Thierry Henry kuhusu Rayan Cherki🗣; "Kusema Kweli sijawahi kumuona mchezaji yeyote katika vitabu vyangu vya historia anayekokota mpira kwa kasi kwa miguu yote miwili kwa uwiano sawa "
..
..
Nakazia tu kuwa Hapa Pep Guardiola kapata mchezaji ...hii ni mali sana ...Jamaa anascan chap mpaka hata mtazamaji unachanganyikiwa ..
Anatumia miguu yote miwili ...akitumia Kushoto unasema huyu ni left footed ,na akitumia kulia unasema huyu ni right footed 🙌🙌🙌🔥..
Huyu wao Ufaransa wakati anakua walikuwa wanamuita "The New Lionel Messi" ni kutoka na uwezo wake wa Kudribble .
Awa Ndiyo wachezaji wa Pep Guardiola ...na nasema kuwa Erling Haaland atafanya sana Tap-In kwa pasi za huyu Fundi ..