Verse 1 Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Tabasamu njoo,Nataka nibadiri Wangu mtazamo niishi kitajiri Na wewe maumivu njoo,Nataka nibadiri Wangu msimamo niishi kijasiri, Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa). Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah, Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha). Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah!!! Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Verse 2 Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani, Zamani huko nililishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Verse 2 Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani, Zamani huko nililishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Verse 2 Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani, Zamani huko nililishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Zamani huko nililishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Zamani huko nililishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Kwanini mimi!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa..