Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Usiku ule nilipanga nguo zangu kwa ajiri ya safari hapo kesho mapema baada ya kuandaa kila kitu nilipanda kitandani nikalala..... kesho yake mida ya saa 12na nusu asubuhi nilidamka mapema nikasafisha chumbani kwangu nikatandika baada ya hapo nilitoka kwenda kufanya usafi jikoni ndani mara nyingi alikuwa anadeki idris.... nimefika jikoni nikaanza kupata kizunguzungu😴😴 nilirudi nyuma ili nijiegeshe ukutani nisije nikadondoka lakini ghafla nilienda kutua katika mikono ya Hemed..... recho unaumwa?! Aliniuliza Hemed huku akiwa amenishikilia mikononi mwake.... hapana Hemed siumwi ila nasikia tu kizunguzungu.... pole sana itabidi tuelekee hospital haraka ili ukapimwe tujue tatizo ni nini..... Hemed alinibeba hadi sebleni alinilaza kwenye sofa alimuomba idris aandae gari upesi kisha alinimbia pole mama ngoja nivae nguo kisha nije nikupeleke hospita ucjali utakaa sawa nilimuitikia alielekea chumbani kwake alivua zile nguo anazovaaga akiwa anaenda kuimwagilizia bustani akawa amevaa za kawaida.... pole unajisikiaje?!.... aliniuliza Hemed nilimwabia bado nasikia kizunguzungu oh usijali mamaaa tunaenda hospital utapatiwa matibabu utakaa sawa.....

Hemed alinibeba hadi kwenye gari tuliondoka kuelekea hospital kule hospitali nilifanyiwa vipimo nikagundulika kuwa ni mjamzitoπŸ˜”πŸ˜” Hemed aliniangalia kwa maskitiko hakuniuliza chochote kwa muda huo lakini alionekana kushtushwa sana na swala la ujauzito wangu.... tukiwa kwenye gari tunarudi nyumbani hemed aliniuliza recho kwa hiyo tayari ulishampata mwanaume unayempenda hadi umeua kumzalia?!!

Nilinyamaza tu sikuwa na cha kumjibu ..... tulirudi nyumbani nikashuka kwenye gari nikaanza kujongea kuelekea ndani...... recho.....aliniita Hemed nilimuitikia alinifuata pale nilipokuwa alinishika mkono hadi ndani tulikaa pale sitting room aliniuliza ni nani mhusika?! Niliendelea kunyamaza Hemed aliniomba niongee chochote nilimwambia ipo siku nitamwambia kila kitu kuhusu maisha yangu aliniomba nimwambie nilimuomba awe na subra..... nilinyanyuka pale sebleni nikawa naelekea chumbani kwangu mara nikashikwa mkono niligeuka nyuma mmmhhh alinishika Hemed nilishindwa kumwelewa huyu kawaje leo nilibakia kumtizama tu aliniambia recho basi nakuomba mimi ndo niwe baba wa huyo mtoto aliyeko tumboni kwako...... kheeeeeπŸ™„πŸ™„πŸ™„ jomon kwa hiyo na yeye tayari kaishanipenda au niaje niaje...... sikumjibu kitu nilijitoa mkono wangu nikakimbilia chumbani kwangu nilijitupia kitandani nikajilaza pale nilikuwa najihisi vibaya sana haikupita muda niligongewa mlango sikuweza hata kujibu wala kuamka kwenda kufungua aliyegonga ni Hemed aliingia ndani chumban kwangu alikuwa kaniletea chakula aliniomba niamke nipate kula chakula nilimwambia asante alinisaidia kuamka pale kitandani nikakaa alikaa pembeni yangu akawa ananibembeleza nile nilikula et baada ya hapo nilimuaga Hemed nilimwambia mimi leo nitaondoka kurudi dar es salaaam..... hapana recho tafadhari nakuomba usiondoke..... nakuahidi nitarudi et...... basi nakuomba twende wote kama hautojali nikusindikize et..... duh hapana Hemed siwezi kuondoka nawewe niache tu niende peke yangu nakuahidi baada ya siku mbili nitarudi tena zanzibar Alinielewa alinisindikiza airpot aliniomba kwa hali niliyonayo ni bora niondoke na usafiri wa angani ili kuepuka kukaa sana alinilipia nauli alinipatia na pesa za kutumia nikawa nimeondoka kurudi dar nilifikia lodge ambayo iko mafichoni sana kule zanzibar nilinunua zile nguo za kuficha sura yangu kwa ajiri ya kuzitumia pale nitakapofika dar......

nilifika lodge nikachukua chumba nikapumzika nililalaa kama masaa tano hivi then nikaamka nikaoga nikavaa zile nguo za kuficha sura baada ya hapo nilitokapale lodge nikaenda kutafuta vitu vichachu vya kula baada ya hapo nilichukua usafiri ilikuwa ishafika usiku kwenye saa saa moja moja hivi nilielekea pale ofisini kwa boss paschal niliona ofisi yake ikiwa iko wazi mlango ulikuwa umerudishiwa tu ni kama vile bado kulikuwepo na watu ndani...... nilienda dukani nikanunua pen na daftari niliandika barua kwa boss paschal baada ya kuiandika ile barua nilisogea pale ofisini kwake nilimpatia mlinzi nilikuwa nimeifunika sura yangu na mlinzi aliyekuwepo pale alikuwa mgeni machoni kwangu nilimfuata nikamsalimia baada ya hapo nilimuuliza kama kuna watu pale ofisini aliniambia wafanyakazi wote wameshaondoka ila huko ndani yumo boss pekee...... nilimpatia kile kikaratasi nikamuomba anifikishie kwa boss wake baada ya hapo mimi nilianza kuondoka kule kwenye ile sehemu...... nilifika mbele nikaitisha tax nikapanda kule mlinzi alikuwa hawezi kuniona tena baada ya kupanda ile tax nilimuomba dereva arudishe gari karibia na pale ofisini tusimame kwa muda pale nilitamani angalau niweze kumtia hata machoni tu nilimkumbuka sana boo wanguπŸ₯²πŸ₯² sister utaniongezea pesa..... ucjali nitakulipa zaidi nilifunga vioo then dreva aliondoa gari akasogea kule karibu na ofisini kwa boss paschal aliegesha gari pale isingekuwa rahisi mtu kuhisi kitu kwa kuwa pale ofisini huwa kuna kakituo kadogo ka boda na tax....

Tulisimama pale kwa muda kama wa nusu saa hivi ndipo nilipomuona paschal akiwa anafunga ule mlango wa ofisini kwake nilipatwa na hisia za kulia nilitamani nisogee pale niende nikaonane naye...... alimaliza kufunga pale then akaanza kutembea taratibu kuifuata gari yake sehemu ilipokuwa kabla hajafika pale kwenye gari yule mlinzi alimsimamisha akawa amempatia ule ujumbe......

Boo aliupokea ule ujumbe then alisogea pale kwenye gari yake alipanda kwenye gari baada ya muda mfupi alitelemka alimfuata yule mlinzi akaanza kumhoji cjy alikuwa anamuuliza juu ya nini make mimi nilikuwa niko mbali.... boo alianza kuangaza huku na kule nahisi alikuwa ananitafuta mimi.... alianza kutembea maeneo ya pale jirani huku akiwa anaulizia kama kuna mtu aliyefanikiwa kuniona niliumia vile alivyokuwa anahangaika kunitafuta na ilihali mimi nipo na ninamwangalia nilimuomba dreva tax tuondoke pale nampenda sana boo wangu kila nikimuona huwa natamani tu niende nikajilaze kwenye kifua chake kizuriπŸ’‹πŸ’‹kwenye ile barua nilimwandikia kila kitu kilichonitokea nilimwambia pia juu ya ujauzito wake nilionao mwishoni nilimwambia kuwa yeye ndo mwanaume wa pekee aliyeuteka moyo wangu nampendaπŸ’‹πŸ’‹....... nilirudi kule lodge nilikuwa mpweke sana nilijikuta tu naanza kukumbuka vitu vya kuumiza vilivyonifanya nitoe machozi...... kulia siyo suruhu pendo amka ukafanye kilichokuleta dar cha kwanza ni kumpa taarifa baba wa mtoto wako aliyeko tumboni juu ya ujauzito wake hicho tayari umeshakifanikisha cha pili ni kwenda nyumbani kwenu kuchukua vyeti vyako na vitu vyako vingine bila wazazi wako kukuona..... nilijishauri na nafsi yangu tu..... niliamka tena nikaificha sura yangu ilikuwa ni usiku mida ya saa 3 nilipanda boda kuelekea kule nyumbani kwetu kwa ajiri ya kwenda kuchukua vitu vyangu.......

Itaendeleaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜


Usiku ule nilipanga nguo zangu kwa ajiri ya safari hapo kesho mapema baada ya kuandaa kila kitu nilipanda kitandani nikalala..... kesho yake mida ya saa 12na nusu asubuhi nilidamka mapema nikasafisha chumbani kwangu nikatandika baada ya hapo nilitoka kwenda kufanya usafi jikoni ndani mara nyingi alikuwa anadeki idris.... nimefika jikoni nikaanza kupata kizunguzungu😴😴 nilirudi nyuma ili nijiegeshe ukutani nisije nikadondoka lakini ghafla nilienda kutua katika mikono ya Hemed..... recho unaumwa?! Aliniuliza Hemed huku akiwa amenishikilia mikononi mwake.... hapana Hemed siumwi ila nasikia tu kizunguzungu.... pole sana itabidi tuelekee hospital haraka ili ukapimwe tujue tatizo ni nini..... Hemed alinibeba hadi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-34

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

1.01K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

694
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

433
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

292
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

157
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

137
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

135
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

112
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

43

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS πŸ₯° yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest