??????????????????????????????Ameandika hivi Mmiliki wa Nottingham Forest baada ya Picha kuzua Mjadala!
"TUNAJIVUNIA NA TUKO KARIBU SANA NA KOCHA NUNO"
"Leo ni siku ya Kushangilia kwa sababu, baada ya Miaka 30, Nottingham Forest ina uhakika wa kushiriki Dimba la Ulaya kwa mara nyingine tena.
Zikiwa zimesalia mechi 2 Ligi iishe, inatubidi tupambane sana mpaka mechi ya mwisho, tunajivunia na tuko karibu sana na #Nuno na timu nzima kiujumla na tunapaswa kwa pamoja tufurahie mafanikio yetu".