Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
Gonga94 Β· Stories

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..."

"Utaelewa tu shika viatu.."

Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena πŸ˜‚

Mtoto wa watu akaondoka anagugumia kwa amaumivu, sikujali nikarudi kukaa na muda huo akaingia Penina akiwa amebeba breakfast

Jamani humo ofsin walimu wote wanajua mimi na Penina ni wapenzi, lakini hawajui ki undani tu na aliyeeneza habari hizi ni huyu huyu miguu ya ng'ombe yani hana siri kabisa huyu

"Mpenzi breakfast tayari..."

Aliniambia kwa maringo, kwa vile nilikuwa nimevuugwa bila hata kufikiria humo kun walimu wengine nikajikuta nikimjibu kwa ukali

"Na wewe nini, yani mtu nimekwambia sikupendi unaniforce tu kwanza toka lini nimekuwa mpenzi wako wewe...??"

Kitendo cha kumjibu hovyo kiliweka taharuki kwa walimu wengine na kujikuta wakianza kumcheka Penina chini chini

"Are you serious babe...??"

Penina aliniuliza

"Kwani unazani natania, si niliwahi kukwambia kabisa kuwa sikupendi ...."

"Lakin...."

"Kaa kimya Penina nitakupiga ohooo..."

Jamaa yenu baada ya kumuona Lizy ndio nikajikuta me ndio mimi πŸ˜‚

"Oya acha kubishana na mwanamke, mwanamke anatakiwa kuheshimiwa..."

Kuna mkaka alikuja akunishika, huyu kaka ni mwalimu na yeye yani aliponishika sasa ndio akasababisha hasira zangu zote zitoke kule zilipokuwa zimejificha

Bila kufikiria mara mbili mbili nilimtwanga ngumi ya usoni, nyiee huyu kaka anajua kupigana walah, nilipigwa nikapigiga haswa

Na kibaya zaidi nilipigwa ofsini basi wanafunzi walijazana na walivyo wambea sasa πŸ˜‚ wakawa wanachungulia namna nilivyokuwa nashushiwa kipigo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

Yani nilipigwa mpaka kuna sauti ikaja na kusema jamanni inatosha, ndio nikaachwa hapo sina hali jicho jekundu yani sitamaniki hata ule uhandsome niliokuwa nalingia ote uligeuka na kuwa makovu tu

Sikuwa najitambua kabisa, so nilibebwa mpaka kwenye gari la sir Josep na kupelekwa hospital, hali yangu haikiwa nzuri kabisa so nililazwa huko

Kesho yake asubuhi ndio nililejewa na fahamu na kujikuta hospital mwili ulikuwa unaniuma nyie, ndio nimejua watu wa mwanza wanapiga ile mbaya yani hawaangalii kabisa sehemu ya kupiga wao wanapiga tu

Hamuwezi amini jamni mimi sijui hata kupigana na jana wakati napigwa sikuweza hata kurusha ngumi zaidi ya ile moja ambayo nilimpiga akiwa amejisahau tena nilipga kwa kubahatisha tu

Arafu ndio nakuja kuwatambia wanafunzi kuwa baba yangu ni mwanajeshi, hivi si watakuwa wamenizarau tayari πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi baada ya muda nesi aliingia na kunichoma sindano ya kupunguza maumivu hapo kidogo ikawa afadhali, majira ya saa nne nililetewa chai na jirani yangu yule anaejipendekeza na mpaka muda huo simjui anaitwa nani

Hii ni kwamba mimi na yeye hatuelewani, basi siku hii huyu dada alikuwa mtulivu jamani alinihudumia kila kitu alivyomaliza akabeba kau lake na kuondoka......

ITAENDELEA......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14


"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..."

"Utaelewa tu shika viatu.."

Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena πŸ˜‚

Mtoto wa watu akaondoka anagugumia kwa amaumivu, sikujali nikarudi kukaa na muda huo akaingia Penina akiwa amebeba breakfast

Jamani humo ofsin walimu wote wanajua mimi na Penina ni wapenzi, lakini hawajui ki undani tu na aliyeeneza habari hizi ni huyu huyu miguu ya ng'ombe yani hana siri kabisa huyu

"Mpenzi breakfast tayari..."

Aliniambia kwa maringo, kwa vile nilikuwa nimevuugwa bila hata kufikiria humo kun walimu wengine nikajikuta nikimjibu kwa ukali

"Na wewe nini, yani mtu...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wewe-ni-wangu-sehemu-ya
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

726
 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

522
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

215
REALLY LOVE* *26&27*

REALLY LOVE* *26&27*

203
MY CRAZY BOSS 10

MY CRAZY BOSS 10

167
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

155
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

154
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

136
AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*

104
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook

27

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.28K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.03K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.35K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

Siku ile ilikuwa ndefu sana kwangu sikuwa najua nafanyaje maaa nilikuwa na mawazo sana yaaani hadi usiku unafika sijui kam ni usiku maaan nilikua nimevurugwa sana, hadi nikawa nalinganisha kati...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10
@majario LIVE

Tulifanikiwa kupata lile fremu lilikuwa kubwa zuri lina hewa na pia lilikuwa lipo barabarani hivyoo ni rahisi watu kuona lile bango pale la officine, ambalo tutaweka tukatoka hapo tukaenda sehemu...

*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* * Post Mpya
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
@majario LIVE

__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Nelly ni mtoto wa kwanza kwa baba yangu wazazi wangu hawakuwahi kuishi pamoja hivyo niliishi na mzazi mmoja tu ambaye ni mama . Niliishi na mama yangu...

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook Post Mpya
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook
@majario LIVE

* *SEHEMU YA KWANZA* Huyu aliyegundua cabbage ni mboga, jamani jamani, nikimkamata uko kiama patachimbika 🀨, nikiwa nawaza kwa sauti, na hasiraa, bibi yangu akanipa za uso uku ananisogelea, "hio mboga imekukuza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO......... Baada ya yule dada kuondoka akaiingia sir Joseph huyu ni mshkaji wangu sana yani huyu kaka nilivyo mimi ndivyo na yeye alivyo, anapenda mademu huyu na kibaya zaidi ametongoza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
@majario LIVE

"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..." "Utaelewa tu shika viatu.." Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena πŸ˜‚ Mtoto...

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
@majario LIVE

Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake. "Shikamoo...

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
@majario LIVE

Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake. "Shikamoo...

REALLY LOVE* *26&27* Post Mpya
REALLY LOVE* *26&27*
@majario LIVE

walimpeleka katika bahari iliyopo kigamboni na kumtupa katika bahari hiyo kisha wakaondoka walifanya hivo ili kupoteza ushahidi, upande mwingine fahima alikuwa anabembelezwa na mpenzi wake ili ale chakula maana hakutaka kabisa...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*
@majario LIVE

Kwanza nikashtuka na kumgeukia pully na kisha Nikamuangalia Enzo, kuna Namna ni Kama moyo wangu ulikubaliana na shida zote tu ninazozipitia, kabΓ­a Enzo ajajibu kitu chochote kile nikazungumza. "Naona mambo ni...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana na muda huo huo moyo wangu ulingia ganzi kutokana na jinsi ambavyo namchukia sana enzo, Huyu kaka Walahi namchukia kuliko maelezo yangu. Niliamua ata kuachana na hiyo Pesa...

MY CRAZY BOSS 10 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 10
@majario LIVE

ENDELEA Nilirejea ndani huku nikiwa na bashasha ya kuangalia ni nguo za aina gani zilizopo ndani ya mfuko huo "Khaa!!! Kumbe sina taa jamani , hata siwezi kuona ni za rangi gani,...

(BARSISA....!)  Inasimuliwa kuwa Barsisa alikuwa mtawa miongoni mwa Wana wa Israeli. Post Mpya
(BARSISA....!) Inasimuliwa kuwa Barsisa alikuwa mtawa miongoni mwa Wana wa Israeli.
@majario LIVE

Alijijengea kibanda cha ibada mlimani, mbali na watu, akaamua kutoa maisha yake yote kwa ibada ya Mwenyezi Mungu peke yake...! Alijinyima starehe zote za dunia, akaishi maisha ya kujitenga na watu, maisha ya...

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10 Post Mpya
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10
@majario LIVE

Asubuhi na mapema, nilidamka na kuingia mtaani ili niweze kupata chochote kitu Maana nilikuwa Nina njaa sana kwa wakati huo. Najua wengi mtaniuliza nilipeleka wapi Pesa ambazo nililipwa kwa kina enzo...

AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*
@majario LIVE

Nilijikuta nikipata mshtuko na wasiwasi wa hali ya juu. "Ina Maana ma Mdogo amemlipa Enzo kuja kunirudisha hapa?" Nilijiuliza kimoyomoyo. Baada ya kimya cha muda mfupi kidogo, enzo akaniambia. "Haya Shuka tumefika" Nilimuangalia kwa macho...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest