Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Simba hivyo puuzeni taarifa zote kuhusu AS Vita.
Stori Iko hivi Elie Mpanzu Kibisawala alikuwa AS Vita kwa Mkopo kutoka Klabu ya Aj Vancuer iliyochini ya Rais Marcel Kabeya ambaye ndiye alitoa ITC ya Nyota huyu kuja Simba .
Simba ilifanya Biashara na Aj Vancuer na huyo Pichani ambaye yupo na Mpanzu Sambamba na Try Again ni mwanzilishi wa timu hii anaitwa Fondee hapo ni Dar eS Salaam wakati Mpanzu anasaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.
Elie Mpanzu alipelekwa AS Vita kwa Mkopo tuu wenye makubaliano ya kulipwa Dola 30000 kwa miaka miwili lakini AS Vita walilipa Dola Elfu Tano tuuu .
Hivyo Biashara ya Mpanzu kuja Simba timu ya AS Vita hawakuhusika kwa sababu si Mali yao hivyo puuzeni taarifa zote kuhusu Elie Mpanzu na AS Vita huyu ni mchezaji halali wa Simba ambaye wamefata taratibu zote kupata saini yake .
Wakala wa Elie Mpanzu MR Papida anasema Mpanzu bado ataendelea kuwapa mateso wapinzani msimu ujao akiwa na jezi ya Simba .
OGOOOPA MATAPELI ELIE MPANZU NI MALI HALALI YA SIMBA WAMENASA SAINI YAKE KUTOKA AJ VANCUER ILIYO CHINI YA RAIS MARCEL KABEYA .
????NB CONGO DR ???????? KUNA DOGO NI ZAIDI YA ELIE MPANZU SASA ALETWE ILI TIMU ZIGOME ZAIDI. #simbasc #mpanzu #NguvuMoja
#ligikuutanzaniabara #nbcpremierleague #congodrc???????? #africanfootball
@simbasctanzania @elie.mpanzu
#mpekeo_mtandala.