Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

""Nini hii🀨🀨?""
""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua""
""Fungua usome😏😏""
""Nilimjibu kwa kumnyali""
""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani🀨🀨""
""Ulitaka niwaze nini Mr paschal 😝😝""
""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo ambaye amekushawishi kufanya hivyo?.... aliuliza paschal kwa hasira huku akiwa anamnyooshea hemed kidole😠😠...... kanishawishi juu ya nini?! Uliyenishawishi ni wewe hapo na lia wako we si ulifikiri mimi siwezi kukuacha wewe natamani unionyeshe kiburi chako cha jana 😝😝 huyo mwanaume unayemuona hapo anaitwa hemed ni mme wangu mtarajiwa pia ni baba wa watoto wangu nice na shazilπŸ€ͺπŸ€ͺ unaongea juu ya nini pendo kwa hiyo unamaanisha kuwa tayari una mtoto na huyu mpuuzi hapa😟😟 paschal alimfuata hemed akamkunja walianza kupigana et mimi nilikaa pembeni kwa sababu wala hata sikuwa na nguvu za kuwaamulia ugomvi wao😌😌 walipigana sana tu hadi wakatoana damu aliyekuja kuwaamulia ni yule mlinzi lakini naye alichalazwa ngumi za kutosha.... baada ya mlinzi kuwaachanisha wawili wale nilienda nikamkumbatia hemed wangu nilikuwa nafanya yote hayo ili kumuumiza mwanaume ambaye moyo wangu unampenda kuliko kitu chochote kile...... pendo kwanini unanifanyia hivyo😭😭😭 aliniuliza paschal huku akiwa anapiga magoti chini alilia machozi aliniambia pendo najua bado nina nafasi ndani ya moyo wako please nakuomba usiniache mamangu......

Sikujali maumivu ya paschal ndo kwanza niliendelea kudeka kifuani kwa baba watoto nilimtizama paschal kwa dharau sana wala hata sikujali vile anavyoumia juu yangu...... nakuacha na hutokaa ukamuona mwanangu mwambie lia akuzalie...... nilwambia kisha nikamuomba baba watoto tuondoke pale paschal alilia mno aliniambia ukisikia nimekufa hata usije ukasikitika sioni kama nitaweza kuendelea kuishi kwenye maumivu makubwa kiasi hiki....... nilishtuka baada ya paschal kunitamkia vile nilisimama nikawaza kurudi nimnyanyue pale chini lakini hemed alinivuta mkono wangu hadi kwenye gari panda tuondoke darling aliniambia hemed...... nilipanda kwenye huku macho yangu yakiwa yanatizama nyuma kule tulikomwacha paschal.....njia nzima moyo wangu ulikuwa unaniuma tu ni kweli nilipanga kumuadhibu lakini nimefanya kupita kiasiπŸ₯²πŸ₯² tulifika nyumbani hemed akaniambia nitakutafutia mwanasheria mzuri atakayekusaidia katika maswala yako ya talaka..... hapana baba watoto nahitaji kufikiria vizuri juu ya swala hilo😞😞 unaongea kuhusu nini pendo?! Naongea kuhusu talaka nataka kupata muda mzuri wa kuwaza juu ya hilo..... kwa hiyo bado unampenda mmeo siyo😭😭😭 hemed naye alianza kutoa machozi. ....

Cjamaanisha hivyo baba watoto hakuna haja ya wewe kuniwazia hivyo ni kweli nampenda lakini siwezi kurudiana naye😰😰 kwa hiyo mimi hunipendi pendoπŸ₯ΉπŸ₯Ή nakupenda hemed lakini nahofia vipi kama paschal akijichukulia adhabu mbaya atakuja kujiua naogopa et😧😧.... pendo kama unanipenda basi kubali kupewa talaka na paschal ili mimi na wewe tuweze kufunga ndoa......niahidi ya kwamba utafanya hivyo😦😦..... ni sawa kipenzi changu lakini siyo haraka kama unavyofikiliaπŸ€”πŸ€”...... kwa hiyo pendo kule mahakamani ulinipeleka kunichoresha tu na kule nyumbani kwa mme wako umenipeleka nikafanye nini kama ulijua hutoweza kupokea talaka yake🀨🀨 hemed sikuwahi kumuona akiwa amechukia alikasirika sana siku ile alinyanyuka akapanda kwenye gari akaondoka...... mmmhh hapa nisipoangalia nitaharibu sehemu zote.....niliwaza tu
Nilimtumia hemedi msg nilimwambia usiwe na hasira mme wangu niko tyr kuachana na paschal kwa ajiri yako........

Wivu ulianza kumtafuna hemed vibaya mnoπŸ™„πŸ™„ nilimtuliza hadi akanielewa akarudi Nyumbani nilimpikia chakula kizuri kisha tukaenda kupumzika chumbani nilimpatia mwili wangu akautumia vile atakavyo ili kupunguza hasira zake mawazo yangu na akili zangu bado vilikuwa vinamuwaza paschal atakuwa na hali gani saizi nilitamani hata kumpigia lakini sikuwa na namba yake..... nilijilaza kifuani kwa hemed baada ya kuwa tumemaliza kufanya mapenzi....... mkononi kwangu nilikuwa nimeishikilia simu yangu nikiwa natamani hata nimpigie yule mlinzi ili nimuulize kuhusiana na hali ya paschal.....nikiwa neduwaa hapo simu yangu ilipigiwa na namba ngeni mmmmhh nani huyu😟😟 nilipokea kisha nikaweka sauti ya chini sana ilisikika sauti ya paschal aliniita mke wangu pendo naomba unisamehe mke wangu mwenzio nakupenda et😰😰 nilinyamaza tu sikuweza kuongea chochote pale mbele ya hemed..... nililazimika kuikata ile simu nilizuga nikatoka kule chumbani nilitoka nje ili niweze kuongea na paschal..... alipiga nilipokea bado alikuwa anaendelea kulia na Kuniomba nisije nikamuachaπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijikuta namm nalia kiukweli nampenda kuliko kitu chochote kile.... paschal aliniambia kuwa pendo nakupenda usiniache nakuomba ufute hiyo kesi ya madai ya talaka kwa sababu haipo siku nitakayokupatia talaka..... tuliongea vingi alinibembeleza mno aliniomba tuonane ili tuweze kuongea live huku tukiwa tunaonana nilimwambia sawa nitakujurisha nikipata muda....

Ilipita kama wiki moja nikiwa nimelikalia kimya swala la talaka kila siku hemed hakuacha kunikumbusha lakini niliendelea kuvunga tu πŸ˜‘ mawasiliano kati yangu na paschal yalirudi tena ilikuwa ni kama vile ndo tunatongozana make penzi lilikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ siku moja paschal aliniomba nimpelekee mtoto wake akamsalimie nilijiiba siku hiyo nilitoka asubuhi kuelekea kazini nilivyofika kazini niliomba ruhusa nikarudi nyumbani sikumwambia ata hemed nilifanya kwa siri🀣🀣🀣 siku hiyo nilijiiba nikampeleka nice kwa baba yake alikuwa na siku nyingi sana zilizopita bila kumuona daddy ake hadi mtoto alikuwa kmzoea hemed kuwa ndo baba yake baada ya kwenda kuonana na paschal tulitolewa out ya nguvu siku hiyoπŸ˜†πŸ”₯ tuliongea vingi mimi na boo wangu tulisameheana makosa yote nilimuweka wazi juu ya mtoto wangu shazil aliniambia huyo mtoto hana kosa lolote na kama ni makosa tayari ulishakosea natumaini hautoyarudia makosa uliyokwishanitendea hapo nyuma..... nayy aliniahidi kuwa hatorudia makosa yake ya nyuma aliyowahi kunitendea nice alipata muda wa kucheza na baba yake japo alishamsahau et😩😩 alikuwa kamzoea hemed kuliko baba yake.....

Jioni tuliwahi kurudi nyumbani kabla ya hemed ili asijegundua kuwa tayari nishaanza kuwa naenda kuonana na paschal kwa siri..... mwenzenu si nilijikuta kufanya siri sangapi nice asiniumbue🀣🀣🀣 vile tu hemed amerudi taarifa ya kwanza ilikuwa ni hiyo daddy leo mama kanipeleka kwa daddy yangu mwingine katupeleka out katupeleka shopping katupeleka launch tumecheza naye tumeinjoy yule daddy alinikumbatia mimi na Mom akatuchum alimkumbatia mom wakakiss kama vile ambavyo huwa unamchum wewe😁😁 alimnunulia mom zawadi nyingi nzuri hata mimi alininunulia kila kitu nilichokipenda.......hemed alinitizama yeye ni mtu mzima alimwelewa nice alimbeba yule mtoto wakaingia ndani aliendelea kumhoji mom leo katoka kazini sangapi nice akajibu ni mapema asubuhi alikuja kunichukua shule akaniambia kuwa anataka kunipeleka nikamuone daddy yangu..... yani yule mtoto🀣🀣🀣 sa nitajiteteaje yani aliendelea kunifunga bila yeye kujua...... usiku baada ya kwenda chumbani kwetu hemed alininunia hakutaka kunisemesha na wala hata usiku wa siku ile baada ya nice kumwambia zile habari hakuweza hata kula.......

Nilivunga tu kwa kweli make ukweli wote ndo kaishasanuliwa na nice na ukweli nilifanya hivyo sikuona kama kuna umuhimu wa kujitetea kwa lolote.... nilisubilia tu aamue chochote kilicho kichwani kwake kama ananiacha au laaa......

Itaendeleaaaa.....

Maoni

You're not logged in


profile
majario 16 Feb 2026 22:35
Nilivunga tu kwa kweli make ukweli wote ndo kaishasanuliwa na nice na ukweli nilifanya hivyo sikuona kama kuna umuhimu wa kujitetea kwa lolote.... nilisubilia tu aamue chochote kilicho kichwani kwake kama ananiacha au laaa......
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜


""Nini hii🀨🀨?""
""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua""
""Fungua usome😏😏""
""Nilimjibu kwa kumnyali""
""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani🀨🀨""
""Ulitaka niwaze nini Mr paschal 😝😝""
""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo ambaye amekushawishi kufanya hivyo?.... aliuliza paschal kwa hasira huku akiwa anamnyooshea hemed kidole😠😠...... kanishawishi juu ya nini?! Uliyenishawishi ni wewe hapo na lia wako we si ulifikiri mimi siwezi kukuacha wewe natamani unionyeshe kiburi chako cha jana 😝😝 huyo mwanaume unayemuona hapo anaitwa hemed ni mme wangu mtarajiwa pia ni baba wa watoto wangu nice na shazilπŸ€ͺπŸ€ͺ unaongea juu ya nini pendo kwa hiyo unamaanisha kuwa tayari una mtoto na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-62

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜

542
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 46 na 47

477
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97

454
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 44 na 45

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 44 na 45

441
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 38

238
REAL LOVE  Chapter 15

REAL LOVE Chapter 15

190
*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 98 na 99*

*MY WANGU❀️* *sehemu ya 98 na 99*

174
REALLY LOVE* 16

REALLY LOVE* 16

86
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜

77
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

71

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.16K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.9K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.31K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.3K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minong’ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

β€œMalaika! Malaika mwanangu!” β€œNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?” Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA β€œNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule” β€œYesu.....” Nilipagawa huku nikiwaza...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 08 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 08
@majario LIVE

NA MR AB Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni ** Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo β€œVipi mke wangu?...

YENYE KIRUNGU πŸ’› β€οΈπŸ’š  SEHEMU YA 07 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› β€οΈπŸ’š SEHEMU YA 07
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA Piiiiiiiii, alipiga honi konda, nikasogea na kuchungulia vizuri, kweli ilikuwa kama nimetabiri hivi, nilimshuhudia Jerry anashuka kwenye pikipiki amevaa shati na suruali ya kitambaa akasogea β€œMke wangu Anita” Alisema Jerry...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’šβ€οΈ  SEHEMU YA 06 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’šβ€οΈ SEHEMU YA 06
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA β€œWewe Anita......Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud. Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama β€œAnitaaaa.....wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika β€œYupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa”...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 05 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 05
@majario LIVE

MR. AB Tulipoishia Ile nimefika sebuleni kulikuwa na giza, nikapapasa swichi na kuwasha taa. Sikuamini, nimewasha taa hivi, naona mwanaume kasimama katikati ya chumba amevaa boxer tu, ana tattoo zake ameinamisha kichwa chini. Kuinua...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️
@majario LIVE

Na Mr AB SEHEMU YA NNE Alifanya kuniwekea kunako, akaisukumiza kikaingia kile kichwa tu β€œOoohhh..bhaaan...” Nilihema kwa hisia huku nikijisukumiza nyuma ikawa inaingia taratibu hadi ulipoingia mpaka mwisho. Ilinitekenya halafu akaanza kuchochea...

YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’›β€πŸ’š SEHEMU YA TATU Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’›β€πŸ’š SEHEMU YA TATU
@majario LIVE

"Daah mbona haisimami?" Nilimuuliza boss wa mume wangu "Ngoja niondoke nitarudi siku nyingine leo sijisikii vizuri" alijibu akipandisha suruali yake halafu akatoa shilingi elfu 20 akanipatia "shika hii" "Mh asante" nilisema...

YENYE KIRUNGUπŸ’›πŸ’šβ€  SEHEMU YA PILI Post Mpya
YENYE KIRUNGUπŸ’›πŸ’šβ€ SEHEMU YA PILI
@majario LIVE

Tulipoishia Asubuhi ilipofika Nilijikuta namtext boss wa mume wangu "Wewe" nilituma asubuhi na mapema maana niliamka na nye** vile vile "Niambie madam" "Ninahitaji mboo" Nilimuandikia ujumbe huo ili nione atajibuje, yaani akijibu vizuri tu...

YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’šβ€ πŸ”ž Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’šβ€ πŸ”ž
@majario LIVE

Sehemu ya kwanza Mume wangu ni mtu msiri sana ambapo ni mara nyingi tumekuwa tukigombana hasa pale ninapogundua kwamba kuna mambo ya muhimu amenificha kwa muda murefu. Hata hivyo ugomvi haijaweza...

Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952. Post Mpya
Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.
@majario LIVE

Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia...

Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai Post Mpya
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
@majario LIVE

Msanii maarufu β€œToss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA. Mrembo huyo...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest