VYOTE NDANI GONGA94
*MY WANGU❤️* *________________________________________* sehemu ya 7 na 8
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi nikaludi sasa ofisini kumsikiliza mwalimu . Nikasema ndio mwalimu. Akanmbia okey nataka kujua nyumbani unaishi na nani? Nikasema na baba na mama mwalimu. Akanmbia sawa kesho umwambia mama aje shule. Nina mazungumzo nae. Aseeeeee moyo wangu ulifanya paah.nikasema mwalimu si nafanya adhabu vizuri lakin. Mwalimu akasema kwan nimeongea masuala ya adhabu apa. Si nimekwambia umuite mama aje na usimlete baba apa. Namtaka mama yako kesho apa. Mh nikasems.sawa mwalimu. Basi nikatoka na wasi sana mpaka naogopa jamani. Mh moyo unaenda mbio jamani. Yani sikuelewa nimemkosea nn mwalimu mpaka anataka nimlete mama jamani.
Baadae nikiwa darasani, nikamwambia yusta mi mwenzio sina rahaa sijuh nimemkosea nn mwalimu mgile. Yusta akasema mh sina hamu nae uyo baba. Yani kanipiga bakora ya mgongo leo nimechelewa kufika kwa dakika 2 tu. Khaaaa kihkweli sina hamu nae. Kwanza ana sifa sana. Na mimi nikajazia maneno.nikasema na lina kihere here sana., limwalimu gani hili halina ata huruma. Nikasema sasa mm nna kesi naye nakwambia . Et ananmbia nikamuite mama. Mimi mpaka naogopa nahisi kesi itakuwa kubwa sana. Yani mpaka naogopa wallah. Yusta akasema ahaaa uyu mwalimu mi nitakaa nae mbali mita 100 nakwambia. Nikasema aya bwna ila mm ndo nna kisanga kanambia tu nikamuite mama hajanambia ata nimezingua nn.yusta amanmbia na mama yako alivyo mkari mh we kazi unayo shogaa. Nikasema acha tu jamani.
Basi mda wa kurudi shule ulivyofika njian tuliongea mengi sana na yusta . yote yukimsema mwalimu mlige. Yani apo nilikuwa naogopa namjua mama mimi . Ata mind sana hapendi kesi kesi za shule .bola baba hanaga noma ata nikifanya kesi akija yeye tunamaliza uku uku shule .ata ananitetea mda mwingine.na kama nimezingua kesi kubwa .kwa mama anasema kitu kengine kabisa. Yani mzeee msukuma mie ndo roho yake. Na anafanyaga mengi baba yangu kunitetea.wala hana baba ila mama mh namjua hataki upimbavu kabisaaa.
Basi njia nzima tulikuwa tuamsema mwalimu mgile. Ahaa yusta ndo alikuwa analalamika mno. Yani analalamika kweli kweli. Basi bwana nimefika home .nikamkuta mama kapumzika chumbani kwake. na ashaniandalia chakura. Nikaingia ndani nikabadili nguo.kisha nikatoka sasa.nikapiga msosi. Nilipomaliza kula sasa ndo na mama anatoka chumbani kwake.nikamsalimia akaniitikia .mh nikakausha kwanza mana mi mwenyewe namjua mama na bado sijajua nna kesi gani na sir mlige mpaka anamtaka mama. Ila sasa nilipoona mama katulia . Ndo nikamsogelea .nikamwambia mama mi namshangaa uyu mwalimu mkuu mpya et anasema kesho ww uende wakti mie sijafanya kitu chochote shuleni mama. Mama akanikata jicho kali. Akanmbia we mpumbavu ayo matako yako makubwa yanakuchanganya si ndio. Nakuuliza ww umefanya nn shule. Nikasema jamni mama mi sijafanya kitu.
Mama akasema sawa naenda iyo kesho yani we kumanina nikipewa kesi zako za kipumbavu uko shule.nitaanza kukudunda shule kisha nakuja kukumalizia nyumbani. nitakuonesha ujeuri msenge ww.mh nikanyamaza kimya . Mana nikaona mambo yashakuwa mengi apa. Basi hii siku mama akaninunia kabisa . Akahisi mm shule nimeaharibu ndo mana anaitwa shule . Basi alivyoludi baba akamsimulia uku ananisokomeza maneno . Mi nikanyamaza kimya .baba akanmbia umefanya nn shule. Nikasema baba mi sijafanya kitu .ila nashangaa tu mwalimu akasema niende na mama tu. Ila mm sijakosea kitu baba. Baba akasema sawa mama kesho ataenda na ww na mtaongea tu vizur. Mambo yatakaa sawa na wala usiogope . Nikasema sawa
Baba hanaga shida ila mama alilala na hasira jamani . Asubuh sana mama ndo alinikurupua jamani. Yani ni fujo tu. Mi nikajiandaa haraka haraka kisha na yeye akajiandaa .kisha sasa tukaanza kuelekea shule..mh uko njiani nilikuwa nakoma mama ni ananisema jamani. Ananipelekesha kweli kweli. Yani anaongea sana . Annambia yani kama baba yako anakuchekeaga basi sio mimi. Nitakudunda ww hautaamini. Nitakupiga kweli kwrli mpka uzimie utaona sasa.na ntakuoneshaaaa . Ntakudunda leo hautaamini. Loooh mpka.nikawa naogopa mana nilishajua uku shule kitawaka leo
Basi tumefika mpka shule .na kwa bahati sir mlige alikuwa ofisini. Kwaiyo sir tupa akaturuhu guende tu ofisini kwake. Na tukaelekea uko. Kisha mma akagonga. Na sir mlige akasema ingia. Msauti wake mkavu loooh.basi tukaingia sasa moja kwa moja. Na kweli sir mlige alikuwa ofisini. Alipomuona mama akasimama kisha akamkalibisha kwa heshima sana. Mama akakalibia kisha akasalimina na sir mlige . Na mimi nikamsalimia mwalimu. Kisha mama akasema eeh baba nambie uyu mshenzi amefanya nn. Amefanya nn uyu mjinga anayeendekezwa na baba yake. Sir mlige akasema hapana mama wala hakuna shida ni masula ya kawaida tu. Ila unajua faridah ni binti mwenye akiri sana apa shuleni na anajitahidi sana . Ayo mengine ni ya kawaida tu mama yangu .wanafunzi awa lazima wawe na usumbufu kidogo na sisi gunapambana nao na kuna mda tunawapa mpaka adhabu kuwatisha na shule inaenda
Ila kiukweli mama mimi ni mwalimu lakini pia mimi ni mzazi. Faridah unamlea ww akiwa nyumbani na akiwa shuleni basi tunamlea sisi walimu. Mama akasema ndio ni kweli mwalimu. Sir mlige akasema sasa mama mi naumia Sana nikimuona faridah katika hizi sare za shule. Na fikir ata yeye atakuwa anaumia akiwaona wenzie wanavaa sare nzuri ila yeye za kwake mpka kuna baadhi ya sehemu kashona. Na wakati ni binti anayefanya vizuri sana. So mama mi naelewa.na huenda wewe na baba mana changamoto za kipesa ndo mana mmeshindwa kufix ili kwa sasa. ila mimi nataka nimsaidie farida ili tumuweke katika mazingira mazuri zaidi. Dooo kumbe kuna mda uyu nae akauwa mtu eeeh. Alafu alikuwa ananichora kuwa nimeshona sare zangu na sindano ya mkono😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
USIKU MWEMA
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-________________________________________-sehemu-ya