mamanguโฃ๏ธโฃ๏ธ. Saa tatu asubuhi watu walianza kufika na shopping kuwaletea wapendwa wao๐น. Nilipepesa macho yangu mawili nione kama nitamulika mamangu๐ค๐ค. Sikumuona. Saa tisa mchana bado sikuona yeyote aliyekuja kwa ajili yangu, sio walimu, sio marafiki, sio mamangu๐๐.
Muda uliisha watu wakarudi๐ญ๐ญ. Kichwani maswali yakawa mengi kuliko majibu sasa๐ญ. Hata mamangu hawezi kuja kuniona??!๐ฑ๐ญ, ina maana walinidanganya wahenga waliposema, uchungu wa mwana ni mama aujuae๐ญ๐ญ. I know I really betrayed her but anaweza kosa kunitembelea kweli?? Nilikosa tumaini la kuishi tena, sikuwa na sababu ya kuendelea kukaa duniani sasa๐๐๐ญ.
Ilipofika saa tatu usiku ndo niliitwa na askari aliyekuwa kwa duty huo usiku๐.
HIM: Wap Sky??
ME: ๐๏ธ๐๏ธ
"Njoo haraka, kuna mzigo ulitumiwa na mtu leoโฃ๏ธโฃ๏ธ"
Niliruka juu juu kama ndama,, finally nmekumbukwa๐๐. Ingawa sikujuwa mzigo gan na ulitoka kwa nani๐, fikra zilianza kuniambia huenda ni MOM hakufaulu kufika na hivyo akatumaโฃ๏ธ๐.
HIM: Keti pale kijana,, najuwa sasa ndo umejuwa venye kosa na kumpa msichana wa shule ujauzito ni mbaya๐ช๐ช. Sasa jiangalie, a very strong and energetic boy, unaamua kuua ndoto zako zote et juu ya mapenzi ya usiku mmoja tu, kwanza kwa miwa๐ช๐ช.
ME: Sir why did you call me?? Haya maneno yako kwa sasa hayana maana kwangu๐ช. Ishafika usiku kwa hiyo siwezi zuia giza kuingia๐๐.
HIM: Kuna ujumbe wako hapa ๐ญ, najuwa itakuwa vigumu kwako kuukubali ila itabidi๐๐. Najua lazma leo ulishindwa kwann hakukuwa na mtu wa kukutembelea wewe๐๐. Sio??
ME: Hata mamangu Sir ๐ญ๐ญ.
HIM: Calm down,, hii ndo barua aliokuwachia nyuma๐ญ๐ญ
ME: Nyuma?? What are you talking about sir?? I don't understand.
HIM: Well, your Mom venye alicolapse mbele ya korti, alipelekwa hosi akatibiwa na kuruhusiwa kuenda nyumbani...
ME: Alfu??
HIM: It's unfortunate SKY ๐ญ. She's no longer with us๐ญ๐ญ. She died of heart attack. Here's the letter she left for you ๐ญ. Am really sorry for that.
I don't know what happened next but the following day nilijipata hossy๐ญ๐ญ, kando alikuwa amekaa yule askari๐ญ,
"Where am I and why???"
Askari: since you fainted yesterday, so we brought you here, tuko hossy. Daktari amesema unafaa kurest ๐ญ๐ญ. Cool down,
ME: Where's my Mom??
HIM: ๐ญ๐ญ๐ญ nimesema unafaa kupumzika Sky ๐ญ๐ญ.
ME: Sir please, just shoot me๐ญ๐ญ. I better die๐ญ. Who am I living for now??
Kidogo nikamuona Kamau akiingia mlangoni ๐คญ. Alikuwa anahema ajabu๐ญ๐ญ.
HIM: Bro, am really sorry for the death of your beloved Mom ๐ญ๐ญ. It's really hurting me, am sorry for everything please, you have to be strong,, I now understand why you decided to do what you did to me ๐ญ.
Hata hakumaliza, nao Njeri, Brianna Madam Stacy na Principal wakaingia๐ญ๐ญ.
PRINCIPAL: Kamau tumeona tukufwate tu๐ญ๐ญ. Sky stay strong, this might be the hardest moment ever in your life but we're with you in everything ๐ญ. Sikujuwa kwann uliamua kumwekelea kamau hayo yote๐ญ, I didn't knew you were protecting your Mom ๐ญ๐ญ. Sorry for everything I said๐ญ๐ญ.
ME: Where's the letter Sir??
Askari alinipa kisha nikamuomba mwalimu mkuu anisomee๐๐.
MADAM Stacy: Sky we've to do what we can do to bring you out of jail๐ญ๐ญ. NJERI will give birth in three months time๐๐. Unafaa urudi shule ak๐ญ๐ญ๐ญ.
MEAN: No need Madam,, no need for education now๐๐. The reason why I was going to school was to make my mom's life better ,, but now where's she?๐ญ๐ญ. SIENDI SHULE TENA
KAMAU: Usiseme hivo bro, masomo ni kwa ajili yako๐๐. Hapo ndo pia nilikuwa before uchange mind yangu,,, bila elimu bro ni vigumu, kumbuka ukiniambia mwenyewe๐ญ๐ญ.
ME: SORRY for everything I did to you man,,, sijui mbna unanijali ๐ญ๐ญ.
NJERI na Brianna walingaliana๐ญ.......
NJERI: .........
Tuchangamke kwa LIKES part 26 ishuke before lunch time.๐ญ๐ญ๐ญ.