Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.
Gonga94 ยท Stories

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
19 MPAKA 20
๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ

Mwandishi; lissa wa huru media

Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi najiliza atari . Mama yangu akamsogelea baraka akampiga vibao vya nguvu. Akawa bado anataka kumpiga baba ndo akaingia sasa. Akasema muache baraka namuamini sana hawezi kufanya hivi ila uyu mwanao ana hila sana juu ya baraka. Nikasema baba kweli. Kaja kuniita kule chumbani kwangu . Kanambia anaumwa nimletee dawa . Nimemletea dawa ndo akawa anataka.kunibaka bba. Baraka akasema mjomba sio kweli sio kweli kabisa. Mama akasema kellele wewe mbakaji mkubwa na kwangu unaondoka mpumbavu wewe. Huna akiri mshenzi kabisaaaa. Baba akasema ebu vaaa kwanza. Mana apo naongea nimejifunika kishuka tu. Basi mama akaniokotea gauni langu akaniveshea kwa juu. Kisha baba akasema baraka na shakira nawaomba sebeleni. Kisha baba yeye ndo akawa wa kwanza kutoka chumbani kwa baraka. Mama akaniinua uku nalia. Baraka mbona hakuamini macho yake. Basi tukafika mpaka seblen . Apo na baraka alishavaa sasa mana kule chumbani alibaki na kiboxa tu. Basi baada ya mdaa mzeee akatoka kashika msaaahafu( kitqbu cha mwenyezi mungu cha waislamu). Baba akasema baraka shika kitabu iki uape kwa mungu.kuwa haujafanya iki kitu na kama umefanya basi udhulike apa apa. Ata upate kichaaa.

Baraka akakipokea. Akakishika vizuri. Akasema mimi baraka . Kama nimefanya tukio la kutaka kumbaka dada shakira nizulike apa apa . Ata niwe chizi mimi. Apo anaongea mpaka analia .mh nikajua leo baraka nimemshika pabaya mpaka analia. Mana tunamfanyiaga mengi ila sijawahi kuona chozi lake uyu kaka ata siku mojaaa. Ila leo mpaka alilia. Bada ya kiapo baba akanipa mimi sasa. Weeee kwanza kukishika tu kila kitabu nikawa natetemeka. Baba akanmbia apa na wewe. Na kama unamsingizia mwenzako shakira kesho tunakuzika. Weeee kusikia habari za kufa tena. Nikasema.baba mimi simpendi baraka nataka aondoke kwetu. Baba akanmbia ooooh kumbe kwaiyo wala hajataka kukubaka si ndio. Nikatikiisa kichwa kuashiria ndio. Aseeee mzeee akanikamata aliniweka mingumi. Yani mingumi ya maaana.nilisikia mwili wangu kama unavunjwa vunjwa nakwambieni.

Baba akasema wewe mtoto ni shetani. Shakira wewe ni shetani.hizi tabia umepata wapi. Uyu ni baraka ni kaka yako. Kwani mnamuonaje. Naona sana kwa jinsi mnanyanypaa. Ana wakwaza nini. Uyu baraka anakula kilo ngapi. Nani anafanya kazi zaidi yangu umu ndani. Mimi ndo natafuta kwaiyo uyu baraka anakula nguvu yangu. Kama mama yako kakutuma naomba mkome. Na kama hamtaki baraka aseme nimpe tarka yake. Akuchukue na ww mwanae musepe. Wapumbavu nyinyi. Uyu baraka ana shida gani. Kwanza ni mpole sana na mwnye adabu. Anafanya kazi zote kama mtoto wa kike . Bado hamukioni hilo. Leo mnapanga njama za kutaka kumuangamiza wauaji nyinyi. Sasa si hamumtaki baraka mimi mama shakir anakupa taraka uondoke na mwanao. Nyie mbona nilichochea ya kuchochea nyie. Mama yangu akapiga magoti haraka akasema mume wangu mimi sijamtuma shakira kitu kama hicho mume wangu. Na siwez kufanha hivyo ata kidogo. Nisamehe jamni mume wangu. Baba akasema hapana wewe unayafuga aya. Mimi najua sana kama wewe na mwanao hamumpendi baraka ila sikuzani ni kwa kiasi iki mpaka mnamsingia ubaya kama huu. Mimi siwez .mzimu wa marehemu dada utanitesa kwa kumtesea mwanae. Nasemaje nakupa taraka a oyaaaaa mbona nilijuta mimi. Yani familia inafalakana kweli kweli kwa sababu yangu.daah

Aseee mama aliloa jamni uku anaomba msamah. Mpaka baraka ndo akaingialia akasema mjomba mimi sina kinyongo tena.cha muhimu imejulikana sijatka kufanya hivyo.msamehe shangazi . Hausiki bila ya shaka mjomba. Sisi ni familia. Tutakaa na shakira na kumuelewesha .usipanic mjomba na usifanye maamuzi kama ayo . Mama anasema baraka mueleweshe mjomba yako jamni. Yani mama mwenyewe anamlilia barka aongee na mzee. Na hii siku mzeeee alichafukwa alikuwa yupo serious. Basi barka akamsogelea baba akamshika mkono akaanza kumtuliza akamwambia mjomba tulia .aya yashaisha mjomba. Yani baraka aliongea mno ndo baba akaelewa sasa. Akaamchukua mkewe wakaingia chumbani .aseeee mama leo alikuwa anaachwa jamni. Nikabaki mimi na baraka apo ishafika saa 11 alfajir.

Baraka akanambia nenda kapumzike. Tutaongea kesho. Yaan aliongea normal kama hakuna kitu ambacho nimemkosea .nilijisikia aibu sana jamnai. Niliona hayaaa mno. Yani haya kweli kweli .yani uwiiii.basi akaniacha pale kisha yeye akaingia ndani kwake. Mh na mimi tu nikaenda chumbani kwangu. Nikiwa hoi. Na miaibu yangu shuuu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.

19 MPAKA 20
๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ

Mwandishi; lissa wa huru media

Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi najiliza atari . Mama yangu akamsogelea baraka akampiga vibao vya nguvu. Akawa bado anataka kumpiga baba ndo akaingia sasa. Akasema muache baraka namuamini sana hawezi kufanya hivi ila uyu mwanao ana hila sana juu ya baraka. Nikasema baba kweli. Kaja kuniita kule chumbani kwangu . Kanambia anaumwa nimletee dawa . Nimemletea dawa ndo akawa anataka.kunibaka bba. Baraka akasema mjomba sio kweli sio kweli kabisa. Mama akasema kellele wewe mbakaji mkubwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-19-na-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sasa-nakupenda-sehemu-ya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

669
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

321
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

274
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

243
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

153
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

97
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

77
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

8

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.41K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.39K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor โ€” both just starting out โ€” probably had no idea they were about to become such huge stars. Thereโ€™s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. Theyโ€™re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zote๐Ÿฅฑ. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest