Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ucjali lia mimi tayari nimeshakusamehe na ninakuombea kwa mwenyezi mungu akuponye uweze kurudi kwenye hali yako ya kawaida.... lia aliomba msamaha kwa paschal kutokana na vishawishi alivyokuwa akimpatia na hivyo ndivyo vilivyopelekea Junior kupatikana Junior ni jina la mtoto wa lia...ucjali lia tayari yalishapita hatuna budi kuachana nayo tugange yajayo.... aliongea paschal..... mimi pia siyo msafi ni mkosefu nilimuomba lia samahani kwa sehemu yoyote ile niliyowahi kumkwaza basi aniwie radhi sote binadamu makosa tumeumbiwa sisi.....tulikumbatiana pale baada ya hapo tulimuaga lia alimkiss mtoto wake Junior alimwambia nakupenda sana kipenzi changu hata kama kesho ukiamka usiponikuta basi tambua kuwa mimi mama yako ninakupenda sana na ninakuombea ukue vyema rehema za mwenyezi mungu ziambatane nawe..... machozi yalikuwa yakimtoka lia kipindi alipokuwa anayaongea hayo maneno..... basi inatosha lia wacha sisi tuondoke ili tusiendelee kukufanya ulie.... pumzika hali uliyonayo hautakiwi kabisa kulia utajiumiza.... nilimwambia vile tuliaga tukaondoka pale....

Moyo wangu ulikuwa na amani sana.... angalau lia aliweza kuyatambua makosa yake na kuomba msamaha siyo hilo tu hata mimi nina amani kwa kuwa nimeweza kumuomba samahani kwa pale nilipowahi kumuumiza angalau sasa tutaenda kuwa marafiki mimi na yeye.....namuomba mwenyezi mungu amponye....eh mungu wangu lia kaweza kukiri makosa yake na kuomba radhi kwangu na mme wangu namimi natamani kuomba radhi kwa mme wangu kwa makosa ya uzinifu niliyoyafanya yakapelekea mimi kuzaa nje ya ndoa....usiku wa ile siku nilimfuata mme wangu nilimuomba tuongee alinikubalia..... niliyakiri makosa yangu yote kwa paschal nilimuomba anisamehe nilishajutia mme wangu na sitamani kuwa kama zamani.... mme wangu alinikumbatia aliniambia pendo nakupenda sana ni wewe pekee ndo mwanamke uliyejaa kwenye moyo wangu ikitokea ukaniacha wewe basi hakuna yeyote yule atayeweza kuufikia upendo nilionao kwako hata ikitokea mapenzi yetu yakaisha basi tambua wewe katika moyo wangu utaendelea kuwepo milele na milele.....alinikumbatia alinikiss aliomba namm nimsamehe kwa kila kitu alichowahi kuteleza kwangu nilimwambia yote kheri mme wangu siku zote tunajifunza kutokana na makosa😘😘.....

Tulienda zetu chumbani kulala usiku ule ulikuwa ni usiku wetu wa pekee wa kulizindua penzi letu lileeee kama la zamani kipindi ndo tumeanza kutongozanaπŸ™ˆ ilikuwa ni baada ya kuondoa vinyongo vyote katika mioyo yetu...... mme wangu aliniomba twende bafuni tukaoge wote pamoja niliambatana naye kwenda bafuni tulioga huku tukiwa tunachezeana mapenzi ni raha sana haswaa pale unapokuwa katika himaya ya yule unayempenda kwa dhati baada ya kutoka kule bathroom mme wangu aliyakausha maji yaliyokuwa katika mwili wangu kwa kuitumia towel nyepesi baada ya hapo alinipaka mafuta mwilini kwangu huku akiwa ananipapasa fulani hiviπŸ”₯hisia nzito zilianza kulindima katika viunga vya mwili wangu nilikuwa namtizama tu mme wangu vile anavyonihudumia kwa upendo wa hali ya juu basi nilijikuta najiambia hata ikitokea tukazaliwa upya basi mimi nitamuomba yeye tu ndo awe wa kwangu.....alinifanyia massage pale kwenye nunu yanguπŸ˜‹πŸ˜‹ alikuwa anaimassage taratibu kwa mahabaπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜˜πŸ˜˜....

Nilinogewa na ule utamu niliokuwa naupata niliendelea kuusikilizia tu nilitamani aendelee kunifanyia vileπŸ™ˆπŸ™ˆ alinifanyia kwa muda hadi kiusingizi kilianza kuninyemelea.....ni zamu yangu namimi nataka kukufanyia kama hivyo.... nilimwambia..... ni sawa laazizi wangu aliniruhusu nilimkalia kiunoni kwake nikaanza kum-massage katika sehemu za shingoni kwake mabegani kila sehemu yani nilimfanyia na yale maandalizi ya kikubwa baada ya hapo alikuja juu yeyeπŸ™ˆπŸ™ˆ alianza kunichokoza kwa kuitumia bakora yake alikuwa ananitekenya pale kati na mwishowe aliizamisha et nilianza kuililia ilikuwa tamu siyo kidogo alianza kunitia taratibu huku akiwa ananipatia mate mdomoni kwangu hakuacha kunisugua huku mikono yake ikiwa inazichezea nyonyo zanguπŸ˜‹πŸ˜‹ ni utamu tu ndo kitu nilichokuwa nakisikia.... niliitumia mikono yangu kuupapasia mwili wake katika sehemu mbali mbali zile zinazoongeza hamu ya tendo sikuacha kumzungushia kiuno changu taratibu naye alikuwa ananitia taratibu huku akiwa anaisifia tamu yanguπŸ’‹πŸ’‹ alinisugua tena na tena alichoka kukaa juu akanipandisha mimi nikaenda jipakulia.... niliichezea kiufundi hadi akakojoaaaaaaaπŸ’‹πŸ’‹

