Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi namuona kama mwanangu kabisaaa, zena akaniuliza mh kwani na wewe si una watoto pia, nikasema no mimi bado sina kabisa mtoto ata mmoja, zena akasema mh mbona nakuona mkubwa sasa, nikasema yaaaa ila bado sijaoa, nataka wanangu wote niwazalie ndani ya ndoa, zena akasema mh mbona ww mkubwa na bado hujaoa shida ni nn,nikasema bado sijapata ambae naona ananifaaa si unajua wanawake wa siku hizi mlivyo na mambo mengi, nikamsikia zena anacheka ,akanmbia sawa bwana basi uwe na usiku mwema ,nikamwambia sawa na wewe pia, aknmbia powa kisha akakata simu, niikasema yes uyu demu siku yoyote kutamlamba

Badi bwana ,mi nikavuta simu, nikaagiza chakura mana daaah nilikuwa na njaaa kinoma, na kweli chakura kikaja , nikapiga fresh, kisha sasa kuna mwanangu mwengine ,uyu ni mpemba mwenzangu, anaishi zanzibar ila ni mfanyabishara so huwa anazunguka zunguka sana mikoani uku, akanipigia uo mda kama saa 4 usiku, mi nikapokea akanmbia mwanangu nipo dar masaki hotel, njooo basi tunywe apa kuna wachumba kama wote, eeeeeh mambo yangu tena nikamwambia nakuja chapu apo, kweli mda huo huo, mi nikapiiga maji ,nikavaa fresh nikachukua gari, uyooo nikaenda kuonanana na mwanangu, ahaaaa uko tukanywa sana, na usiku sikuludi kwangu, nikapata demu uko uko nikaingia nae hotel, nikaenda kumlaaa

Asubuh sana ndo nikaludi kwangu, nikafikia kulala mana iyo siku mm nilikuwa off kabisa, basi mida ya saaa 4 asubuh ndo nikaamka ,nashika simu, nakuta zena kanitumia picha za mwanae akiwa kavaaa sale za shule kavaa na begi anaenda shule, aha yani kale katoto kalikuwa na furaha kweli kweli, mpaka nikatabasamu, kisha zena akanmbia asante leo ummy kaanza shule kafurahi sana, nikasema hakuna shida mi sindo baba yake japo mama yake ananikazia sana, mh wala hakunijibu na wakati alisoma kabisa ujumbe wangu, basi bwana kuanzia apo nikazidisha sana shobo na zena, yani snaaa tu apo yeye niliona ananikwepa sana, unakuta usiku namcheki naanza kumchatisha , ila sasa nikianza kutia story zangu za kumtaka yeye apo ndo tunamaliza kuchati yani hanijibu tena, daah nilikuwa na maind ,ila nikawa napoa, apo najifanya nampemda mwanae kinoma, kuna mda namtumia pesa zena namwambia za mtoto hizo, zena anambia asante mungu atakulipa, ila nikiaanzaaaa tu swaga za kumuhitaji,daah mtoto.hanijibu

Na nikawa naongea sana na mtoto wake, yani mda wote mwanae ananiita baba, japo nilikuwa napata mda mchache sana wa kumuona, sababu ya kubanwa na kazi, basi bwana ikawa hivyo mpaka ikakata mwez ,mpka siku iyo nilimwmabia ibraa, bwana uyu demu ana zingua,ibra akanmbia shida nn, nikasema mwanangu mi nimechoka kumfatilia uyu demu kabisa, miezi miwili pesa zangu zinaenda tu, nikianza kumwmabia nampenda ama namtaka ananikaushia ,asa si nn kama.sio wizi uhuu ni nn, uyu demu ananibia uyu nishaona, yani mi namtumia pesa kwa ahili ya mwanae fresh, ila ye hanitaki, mi kiukweli hakuna kitu kinaniuma kama.kumpa pesa demu ambaye sijawahi kumtomba ahaaaa naumia kisenge, ibraa akanmbia we nn ,we kama unamtaka demu mpe pesa, endelea kumuhudumia hivyo hivyo mtakuwa sawa tu, alafu yule zena ni mwanamke mwenye misimamo sana unatakiwa kutambua hilo ,nikasema powa kaka

Basi mwanenu nikaendelea kupasuka mpaka ikakata miezi 3, ahaa aapo nikawa natuma elfu 20, elfu 10, ela za shule tu, weeee nimwage pesa na mzigo sijapewa sio kweli mi siwezi kabisaa, siku iyo nikaona uyu demu asinizoeee au ana mwanaume wake,mi napoteza mda wangu namfatilia ukute ananichuna vyangu tu, siku iyo nikiwa kazini nikamgongea call sasa, nikamwmabi oyaaa mi leo nahitaji sana kuongea na wewe, akanmbia millan shida ni nn au maongezi ya kawaida tu, nikasema yakawaida tu ila natamani tungetoka kidogo, akanmbia hapana mimi sitaweza si unjua nna mtoto mdogo na shey hayupo sitakuwa na mtu wa kumuachia mwanangu, nikasema sawa hakuna shida,basi nitakufata mimi mda ambao ntamaliza kazi zangu, akanmbia sawa nakungoja, kwa iki kipindi mi na zena tulikuwa tunaongea vizur kabisa yani hanijibu vibaya ata, ila ananikazia tu kunipa mzigo wanangu , basi mi nilifanya kazi zangu, na mda wa kutoka ulivyofika, mi nikaelekea kwa zena, nilifika mpaka mtaani kwao, nikapark gari yangu kisha sasa nikaenda mpka nyumbani kwake kabisaa

Kweli nilimkuta na aakanikalibisha vizur kabisaa , basi mwanae akaniwoow pale baba baba kama zote, ahaaa mbona nilijua kuuvaa ubaba kwa yasiyonihusu, alafu ata mm aka katoto nilijikuta nakapenda mi nilizalisha madume wote, yani ao wanangu watano wote wa kiume,sikuw na mtoto wa kike ata mmoja, basi nikajisikia rahaa kweli, basi nikaona zena anaandaa chakula pale, na akatengaa woow, ilikuwa wali nyama, kile chakula kilikuw kinananukia kinomaa, mpaka nikawa nna hamu ya kukila ,na kweli akanikalibisha chakuraa pale.mwanaume wala sikuvunga, alafu mi sinaga uzungu kwenye masuala ya kula kabisaa, Daah msosi ulikuwa mtamu kinoma, nikaona uyu demu atakuwa mtamu kama chakura chake nn, ebu anitunuku basi daaah mtoto anazingua uyu, basi ummy akawa ananilisha kabisaa, katoto kanjua kunipa rahaa aka, basi tulivyomaliza kuka nikashukuru, mana nilishiba na niliinjoy chakura, zena akanmbia usijali asante kwa kula pia, baada ya apo akanmbia naomba ningoje nimuogeshe mtoto kabisa, nikasema.sawa ,kweli zena akenda kumuogesha mwanane, alipoludi akamvalisha mwanae kisha akamwmabia panda kitandani ulale sasa

Nikamuuliza mbona analala mapema, akasema haa ataanza kwenda kwenye vyumba vya watu anapenda sana tv asa sa hzi usiku anaenda kuwasumbua watu, nikasema.ohh sawa basi ummy akainuka kanmbia baba utaninunulia tv na mm, kule wananifukuzaga ,daah nikajisikia vibaya,nikasema sawa ummy nitakununulia tv mwanangu mzuri now lala, kesho nitakuletea akanmbia sawa baba, kisha akajilaza akanza kuvuta usingizi, kiukweli kilitanda kimyaaa mpaka ummy alipolala, na mama yyake alipojilizisha kuwa mwanae kalala ndo akanzsiha mazungumzo, akaniuliza eeh una maongezi gani millan, nikasema zena mi nimekuja apa nnataka kujua mbona ninapokueleza hisia zangu unanaikaushia kabisa,mala zote ninapokueleza kuwa mi nakupenda sana na nakuhitaji. Ww unakuwa hutaki shida ni nn mama, zena akaningalia sana kishaa akasema wala hakuna shida millan ila ni suala la mda ,mimi binafsi naona kwa sasa sihitaji mahusiano ya kimapenzi ila tunaweza kuendelea kuwa marafiki millan, demu jau uyuu daah asa tukiwa. Marafiki ananipaje mzigo rafiki yangu, nikasema zena nisikilize naomba unisikilieze sana, zena mimi.nakupenda very serious ,yani nakupend mnoo zena nakuhitaji sana. Zena mm nataka kukuona kabisa mimi sitaki kukuchezea wewe, nimeonaaa nakupenda sana naomba unielewee mama

Ama baba ummy alikuumiza ebu nammbie, mi siwezi kukufanyie hivyo, mimi ni mwanume wa tofauti sanaa ,na ninakupenda sana ,nakuhitaji sana plsss mama naomba kuwa na ww ,nakupenda sana, sitakuchezea ,ntakutunza na kukujali sana, na nitamlea ummy kama mwanangu wa kumzaa, aseee wanaume tukiwa tunataka kitu huwa tuna swaga kinoma๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, zena akanmbia najua kama unanipenda millan, naelewa sana .sina utoto wa kutokuelewa ayo, na najua ni kwa kiasi gani unampenda mtoto wangu, ila naomba nielewe kuwaa kwa sasa hautuwezi kuwa pamojaaa, aseeee niliujikuta nimepata hasira yani mda wote nambembeleza ana kitu gani ch ajabu, mi nakamatiaga mademu wa kali awaingii ata mala elfu 10, na hawanilingii kama hivi, demu namfatilia kalibia miez 3,alafu anakuja kunilingia mimi matako uyu, aeee nikavuta funguo yangu ya gari nikatoka ndani kwake kwa hasira mnoo, aseeee mi ni mtu amabye nna hasira za haraka na nawahi kupaniki mnooooo. Basi nikaenda mpaka sehemu nimepaki gari yangu, nikaingia ndani ya gari yangu, nikaanza kudrive kuelekea kwangu nikiwa nimemind kinioma juu ya uyu demu na pozi zake,sipendi sana mwanmke wa kulinga kama yeye ndo ana kuma tu, nilimond umo njianinilkuwa nasonya tuu, kam mwanamke mwenye mimba.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15




Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi namuona kama mwanangu kabisaaa, zena akaniuliza mh kwani na wewe si una watoto pia, nikasema no mimi bado sina kabisa mtoto ata mmoja, zena akasema mh mbona nakuona mkubwa sasa, nikasema yaaaa ila bado sijaoa, nataka wanangu wote niwazalie ndani ya ndoa, zena akasema mh mbona ww mkubwa na bado hujaoa shida ni nn,nikasema bado sijapata ambae naona ananifaaa si unajua wanawake wa siku hizi mlivyo na mambo mengi, nikamsikia...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-14-na-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending ๐Ÿ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84

1.62K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85

1.12K
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

293
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

250
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

208
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87

207
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

67

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.95K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.64K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.89K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.54K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.04K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.82K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.71K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.68K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 85
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema โ€œsasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.โ€ Dada Maria alicheka na kusema โ€œwewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?โ€ Nilitabasamu na kusema โ€œmimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.โ€ Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote๐Ÿ‘‡ Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sanaโค๐Ÿ˜˜nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu๐Ÿ™โค asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest