MORICE MICHAEL ABRAHAM ameendelea kufanya mazoezi na klabu ya SIMBA SC, Siku ya Jana, pia alianya mazoezi ya mwisho kabla ya kuwaava KMC Siku ya leo mnamo majira ya saa 10 jioni
MORICE MICHAEL ABRAHAM ambaye kwa sasa hana timu ya kuchezea baada ya kumaliza mkataba na timu yake huko nchini Serbia ameamua kulinda kipaji chake na kuendelea kujifua na kikosi cha SIMBA SC pale BUNJU, MO SIMBA ARENA
MORICE MICHAEL ABRAHAM anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, he's a number 10
MORICE MICHAEL ABRAHAM yuko chini ya usimamizi wa SAMA Player Management ambayo MBWANA SAMATTA ndie mmiliki
Pia inasemekana FADLU DAVIDS anamtizama kwa jicho la tatu huyu kijana kama akiweza kuvutiwa nae kwenye project yake ya msimu ujao ataupa taarifa uongozi ili waweze kumsajili
???? @simbasctanzania.