WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
SONGA NAYO....
Basi kama mwalimu nikamwambia Lizy apite akae, kweli na yeye akaenda na kukaa, kisha nikawatazama hao wanafunzi sasa walikuwa wananiangalia hao na mimi nikatoa mimacho yangu yote nje na mshipa wa kichwani nikaukaza sasa na kuzungumza
"Yoyote ambaye atamfukuza Lizy darasani nitakula nae sahani moja, nyie si mnajifanya ni sikio la kufa basi endeleeni maana hamjui cheo changu wala wazazi wangu kifupi mimi natembea na mabodyguard, kaka yangu ni police, baba yangu ni mwanajeshi na dada ni askari sasa mtu ajichanganye aone cha moto na hiyo mikasi yenu..."
Nilitoa mkwala kweli kweli, ambao kwa namna moja uliwafanya watulie na kuogopa, kisha nikaondoka zangu ๐
Baada ya kutoka mle darasani nikaelekea mpaka staff nimefika huko nikakaa zangu, akaingia madam Penina, huyu dada alikuwa ameshanielewa kitambo tu ila sema anaogopa kuniambia
Basi Madam Penina baada ya kufika hapo akasogea mpaka kwenye meza yangu na kukaa kwa juu huku akinitazama kwa macho ya uchu nyie
"Nikusaidie nini..?"
Baada ya kuona ananiangalia sana ikabidi nimuulize
"Aaahh Sir Henry hivi umeoa..??"
( hili ndo lililokuleta hapa, hata hivyo fresh tu ukijichanganya nitakukula ohooo )
"Hapana muda bado wa mimi kuoa..."
"Mh lakini mbona unaonekana mdogo hivyo..??"
( ๐ kama naonekana mdogo twende geto nikakuonyeshe kama mimi ni mdogo au mkubwa..)
"Aah ni mwili tu jamani..."
"Sawa.."
Alijibu kifupi huku akiniangaliaa, moyoni najiwazia tu ajichanganye aone namna nitakavyomshughulikia kwanza amenikera kwa kumpiga Lizy we ngoja
Basi madam penina aliniangalia sana mpaka alipotosheka mwenyewe akanyanyuka na kuelekea kwenye meza yake lakini hakuacha kuniangalia.
Muda ulienda hatimae break ilifika na wanafunzi wote wakaenda kwenye canteen kupata kifungua kinywa, upande wangu nilikuwa nimeboeka sana yani ikabidi nitoke nje nikazunguke zunguke huko ili kidogo nichangamshe akili
Basi nikatoka nikawa natembea tembea naangalia namna wanafunzi ambavyo wanachezesha makalio yao wanaponiona ๐ lakini mimi sikuwa najali kabisa
Nikaendelea na safari lakini nilifika sehemu na kumkuta Lizy akiwa amekaa na msichana flan hivi wakiongea na kupiga story, japokuwa alikuwa anapiga story ila alionekana kuwa na njaa sana.
Nilimuonea huruma nikamuita, akaja mpaka nilipokuwa huku akimuacha rafiki yake anatuangalia sisi, nikaangalia huku na huko kama kuna mtu anatuona nikakuta kweli tunaangaliwa
Nilichofanya nikatoa buku, kisha kwa sauti kubwa ambayo mwanzo ilisikika kwa sauti lakini mwishoni ilikuwa ya kunong'oneza
"Nenda canteen, ( hapa nilitamka kwa sauti ) ukanywe chai (kwa kunong'oneza )
So ikawa kwa hivi
"Nenda canteen, ukanywe chai.."
Nilisema hivyo kwa sauti na wanafunzi wakaelewa namuagiza canteen , basi binti akanishukuru huyo akaongozana na rafiki yake mpaka canteen
Upande wangu nikabaki naabasamu tu, sijui huyu binti amenipa nini walah ๐ yani najikuta namuonea huruma kabisa dah mniokoe mapema mimi nisije kujikuta nampenda mwanafunzi wangu jamani...
Muda nao ulikimbia mapumziko yakaisha na kila mtu akaingia kwenye majukumu yake, kama kawaida upande wangu nikaingia form two kwenda kufundisha kiswahili
Nilifundisha kalibia lisaa limoja, aisee toka mwanzo nawaambia kazi ya ualimu ni ngumu lakini pia inahitaji uvumilivu mkubwa sana.
Maana wakati nafundisha wanafunzi walikuwa wanapiga sana kelele, ikabidi nimwambie monter wa darasa aniandikie majina ya wapiga kelele hapo kidogo wakatulia..
Ilipita kama miezi miwili hivi, huku nikiwa na muwaza sana Lizy yani binti sijui hata aliniwekea nini walah, nilikuwa namuwaza mpaka kipindi cha kula ๐
Basi ikiwa ni siku nyingine kama kawaida kipindi cha remedial kilifika nilienda kwenhe group langu na kukuta wanafunzi wwangu wameshafika wananisubiri tu
Na siku hiyo nilikuwa nimewaambia wanafunzi wanunue counter book maalumu za kufanyia test, sasa hiyo siku nilitakiwa kukagua kama wamenunua kweli au laah
Basi nikaanza kukagua mmoja mmoja kumbuka kila kundi linakuwa na wanafunzi zaidi ya 10, so ilikuwa kazi ngumu,. Wakati nakagua kagua pale nikamfikia Lizy ajabu huyu binti hakuwa na hilo counter.
Nilimuangalia bila kummaliza kuna mwanafunzi akaongea
"Yani huyu Lizy amepewa pesa na shangazi yake ya kununua counter lakini amekula yote, saivi hapo amejitilisha huruma kweli..."
Mwanafunzi yule alisema kwa kunong'ona ila nilimsikia, nikamgeuki na kumuangaliaa, bana mimi Henry nilikuwa sitaki kabisa kumsikia mtu akimsema Lizy
So yule mwanafunzi ni kama alijichanganya walah nilimpiga fimbo ya mgongo hiyo ambayo ilimuingia kabisa mpaka kwenye utu wa mgongo, na vile alikuwa hajawaa sweta sasa awee ๐๐๐๐พ
"Me nafundisha unaanza kuongea nani amekupa ruhusa ya kuongea..??"
Nilimuuliiza kwa ukali..
"Samahani mwalimu..."
Alisema yule mwanafunzi huku akilia kabisa, kuna namna niliona nimemuonea bure lakini na yeye akome kuropoka hovyo hovyo ๐
Niligeuka na kumuangalia lLizy, nakaona kanatetemeka yani kama kanasikia baridi, hapo nilijua tu ananiogpa bร da ya kumcha yule mwanafunzi
"Haya na wewe Counter lipo wapi..??"
Nilimuuliza kwa sauti ya ukali
"Aaah sir ah nili.... aah yani..."
"Ongea vizuri unaongea kama hujala asubuhi bana..."
"Sir naomba unisamehe, ukweli me naishi na shanngazi yangu amesema hana hela ya kununua..."
Yule mwanafunzi akadakia tena
"Uongo uongo, me Leah ameniambia kabisa kuwa umepewa hela ukaila yote.."
Nilichofanya ni kumshushia kiboko kingine kisha nikatulia ๐
ITAENDELEA............
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni