Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
24 Feb 2026
170 views
VYOTE NDANI GONGA94
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba π₯°π yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto
Basi ndio ilivyokuwa kwanngu, nilikuwa nacheka kama sina akili nzuri, ππΎπ
Kwa uwezo wa mungu tulifika salama kabisa songea, kwa mara ya kwanza Lizy ndio akakanyaga songea, nilikuwa napata sana tabu pale ambapo natakiwa kuongoza njia
Kwa sababau ya sura yangu kuchakazika kwa kipigo kutoka kwa shemeji πππΎ nilichofanya ni kinda boda boda nikawmabia anipeleke kwa Mama Henry.
Mama Henry ni maarufu kwenye huo mtaa kwa sababu binti yake ni muuguzi, so ilikuwa rahisi kufika, basi bwana boda akawasha piki piki lake haoo tukasepa
Safari ilikuwa ndefu kidogo, hatimae tulifika nyumbani bwana, nilishuka nikamlipa boda kisha nikagonga geti, mdada wa kazi akaja kutufungulia na kutusaidia mabegi
Ni vile tu huyu mdada hanaga umbea ila wangekuwa wale wengine sijui tu walah ningekoma πππΎ
"Mama...."
Nilimuita mama ambaye alikuwa amekaa seblen anaangalia TV mama yangu baada ya kuniona alifurahi sana ila ndio hivyo alikuwa na wasiwasi sana
"Vipi huko usoni..??"
Mama aliniuliza
"Nimepigwa mama..."
"Na nani...??"
"Mama hata nikikwambia huwezi ukamjua kabisa..."
"Sawa siwezi nikamjua na huyu binti ni nani...??"
"Aaah huyu ni mama watoto wangu..."
"Mh...."
"Serious mama..."
"Usiniambie ulimtongoza mwanafunzi wako, yani hizo tabia zako wewe, haya huyu mwanafunzi ameaga?? vipi umeongea na wazazi wake wakakubali ?? haya vipi kuhusu shule ??"
"Mama nisikilize..."
"Sitaki kusikia chochote Henry, kumbuka niliwahi kukwambia tabia zako sio nzuri kabisa lakini hukunisikia, nasema hivi mrudishe mtoto wa watu sitaki kesi mimi..."
Mama alizungumza na kisha kusukuma kiti chake cha magurudumu na kuondoka, nikabaki sijui hata nifanyaje
"Henry na njaaa..."
Nikiwa nawaza na kuwazua Lizy aliniambia ana njaa nilichofanya nikamuita mdada wa kazi akamletee msosi, kweli msosi uliletwa akakaa na kuanza kula
Upande wangu hiyo furaha sikuwa nayo kabisa, yani nilikoma kabisa na kuhaidi baada ya hapa nitajifunza kabisa, yani nimepoteza kazi kwa sababu ya kijinga kweli dah π₯Ή.....
ITAENDELEA ........
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha ...
Kipande cha 10 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Basi jio...
kipande cha 9 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ...
7 MPAKA 8 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo ...
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba π₯°π yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto
Basi ndio ilivyokuwa kwanngu, nilikuwa nacheka kama sina akili nzuri, ππΎπ
Kwa uwezo wa mungu tulifika salama kabisa songea, kwa mara ya kwanza Lizy ndio akakanyaga songea, nilikuwa napata sana tabu pale ambapo natakiwa kuongoza njia
Kwa sababau ya sura yangu kuchakazika kwa kipigo kutoka kwa shemeji πππΎ nilichofanya ni kinda boda boda nikawmabia anipeleke kwa Mama Henry.
Mama Henry ni maarufu kwenye huo mtaa kwa sababu binti yake ni muuguzi, so ilikuwa rahisi kufika,...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-18
Maoni