HEADMASTER WA KITAA ✍️
Ukinunua gari ambalo lishawahi kutumika mwanangu... Utatumia gharama kubwa ili ulitengeneze liwe zuri....
Gari hilo litakuwa vizuri na utaanza kuliendesha .... Kwenye kuliendesha kwako utapita Barabarani na aliyekuwa mmiliki wa gari hilo kabla ataliona gari lake likiwa vizuri....
Mwenye gari atakumbuka jinsi alivyokuwa analiendesha gari kipindi lipo kwake... Mwenye gari pia fridge haligandishi ...
Mmiliki wa nyuma atamwaga sifa ya gari hilo kwa marafiki zake .... Pindi alivyoliendesha gari hilo usiku kucha na jinsi lilivyo bora ...
Mwishoni kuna siku atatafuta njia ya kuendesha gari lake hata kwa wizi ....Pia wale ambao walipewa hadithi ya gari hilo used pia watatamani waliendeshe ....
Unaweza kununua gari used na likawa lako ... Lakini bado mwenye nalo akawa na uwezo wa kulitumia ....
Tafuta gari lako mpya
Kwa heshima...
HEADMASTER WA KITAA ..