"NIKABIDHI VYOTE DEAR!"
💋Nipe wako moyo, niishi kwa amani.
Nikabidhi lako pendo, nipate heshima.
Nipakate Kama yai, moyo wangu utulie.
🥀Wema ni asili yangu, huruma ni maumbile yangu.💋
Upendo ndio siraha yangu, upole ndio ngao yangu.💋
@@@@@@@@
💋 Ila wasiwasi ndo ugonjwa kwangu hasa nisipofahamu uzima wako. "U HALI GANI MY DEAR?."
Ila siyo lazima unijibu. 💕Hata ukitikisa kichwa tu., Inatosha.
💋 Ulalapo, niote nikuote.
I love you 💋.