Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 19  na 20
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 19 na 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nikasema jamani asa kwa nn nife yusta kwani si ni kawaida. Yusta akacheka akanmbia ooooh kumbe kawaida aya bwana. Yusta akasema eeh shera runzewe sehemu gani iyo ulipowaona sir mlige na madame zahara. Shera akasema shoga pale pale stand . Tena nilimuona sir mlige kavaa pensi alipendeza na madame zahara alikuwa kavaa gauni refu. Tena sir mlige alivyopack gari akashuka kuja kumfungulia madame ndo nikawaona sasa. Nyie Yani zile story zikanichefua . Nikaacha na kufagia nikaanza kuondoka zangu. Yusta wala hakunifata. Mi nikaingia zangu darasani .wakati ata mda wa kuingia class bado .ila niliona tu kuna jinsi nimejisikia vibaya kweli. Nikaona kumbe uyu baba ni mshenzi anajifanya ananipenda mimi. Kumbe anatembea na madame zahara . Nilimind kweli. Yani sijuh ata ni wivu sikuelewa kabisa

Mala yusta akaingia mule darasani akanikuta nimejinunisha kwli kweli. Yusta akanmbia aya kitu gani kinachokununisha na bwna humtaki. Unajua we bado mdgo sana huelewi maisha we si unamlingia yule baba. Endelea kumlingia nazani umesikia watu wanavyomuongelea sasa kaaa ukizani kila siku atakubembeleza ww. Atageuka upande mwengine. We ukmaliza shule unabaki kwenu sula imekupauka. Mwanaume ana gari .ana kazi ana pesa anapendeza . Et simtaki mkubwa . Ohhh ntanichanganya sasa kaa hivyo hovyo . Mh nikasema mm sijanuna kwa ajili yake bwana. Yusta akacheka .akasema aya kimekununisha nn. Nikasema na mambo yangu mengine kabisa. Yusta akanambia aya ndo ushasikia uko kuna madame zahara . Aya dada . Unazani mwanaume kama yule watu watamuangalia tu na kumlingia kama ww. Nipo apa. Mtu mwenyewe kwanza sitaki nataka. Utakuja kustuka kumekucha. Mh maneno yaliniingia jamani . Mh ila nikajifanya kama vile nimepotezea tu. Basi nikajinunisha pale.

Mda wa darasani ulipofika tukaingia class. Na vipindi vikaaanza ila .sikuwa na raha hii siku . Yani sikuwa sawa sijuh ni wivu sijih ata ni nn.nilikuwa natamani niende ofsini kwa mlige nikamuulize ila naanzia wapi mimi. Yani naanzia wapi kwanza nnamuogopa sir mlige kweli kweli. Yani nnamuogopa aswaa. Basi nikaendelea na msomo ila nilijinunisha ata na yusta hatukuwa tumeongea sana. Na mda wa kuondoka njiani ni kimya .yusta wla hakuwa na mda na mimi. Basi nilifka nyumbani nna mawazo sana. Mwenzenu ata kula sikula sana kabisa. Mama akaniuliza ww ni una umwa mbona leo hujala kabisa. Nikasema najisikia vibaya mama. Basi mama akanmbia sawa kapumzike. Basi mie nikaenda kupumzika. Mnazani nilipumzika .nahisi moyo unauma. Nageuka nageuka kule .mala nalala vile mala nalalal hivi. Naona moyo unauma mpaka machozi yakawa yenanitoka sasa. Nyieee nahisi sijuh mama alisikia kwikwi zangu akaingia ndani ananikuta nalia. Aseee mama alistuka yani alistuka mno.

Haraka akaja kitandani .akanmbia faridah una shida gani mwanangu mbona unalia . Mnazani naweza kusema wala sikuongea kitu ila ndo nikawa nazidi kulia. Yani nililia ile serious moyo ilikuwa unauma .nilihisi kama sir mlige alikuwa ananidanganya kume anatembea na madame zuhara. Mama akanmbia nyamaza unambia unalia nn. Nikasema mama hakuna kitu. Mama aksema hapana hakuna kitu mbona unalia .nakuuliza mbona unalia. Kuna nn shuleni nambie . Nikawa nalia tu. Mh mama alipoona sinyamazi na sisemi kinachonisumbua akachukua simu akampigia mama yusta. Na mama yusta alipopokea simu. akamwambia mama yusta samahani naomba uniitie yusta aje nyumbani huu mdaaa. Apo mama kashachanganikiwa ananibembeleza uku ananiuliza ni nn kinanailiza . Yani nilimuogopesha sana mama. Akaanzaa kuniuliza au kuna mwalimu kakupiga sana leo mwanangu aya nambie ila wala sikuwa nasema zaidi ya kulia tu.

Basi kweli hazikupita dakika 10. Yusta akawa ameshafika kweli. Mama akamwsmbia pita uku chumbani kwa faridah na kweli yusta akaingia akanikuta nalia na macho ya mejaa kwa kulia.mh yusta alinishangaa mno. Mama akamuuliza yusta shule kimetokea nini .mbona farida amerudi hana rahaa na hajala kabisa . Ameingia ndan analia sana mi mpaka ananitish. Yusta akasema daah mam fridah bwan kun mtu tumekutna nae njiani wakati tunaludi shule. Ndo alimtania tu. Akamambia ana mchogo mkubwa na hapendezi akivaaa et . Ndo akakasilka tangu kule ndo ilo tu asa sijategemea kama atalia. ( uzuri mama ananijua mimi ni mwepesi sana kulia mtu akinikwaza kidogo tu nalia.mama ananielewa mno. Ata yusta ananijua. Yani mm kulia ni mala moja mtu akinikwaza) .Mama akasema mh hilo tu. Ysta akanikonyeza nikaona bola nikae kwenye uu uongo. Nikasema mama kanmbia na miguu yangu mibaya. Mma kasema mpumbavu ww ndo kinachokuliza . Unalia upumbavu . Kelele sas ivi ntakudunda .we mbona mjinga sana . Utaacha kini kuwa mpumbavu faridah.mama akanmbia aya nyamaza sasa hivi ntakudunda mbwa ww .mpaka ujishangae.mi nikawa nimwnyamaza ila bado kwiki za kulia zipo. Mama akasema yusta mwanangu nenda nyumbani uyu mwenzio mpumbavu sana yani hana akiri ata kidogoo . Basi yusta akaondoka mama akanambia yani faridah unadeka sana na anayekuharibu ww ni baba yako. mtu kukwambia hivyo ndo unakia hivi mpaka jnanipa wasi wasi mimi. We mtoto mbona kma mjinga jamni kwani kma mtu kakwambia ww mbaya nawe si umulidushie jamani na ww mwambie mbaya unajiliza nn na mambo ya kipumbavu mpka unanaiogopesha we mtoto.basi nikabaki kimya

Basi mie ndo nkanyamaza .mama akanmbia pumzika kwanza mana umelia sana mjinga ww. Nyie apo ndo kidogo nikajiona swa sijuh ile kuzubgumza na watu. na usingizi nilipata na mama hakuniamsha mapema aliniacha nilala sana.nikaja kustuka usiku kabisa. Nikala chakura cha usiku nikaludi tena kitandani kupumzika . Mama wala hakumwambia mzee upumbavu wangu na asubuh niliamk na homa sio mchezo. Yani mama alikuja kuniamsha ila alivyonishika mwli ni wa motot mno yani sijuh ile kulia sana jana yake.mama akanmbia mh hapana leo hakuna kwenda shule pumzika tu kwanza. Na kweli sikuweza kwenda shule kabisa sababu sikuwa sawa
Basi mama alinipikia chai nikapiga na vitafunwa mama akanipa dawa nikapumzika zangu tu chumbani kwangu mana kweli mwili wangu haukuwa sawa.

Mpkaa mchana mama akanimsha nikaoge. Nikainuka nikaenda kuoga nikabadili nguo. Apo nilikuwa najisikia sawa kabisa. Tukatoka nje na mama tukawa tumekaa kwenye mkeke tunaonge yetu. Nilihajisau kama naumwa mpka mda uo nilishakuws okey kabisa nikawa naongea na mama vizur. Basi tukiwa pale bwan si naona piki pik inakuja kwetu .heeee naangalia vizuri nilistuka si namuona sir mlige ndo kapakizwa kwenye ile boda kaja nyumbani mi nilistuka mana sikumtegemea kabisa kama atakuja nyumbani .mama alpomuona akamkaribisha vizuri sana . Na sir mlige akamchangamkia san mama. Mama akasema katoe sturi uko unashangaa nn. Mh mie nikaingia ndani nikachukua stur nikamuwekea pale.nikaona ananiangalia sana.

Mlige akasma aha samahani mama .leo nimesikia mwanafunzi wangu hajaja shule nikaona sio mbaya nipitie nije kumuona mana nilikuwa naenda kijiji cha apo. Vp shida nini. Mama akasema dohh hongera sana mwalimu kwa kujali na kuwapenda wanafunzi wako.ni kweli sir mlige leo faridaha hajaamka vizuri ila usimchape leo ni kweli alikuwa anaumwa. Sir mlige akasema hapana mama wala sitamchapa. Ila naona sasa unaendela vizuri faridah si ndio. Nikasema ndio .akanmbja natumani kesho nitakuona darasani alfu anaongea uku kankazia macho uwii. Nikasema ndio mwalimu. Basi mlige akajifanya kuongea na mama . Akaanza kumuuliza mma mashamba sijuh anataka kulima. Mama akasema wala usijali baba mashamba uku ni mengi. Kuna ya kukodi na kununua wewe tu. Basi akaongea sana na mama akamwambia atakuja siku na ataongea na baba amfanyie mpango wa mashamba anataka kulima. Mie nilikaa kimyaa. Mh akajiongelesha sana kwa bi mkubwa. Mama nae ndo kamchangamkia mno.

Basi baada ya mda . Sir mlige akasema sasa mama mimi nataka nikuache kidogo .mama akasema ahaa jamani sawa mwalimu mana nilishakuzoes apa karibu sana . Sir mlige akasema wala usijali mama siku nitakuja mapema tutaongea sana .kisha Akanyanyuka akatoa pochi akavuta pesa akampa mama. Et mtampikia basi mhonjwa wangu hii mama.mh mama aliipokea kwa shangwe full kuchangamka. Asante ndo kama zote. Basi sir mlige aksem faridah hunisindikizi mwalimu au ndo unajisikia vibaya . Mie nikasema hapana mwalimu nakusindikiza. Mama akasema msindikize mwalimu wako kwanza ujichangamshee. Basi nikainuka sasa kisha nikaanza kumsindikiza .akanmbia nipeleke kituo cha boda boda niludi shule nimamlizie majukumu yangu nishakuona ugonjwa wang. Mie nikanyamaza kimya. Tulivyotoka maeneo ya nyunbani kidogo. Mlige akanmbia kwaiyo unahisi mimi natembea na zahara. Unahisi madame zahara mimi ni mwanamke wangu. Mh nkaju apa lazima yusts itakuws kamsimulia mwalimu

Nikasema hapana sijahisi hivyo. Sir mlige akasems mh kumbe unanipenda sana kiasi cha kukosa rahaa mpkaa unalia tu. Sasa huoni kutokuwa na mie ndo utafeli mana nishaanza kukuvuruga. Nikanyamaza kimya na tulikuwa tushafika zinapopaki pik piki akatos elfu 50 akanishikisha mkononi. Akanmbja kesho nikuone shule acha kudeka sawa. Nikasema sawa. Basi ye akapanda boda kisha akasepa zake.

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 19 na 20



Nikasema jamani asa kwa nn nife yusta kwani si ni kawaida. Yusta akacheka akanmbia ooooh kumbe kawaida aya bwana. Yusta akasema eeh shera runzewe sehemu gani iyo ulipowaona sir mlige na madame zahara. Shera akasema shoga pale pale stand . Tena nilimuona sir mlige kavaa pensi alipendeza na madame zahara alikuwa kavaa gauni refu. Tena sir mlige alivyopack gari akashuka kuja kumfungulia madame ndo nikawaona sasa. Nyie Yani zile story zikanichefua . Nikaacha na kufagia nikaanza kuondoka zangu. Yusta wala hakunifata. Mi nikaingia zangu darasani .wakati ata mda wa kuingia class bado .ila niliona tu kuna jinsi nimejisikia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-19-na-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 18
MY WANGU❤️ sehemu ya 18
MY WANGU❤️ sehemu ya 21
MY WANGU❤️ sehemu ya 21
MY WANGU❤️ sehemu ya 13 na 14
MY WANGU❤️ sehemu ya 13 na 14
MY WANGU❤️ sehemu ya 15
MY WANGU❤️ sehemu ya 15
MY WANGU❤️ sehemu ya 12
MY WANGU❤️ sehemu ya 12
MY WANGU❤️ sehemu ya 10 na 11
MY WANGU❤️ sehemu ya 10 na 11
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
MY WANGU❤️ sehemu ya 24 na 25
MY WANGU❤️ sehemu ya 9
MY WANGU❤️ sehemu ya 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.54K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.58K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.27K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.2K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.14K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.05K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest