Ingia

Music News

Lyrics

Diamond platnumz lyrics Nitafanyaje

30th Jan, 2025

Nitafanyaje"


Siwezisema kitandani, labda umasikini wangu

Ndo kinayonishusha thamani watahminike wenzangu

Siwezisema skujali (Labda vizawadi vywangu mimi)

Havikufikia ukubwa wanavitoa wenzangu


Kinachoniumiza hauridhiki ugao wa Mola

Ningali kwa mimi mbona hujaombola

Na mbaya kabisa, rafiki wananichora

Kwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)


Oh oh mi moyo wangu mamaa

Unaona uchungu

Mwenzake mi moyo wanguu

Anauumiza sanaa


Sema nitafanyani

Ndo ivo nitafanya

Ila nitafanya nini

Ndo ivo nitafanyaje


Nashikwa nigagaziko kila nikiingia chumbani

Sijui nilalie tandiko ama sakafuni aah

Nachoka tu kwa nje ndani (Masikitikoo)

Sababu pengo lako honey (Bado lipoo)


Eeh, kinachoniumiza hauridhiki ugao wa Mola

Ningali kwa mimi mbona hujaombola

Na mbaya kabisa, rafiki wananichora

Kwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)


Oh oh mi moyo wangu mamaa

Unaona uchungu

Mwenzake mi moyo wanguu

Anauumiza sanaa


Oi, lije-lije, hii ngoma iweke lipiti

Maana natupa stimu na wanangu kulilia kijiti

Lije-lije, hii ngoma iweke lipiti

Sajuti ya wazimu kuitoa tu msema muziki


Kwa maana inatu (Fire) na inatu (Fire)

Mwanangu inawa (Fire) na inawa (Fire)

Machizi wote wanapata (Fire) eh wanapata (Fire)

Na mbegu zinapata (Fire) eh zinapata (Fire)


Namnema mwanangu kwa upande wa kanga

Nilitamani tenge ila sijajipanga

Namnema mwanangu kwa muda pata mwenzio

Nilitamani manasi ila ndo sina salio


Mama yo mama (Amenitenda kausha damu)

Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)

Oh mama yoyo (Wamenitenda kausha damu)

Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)


Asa waitee

Oya makofi kigogo nipe mawili

Ka hujatumika sana sehemu za siri

Kaso mlunganzila shepu asili

Sa nipe ya kibunge-bunge utitiri (Twen zetu)


Asa audi waletee, walete apa kati

Waletee haoo, walete apa kati

Waletee asaa, walete apa kati

Walete haoo, walete hapa kati


Eeh tunacheza mpaka sa ngapi tunachezaa (Mpaka asubuhi)

Tunaruka mpaka sa ngapi, tunaruka (Mpaka asubuhi)


Hivi tena, bado sijaona

Hivi tena, bado sijaona

Hivi tena, bado sijaona

Hivi tena, bado sijaona


Eeh (Kuelewa) aah

(Eeh unayumba) eeh (Sasa umeelewa) aah

Eh unayumba


We ndo si huelewa sa mbona unayumba

Unavyomwelewa eh unayumba


Oya wahuni wana namba zao zinaitwa (Apana chando)

Wanangu wana mamba zao zinaitwa (Selasini na mbili)

Masala wana mamba zao zinaitwa (Ishirini na sita)

Oya kuna wengine hawala namba

.