Hi nyimbo ndani yake Kuna maumivu makubwa Sana vile binadamu wakati wamagumu Mambo huwa Ni mengi Sana yani mbaka Kuna wakati unaweza uka mkufulu mungu ila yote kwa yote kamanda is back tumpe sapoti kwenye social media na kwenye digital platform zote hasa Spotify ili apate angalau pesa kidogo huu utakuwa mchango wa kweli twendeni jamani twendeni jamani.