Baada ya tendo tulilala huku tukiwa tumekumbatiana nampenda et upendo wangu wote upo kwake kamoyo kangu kote nimekauza kwake🀣🀣 nayeye hana neno mtoto wa mama mkwe ametulizana kwa mtoto wa kiiraq..... usingizi ulikuwa ni mtamu sana si mnajua ukikumbatiwa na yule umpendaye vile unavyoenjoy na radha ya usingizi inakuwepo ya kutoshaπŸ˜‹πŸ’‹πŸ˜‹...... kesho yake asubuhi baada ya kupambazuka tulijiandaa baada ya hapo tulielekea hospital kwa ajiri ya kwenda kumuona lia tumpeleke na Junior kwa ajiri ya kwenda kunyonya....tulifika pale hospital madactari walituzuia kumuona lia.... samahani sana hamuwezi kuonana naye hali yake imebadirika ghafla amerudishwa icu kwa ajiri ya kuwa chini ya uangalizi wa hali ya juu wa Jopo la madactari wanaopambana ili kuweza kumrudisha katika hali yake ya kawaida...... hayo yalikuwa maelezo ya dactari kuhusiana na lia....amekuwaje kwani?! yani kimemtokea kitu gani?! Na hali yake mnaionaje nawaomba mfanye kitu kwa ajiri ya kumrudisha katika hali yake ya kawaida doctor nakuomba upambane fanya kwa ajiri ya Junior anamhitaji sana mama yake😰😭 machozi yalianza kunitoka baada tu ya kuambiwa kuwa Hali ya lia inatisha sana.....

Maskini Junior😰😰kila nilipomwangalia nilisikitika sana yeye hakujua hali anayoipitia mama yake huko icu😰😰 kenyewe kalikuwa tu kanatuangalia hatukujua hata kanawaza nini akilini kwake😰😰 baby usiwaze mommy atakuwa safe nilimwambia Junior huku nikiwa nambeba kutoka kwenye kile kigari chake..... nilienda nikaket sehemu nzuri yenye kimvuli nikaanza kumnywesha Junior maziwa yake nilimpatia maziwa taratibu alikunywa akashiba baada ya hapo nilichukua kile kitambaa chake cha kumsafishia mwilini kwake nilimsafisha baada ya hapo nilimbadirishia pampers pamoja na nguo kalisinzia et...nilikabeba nikakafunika vizuri tulipanda zetu kwenye gari tukaanza kuondoka pale hospital. ..... tulifika nyumbani nikaenda chumbani kwa Junior kwa ajili ya kumlaza Junior nilimlaza kitandani kwake baada ya hapo nilimfunika vizuri nikatoka nilienda maktaba nikachukua vitabu viwili kimoja ni kitabu cha mapenzi kinachoelezea namna ya kuimarisha ndoa pamoja na mahusiano...... na kitabu cha pili ni kitabu chenye simulizi za kutisha ambazo mara nyingi mme wangu huwa anazipendelea sana...... nilimpatia kitabu chenye simulizi za kutisha kisha na mimi nilibakia na kile kitabu changu chenye simulizi zinazoelezea namna ya kuimarisha mahusiano pamoja na ndoa....

Tuliketi tu pale kwenye ngazi za juu ghorofani nje ya chumba cha Junior tukawa tunajisomea kurasa za kwenye vitabu ili angalau tuweze kupoteza mawazo tusogeze na muda.....tukiwa zetu busy kujisomea ghafla ilisikika sauti ya Junior akiwa analia kwa sauti ya juu sana mimi na mme wangu wote tulikimbilia chumbani kwa Junior kwenda kumwangalia kawaje mbona alie kwa sauti kiasi hiko na wakati alikuwa yuko usingizini nilikwenda nikambeba baba yake aliniomba nimpatie ambembeleze alimbembeleza mno lakini mtoto alikuwa ananyamaza kwa sekunde tu kisha analianzisha upya...... alilia hadi kwikwi ikamkamata... tukiwa bado tunaendelea kumshangaa Junior tuliwaza hadi kumpeleka hospital lakini simu ya mme wangu pascal iliita alipiga baba yake lia alikuwa anatutaarifu kuwa lia hatunaye tena katika dunia hii😭😭😭...

Itaendeleaaaa........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜


Ucjali lia mimi tayari nimeshakusamehe na ninakuombea kwa mwenyezi mungu akuponye uweze kurudi kwenye hali yako ya kawaida.... lia aliomba msamaha kwa paschal kutokana na vishawishi alivyokuwa akimpatia na hivyo ndivyo vilivyopelekea Junior kupatikana Junior ni jina la mtoto wa lia...ucjali lia tayari yalishapita hatuna budi kuachana nayo tugange yajayo.... aliongea paschal..... mimi pia siyo msafi ni mkosefu nilimuomba lia samahani kwa sehemu yoyote ile niliyowahi kumkwaza basi aniwie radhi sote binadamu makosa tumeumbiwa sisi.....tulikumbatiana pale baada ya hapo tulimuaga lia alimkiss mtoto wake Junior alimwambia nakupenda sana kipenzi changu hata kama kesho ukiamka usiponikuta basi tambua kuwa mimi mama...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-70-71

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*

935
MY WANGU❀️ sehemu ya 113

MY WANGU❀️ sehemu ya 113

775
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

600
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜

303
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

168
*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *SEHEMU YA 01 & 4

125
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7

102
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

79
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1

69
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

57

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.23K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.34K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.32K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa β€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic β€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❀️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… β€œWewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza β€œHuyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. β€œSikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest