Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
Gonga94 · Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo.

"NAKUJA

Alizungumza Enzo kisha kwa mwendo haraka akawafuata wazazi wake

"Shoga yangu kazi unayo na hii familia"

Alizungumza pili Maana anamjua vizuri sana madam groly na drama zake za kila siku utazani ni Binti wa kidato cha pill Baada ya Kama dakika 5 hivi, Enzo akarudi na wazazi wake wakarudi Ndani ya gari

"Tunaweza akuendelea"

Alizungumza Enzo, Nikamuangalia

kumuuliza

"Wamekuja kufanya nini? Na wanaondoka

wenyewe au wanaondoka na wewe?"

"Wana mazungumzo na sisi na watatusubilia

mpaka tutakapomaliza shughuli yetu

Basi shughull iliendelea lakini sikuwa comfortable kabisa Yaani niliogopa ata kucheza mziki na kigoma kwa amani, Walahi nilishindwa kuinjoy siku yangu, imagine kutikisa makalio mbele ya baba mkwe na mama mkive.

Nilipanga mziki wangu ukae mpaka Saa 6 usiku lakini ilipofika tu Saa 2 usiku, nimamuomba si DJ azime mziki na waweze kuondoka na shughuli ikaisha Kama hivyo.

"Shikamooni

Niliwasalimia wazazi wa Enzo baada ya kuwakaribisha Ndani kwangu na muda walikuwa tayali wako Ndani.

"Marahaba Mwanangu Unaendeleaje?"

Aliniuliza madam groly.

Kwanza nikashtuka sana Walahi, Yaani madam

groly Ndio wa kuniita Mimi mwanae kweli? Tena

gafla kabisa na baada ya kila kitu kilichotokea.

Nilibaki nikiwaangalia na kuwasikikza wamekuja

na jipya gani

"Naona Enzo anainjoy maisha ya uswahilini na

amekuwa mzoefu sana mmenitamanisha

kwakweli

Alizungumza baba Enzo akiwa na tabasamu

Kama lote usoni mwake.

Muda wote huo Enzo alikuwa kimya, Lakini gafla tu akavunja ukimya na kuuliza

"Mbona mnazunguka sana mmekuja kufanya

nini uku

"Tumekuja kuwaona kujua mnaendeleaje na

kila kitu

Alijibu madam groly, Enzo akasimama na kuzungumza.

"Mmekuja kutuona au kuniona ? Najua chaguo

langu amittaki Kwahiyo hapa mmekuja kuniona Mimi tu, na Kama sio kuniona Basi kunichukua, Ngoja niwaambie kitu Mimi hapa Ndio nimefika

bakini na Mali zenu

"Actually icho Sicho kilichotuleta kabisa, Enzo ni

kwell tumekuwa wazazi tunaokubana na

kukusimama sana lakini kwa sababu

tunakupende sana na tunawaza mama juu yako,

aaaah Mimi na mama yako hapa, tumekaa

tumezungumza na tumekubaliana Kuwa Tuko

tayali kumpokea Ishani Kama mkwe wetu"

Macho yalinitoka na kubaki nicimuangalia

madam Groly ambaye alionekana Kuwa

"Ebu

Furaha sana kwa wakati huo

subilini

kwanza,

mnamaanisha

manachokizungumza ?"

Enzo aliwaulza wazazi wake ni wazi kuwa ata

yeye alishindwa kuamini kwa wakati

Huo

Madam Groly akasogea Karibu.

Yangu na kunishika mikono yangu yote miwili na

kuzungumza.

"Ishani binti yangu, nakumbuka Mimi na wewe

tulikuwa na mwanzo mzuri sana siku ambayo

tulijuana, nilikuonesha upendo wa hali ya juu na

haukuwal Kuwa fake ata siku moja, hapo katikati

mambo yalivulugika sana, Nafikili ni wasiwasi wangu Kama mama juu ya Kijana wangu Ndio umetufalakanisha, najua utanielewa mama yako

na kunisamehe, nakuomba sana tuanze mwanzo

Mpya

Kisha madam Groly akanikumbatia kwa nguvu

sana akiwa Analla ni wazi Kuwa alijutia sana

matendo yake mabaya dhidi yangu.

Kiukweli kwa wakati huo sikuwa na majibu.

sahihi ya Kuwapatia nilibaki nikiwashangaa na

sikuchangia mada ata kidogo.

"Nafikili wacha sisi Twende na mpate nafasi ya

kuzungumza, lakini nawaombeni sana sana

mrudi kule NYUMBANI kwenu

Alizungumza baba mkwe kisha wakaaga na

kutoka nje.

Enzo pia akatoka na wazazi wake me Nikabaki

tu Mwenyewe

"Mbona Kama kuna kitu akipo Sawa jamani

Niljkiliza

Sawa madam Groly na mume wake

wamezungumza mambo mazuri sana juu yangu na Enzo lakini Mbona Kama moyo wangu bado hauko tayali ni Kama moyo wangu. Ulikataa

kuwaamini kabisa.

"Yes, yea, yes"

Alishangilia Enzo baada ya kuingia Ndani na kwa

furaha ya hali ya juu akanikumbatia.

"Finally i can take you home, ishani umeweza

mama, umeweza Mke wangu waoooooh

umeshinda

upendo

nakupenda mwenzio

wazazi wangu

Enzo alikuwa na Furaha sana Walahi na sikutaka

kuharibu Furaha yake so nilichofanya

kumuigizia Furaha ambayo sikuwa nayo.

Mimi na Enzo Tulizungumza mambo mawili

matau kisha nikasimama na kumwambia

"NAKUJA

Moja kwa moja nikaenda chumbani kwa Pill

shoga yangu wa Hubani huyu.

"We Mke wa mtu usiku huu chumbani kwangu?

Au mahayakologa Uko ?

Pili aliniuliza uku akiniangalia kwa makini sana.

Nikatulia pale na kuanza kumsimulia shoga

yangu kila kitu Maana yeye Ndio mtu Niko Huru

sana kuzungumza nae mambo yangu, Sawa Pili

ana uswahili mwingi sana lakini yuko vizun sana

kichwani na anajua kuzungumza na mtu.

"Kwahiyo mama mkwe yako Ndio amekuja

kukuambia hivyo Lea?"

Pili aliulize

"Ndio, Yaani Squi lakini Mimi nahisi Kama sio kwell, Yaani sioni ule upendo wa kweli kutoka

kwake

Pili akashusha Pumzi Ndefu kisha akajibu.

Kiukweli siwezi kwenda moja kwa Moja kwenye

majibu Maana uwezi jua moyo mtu na Ndio

Maana wahenga walisema moyo wa mtu ni

kichaka

"Saa Pili me nafanyaje mwenzio eeeeh, Yaani

nahisi kuchanganyikiwa Sijui ni kitu gani

nafanya

"Sikia ishani, si unampenda Enzo na anakupenda

sana fanya Kama ambavyo mama yake anataka,

Yaani cheza ngoma yaka lakini usijiachie sana,

watu hivyo uwaga awawezi kujificha kwa

muda mrefu

"Kwahiyo Unataka Mimi nikubali kwenda kuishi

kule kwa Enzo?

"Ndio Enzo ni mwanaume wako na anakupenda

sana Tena sana, imagine ameacha maisha yake

mazuri

na yuko hapa anacheza mpaka vigoma

kwaajili yako huo ni upendo ishani na

umebarikiwa Kuwa na Enzo kwenye maisha

yako, Mimi ninachokiomba mpatie Furaha Enzo

Nikatabasamu na kumkumbatia Pili wangu kwa nguvu sana, yaani huyu Mdada daach amenisaidia

Siku ziliendelea kwenda na hatimaye Mimi na

Enzo tukafunga Maamuzi ya kurudi ushuani kule

kwa Enzo, vitu vyangu vya uswazi vyote

nikaviacha kwa Pili Maana lolote lile linaweza

likatokea

Hatimaye miezi 8 Ikapita uku Mimi na Enzo

lakini pia familia ya Enzo tulikuwa Sawa

kabisa, Yaani madam Groly alinipenda

kuliko

maelezo nikajikuta nikimuamini sana na kuamini

Kuwa ni kweli amebadilika.

Ikiwa

siku ya harusi yangu Mimi na Enzo,

Ilikuwa ni siku ya Furaha sana, ndoa ya Mimi na

Enzo likuwa inafungwa saa 10 jions

Ikiwa ni Majila ya saa 8 MCHANA nikiwa saloon,

mama mkwe alikuja akiwa na Suzy, Kiukwell

Ilikuwa ni Furaha ya hali ya juu kuna muda

Nilihisi Kuwa ni ndoto lakini kumbe Ndio uhalisia

Yaani baada ya kila

Kitu, baada ya mapigo na machozi mfululizo Leo

hii ni Ndani ya shera na Kuwa Mke halali wal

Enzo

Ila Pesa sio mwenzio Walahi, Yaani saloon

nilipelekwa kwenye chumba cha VIP Yaani ni

Mimi na wahudumu tu

"Mnaweza kutupisha nina mazungumzo na

mkwe yangu kidogo jamani

Alizungumza madam Groly na kumfanya kila

mtu kutoka nje na ata Suzy pia akatoka nje

"Unajisikiaje ?

Madam groly allniuliza baada ya kuhakikisha

Kuwa tumebaki Mimi na yeye tu

Squi niseme kitu gani mama, lakini nasikia raha

na amani, finally Leo Mimi na Enzo tunatimiza

ndoto yetu kubwa

"Well Mimi sina Furaha kabisa na hil Siku

Alijibu madam Groly akiwa serious nika..

Je Kwanini madam groly hana Furaha? Tukutane

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*



Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo.

"NAKUJA

Alizungumza Enzo kisha kwa mwendo haraka akawafuata wazazi wake

"Shoga yangu kazi unayo na hii familia"

Alizungumza pili Maana anamjua vizuri sana madam groly na drama zake za kila siku utazani ni Binti wa kidato cha pill Baada ya Kama dakika 5 hivi, Enzo akarudi na wazazi wake wakarudi Ndani ya gari

"Tunaweza akuendelea"

Alizungumza Enzo, Nikamuangalia

kumuuliza

"Wamekuja kufanya nini? Na wanaondoka

wenyewe au wanaondoka na wewe?"

"Wana mazungumzo na sisi na watatusubilia

mpaka tutakapomaliza shughuli yetu

Basi shughull iliendelea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-kumi-na-nne

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-kumi-na-nne
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

865
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

666
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

542
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

338
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

165
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

120
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

114
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

100
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest