Ingia

MAWASILIANO

Email muziki@gonga94.com

Send     Whatsapp

KWANINI UNATUHITAJI SISI?

Sisi ni wewe tupo pamoja kwenye mafanikio yako kila hatua tuta hakikisha tunakuwa pamoja na wewe mafanikio yako ni mafanikio yetu, Tuungane tuwe kitu kimoja kwenye safari hii ya mafanikio ya pamoja. lengo letu kujenga usawa wa kimtazamo kwa kila mmoja wetu na kuacha zile zana potofu. Biashara yako ina thamani kubwa sana kwenye maisha yako, na wale wote walio nyuma yako kwa nini isiwe leo Anza sasa kwa kutangaza bure kabisa.

CHUKUA HATUA CHACHE SASA

1. Tengeneza banner (cover)

2. Ukubwa uwe upana 300px urefu 250px (Size width 300px height 250px)

3. Hakikisha ubora wa Tangazo lako ni bora

4. Maelezo yaendandene na bidhaa uliyo nayo

5. Tengeneza Account Kupitia gonga94.com

6. Hakikisha account yako ipo updated(kamilisha usajili wote)

7. Toa zawadi kwa wasomaji wa makala zetu (sio lazima)

8. hakikisha Unapo kuja Whatsapp umekamilisha maezo yo te ya hapo juu asante kwa muda wako.

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest