WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
SONGA NAYO.........
Baada ya yule dada kuondoka akaiingia sir Joseph huyu ni mshkaji wangu sana yani huyu kaka nilivyo mimi ndivyo na yeye alivyo, anapenda mademu huyu na kibaya zaidi ametongoza wanafunzi zaidi ya kumi ππππΎ
Na sijui kama huwa anatumia Kinga kweli bora me natumia mpira ila kwa Lizy ndio nilikosea maana alikuja kwa kunishtukiza tu dah π
"Dah Henry umezingua mwanangu.."
Jose baada ya kfika akaanza kunilaumu, sikuwa hata naweza kuongea vizuri maana mdomo ulipigwa huo π walah nyie watu wa mwanza mtaniua
"Kuna nini kwani...??"
Niliuliza kwa shida
"Huwezi amini huko shule mkuu amechukia ile mbaya, anasema tunaendekeza Sana mapenzi badala ya kazi.."
"Mh " niliishia kuguna tu maana hayo yanaukweli ndani yake, ni kweli upande wangu naendekeza sana mapenzi na sio kwa penina hapana kwa Lizy
Basi bana story za hapa na pale ziliendelea
"Hivi unamjua yule binti..??"
Nilianzisha story japo kwa shida sana ππ
"Binti yupi, na yupoje yupoje...??"
Jose ainiuliza
"Anasoma form four, anajulikana kama Lizy huyo ndio demu wangu achana na huyo penina Mpauko.."
"Usiniambie, sikuizi unadate na wwanafunzi...??"
"Sio hivyo ni vile tu huyu binti nimemuelewa kinoma yani, na sababu ya kumkaripia Penina ni vile nilimkuta head boy amekaa na Lizy ndio nikapaniki kinoma yani.."
" πππ walah umejua kunifurahisha so pale umempiga head boy kwa sababu ya wivu, ila wewe Henry utakuja upigwe siku akijua ulimpiga kwa sababu za Lizy ndio utajua.."
"π unamaanisha nini..??"
Nilumuuliza huku ka woga kakiwa kameanza kuniingia
"Yule head boy anamakundi hatari, hata huo u head boy ameupata kwa kuwalaazimisha wanafunzi wampigie kura ashinde so hapo kuwa makini tu asijue ila kama akijua walah unarudi songea ukiwa marehemu.."
"Unanitisha ujue..."
Kablsa hajanijibu muda huo huo mlango ukafunguliwa akaingia head boy akiwa ameongozana na Lizy, nyie yani uoga na wivu vilinishika kwa wakati mmoja π
Nilikuwa natamani kunyanyuka kukimbia na kunyanyuka kumpiga Head boy
"Habari yako..??"
Baada ya head boy kufika hapo alinisalimia salamu ambayo ilinikera sana nikatulia tu
"Ohooo unakaa kimya nataka uniambie kwanini umempa mimba dada yangu..??"
SEHEMU YA 16
Nikashtuka, hata Jose naye akashtuka, akaniangaliaa na mimi nikamuangalia nyie nikitoka hapa ni moja kwa moja naenda kupanga nguo narudi kwetu kabisa miji ya watu imenishinda mimi
"Aaah unasema kwamba Lizy ana mimba..??"
Niluliza wa kutetemeka, lakini nilshtukia nikipigwa ngumi ya uso walah ukizingatia na maumivu niliyokuwa nayo nilikoma mbona
"Kakaaaa muache ...."
Nikiwa natapatapa kukata roho nilisikia sauti ya Lizy ambayo ilinifanya Roho ibakie kwenye mwili π maana kwa ile ngumi niliyopigwa ilikuwa siyo ya kitoto
"Kwahiyo unamtetea bwana ako sio, yani pamoja na kukulinda kote kule kumbe ulikuwa unagawa kwa huyu aisee Lizy umeniaibisha sana Lizy nitamwambia nini mama huko aliko enheee..."
Beny alikuwa anongea kwa uchungu ndio nikajua kwamba hawa ni ndugu bana, mana walikuwa wanafanana sana, ndugu yenu ule wivu wa kipumbavu wote uliisha ukizingatia nilimpiga shemeji yangu aweee π nilitulia
Na nilikuwa nawaza ndio naenda kuzeekea jela hivyo, dah yani nyege hizi mwana haramu kabisaπ nilikuwa nalaumu tu na kutamani siku zirudi nyuma kwa kweli
"Kaka sio hivyo kaka, ni vile tu ilitokea bahati mbaya naweza kusema mimi ndio mkosaji wa kwenda kule kwake, ukweli huyu kaka ni mtu mzuri amewahi kunisaidia mengi kipindi ambacho ulikuwa haupo kaka angu nisamehe bure lakini naomba usimfanye chochote..."
Lizzy alikuwa anaomba msamaha kwa ajiri yangu huku akiwa amepiga magoti analia huyo, upande wangu hata kujiongeza tu hamna nimekauka π€£ mwili umejaa makovu hautamaniki yaani
"Kwahiyo hata kama ni mwema dah yan aisee..."
Bony alikuwa anaongea hata maneno hayatoki kabisa naishia kusema dah maana aliumia sana jamani, nilikuwa nimekaa natazama mdomo ulikuwa unavuja damu umepasuka na hauna mwelekeo
Ety ndio najitapa nina lips nzuri uje uzione sasa zilivyo ππππΎ
"Kaka nisamehe kaka.."
Hayo ndio maneno ambayo Lizy alikuwa anasema kila muda, jamani nilikuwa naumia sana ndugu yenu tena sana natamani kujieleza lakini naogopa kupigwa ngumi
"Na wewe..."
Alisema Bony na kunigeukia mimi, akanitazama kwa jicho kali kisha akazungumza
"Hii siri itabaki ya watu wanne tu, mimi lizzy, na sir Jose lakini pia na wewe mwaikenda, na nisisikie chochote laa sivyo..."
Akanyamaza na kutuangaliaa
"Narudia tena laa sivyo, naondoka na ngozi zenu..."
Nikashtuka ngozi tena, nikamuangalia Jose akanikonyeza kuwa nitulie basi na mimi nikatuliza komwe langu na kusikiliza onyo kutoka kwa shemeji π
"Nazani nimeeleweka na kuhusu huu ujauzito lazima utolewe..."
Nikashtuka mpaka nikasimama, nyieeh katika vitu ambavyo sipendi basi ni hizi za kuharibu ujauzito wangu yani sitaki kabisa kusikia chochote kuhusu damu yangu
"Unaongea kuhusu nini..??"
Nilimuuliza
"Hujanisikia au, au tuseme kwamba masikio yako yamepoteza uwezo wa kusikia..??"
"Hapana nasikia vizuri tu ila kutoa ujauzito wan...."
Nilipigwa ngumi, harafu alivyo na zarau alikuwa anapiga pale pale pa mwanzo na kusababisha mdomo upasuke kabisa.
Hivi huyu ananichukuliaje mimi, yani wanazani kutungisha mimba ni rahisi hivyo enhee, pamoja na kupita na mademu wengi lakini sijawahi bebesha mtu mimba hata kwa bahati mbaya harafu kirahisi hivi watoe mtoto wangu
Pamoja na kwamba nilikuwa natumia Kinga lakini sio mara zote ndugu msomaji nilikuwa natumia mara moja moja sana muda mwingine nilikuwa naenda na demu maabara kupima
Kabla ya kushiriki tendo, na sikuwahi kumpa mimba mtu yoyote sasa nashangaa huyu kirahisi hivi anazungumza
"Nipige uwezavyo ila hakuna kutoa mimba yangu, Lizzy hakikisha usitoe ujauz......"
Jamani nikashushiwa tena ya tatu na pale pale nikakata moto, watu hawana huruma kwa kweli yani napigwa wao wapo wananiangalia tu hata kuja kunitetea aaah wao wananitazama tu kweli π₯Ή......
ITAENDELEA..........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni