SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Mwandishi; lissa wa huru media
Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako uje kunionga. Aseee we dogo utapotoea. Uku wazazi wako wakiwa hawaelewi lolote . Mjinga wewe. Sasa naenda kumueleza mjomba kuhusu uhuuu uchafu wako mpumbavu ww. Akawa anataka.kutoka uku kashika simu yangu. Weeee nikaogopa.nikamzuia kwa mbale haraka . Akasema nini ebu niache nikamuelezeee mjomba kuwa una mwanaume na una simu. Nikasema.sikia basi kaka nisamehe na iwe siri yetu nisameheee kaka. Akasema sawa nambie adriani ndo mwanaume wako sio? Nikasema ndio ndo mwnaume wangu ila.simtaki yeye ndo ananing'ang'ania kaka nisamehe siludiii .usinisemeleee kwa mama. Oyaaaa nilinywea shoga yenu kama sio mimi. Mana huu upumbavu ata mama yangu hawezi kuukubali ata nibonda mpaka nichanganikiwe. Mana mama alikuwa anajua mie bikra kumbe looohπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nikasema nisamehe kaka. Akaningalia sana akanmbia shakira hakuna mwanaume mwenye nia nzuri akawa anakishauri utoloke tena wakati wa usiku kama jana . Tulia sanaa shakira hii ni dunia. Nakuona sana dogo ata adabu hauna.unahisi kila mtu una mmudu sababu ushaanza kufanya mapenzi. Mh kumbe uyu kaka anaongea eeeh. Mana mh alikuwa anaongea alafu yupo serious .nikaona apa ninyamaze tu. Basi alipomaliza kuongea akanipa simu. Akanmbia sasa naomba uchukue hii simu. Ukamludishie aliyekupea. Kisha uyo aktoka nje uku kabeba begi lake nikajua anaenda shule.na mimi nikaludi ndani kwangu .nikamalizia kuvaa nikasepa shule. So hii siku baraka.aienda shule mwenyewe .wala hakupelekwa na baba. Basi nilifika shule nna stress kinoma . Nikasema apa nikitoka tu kwanza naenda kwa adrian kumuelezea juu ya aya yaliyotokea.
Basi kweli mda wa mchana tuliporuhusiwa tu..mimi moja kwa moja mpaka kwa adrian na kwa bahati hii siku nilimkuta. So sikuelewa kwamba hakwenda kazini ama aliwahi kuludi nyumbani. Basi alivyoniona akanambia kwaiyo jana usiku ulienda kwa bwana mwengine anapokea simu yangu ananipiga mikwala mimi. Eeeh .nakuuliza wewe mjinga. Nikasema baby sikia naomba punguza presha na unisikilize na wala haipo hivyo unavyowaza. Yule sio bwana angu ila yule ni kaka yangu binamu . Amekuja nyumbani ana kama.week sasa . Asa wakati nataka kutoroka ule usiku ndo akanibamba. Akanipokonya na simu. Na akanitishia atanisemea kwa mama. So ata mimi apa naogopa mno. Akinisemea kwa wazeeee itakuwa isue adriani. Aseeee adrian akanisogelea akanmbia basi mpenzi sogea apa. Nikasogea akanikumbatia akanmbia tuliza presha .
Nikasema yani baby ilo likaka langu limetoka shamba uko lishamba shamba sana ata silipendi kabisaa. Akanmbia daah basi achana nae mshamba uyo. Simu yako kakupa. Nikasema.kanipa ila kwa masharti. Et niiludishe kwako. Adrian akanmbia kausha kaa nayo alafu achana naye wala usimuhofie wala usimuogope mpumbavu uyo sawa. Nikasema sawa mpenzi wangu. Kisha nikamdaka mdomo nikaanza kumnyonya midomo yake mitamu na laini. Mwanaume akanipakaata tukawa tunaangaliana. Na taraibu nikaanza kushughulika nae apo . Mpka kuikatikia nishazoea naweza vizuri sana. Basi nilimkatikia mauno mnooooo . Yani niliachia nyonga si la kawaida.nikaahakikisha mwanaume wangu kalizika vizuri. Alipotisheka kanmbia asante jamani nimepata utamu mno. Na wewe ni mtamu sana . Thankssss baby.nikasema asante na wewe ni mtamu jamaniiiπ₯°π₯°π₯°π₯°
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni