AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 39
Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku mtoto mwenyewe hakuelewa nini kinamtokea, apo anataka kumpiga tena et hizo hasira tu za kumuona yupo na mimi, mi nikamshika zena nikamwambia muache mtoto unataka kumpiga nn sas, anaelewa nn sasa kuhusu sisi, zena akanmbia niache mjinga wewe kwani mwanao uyu , nikasema ndio mwanangu ,huwez kumpiga hivi mtoto et kisa matatizo yetu , ye anaelewa nn, apo ka ummy kamejificha nyuma yangu kabisaa kanalia , alivyokuja kunileta kwa mbwe mbwe ,angejua anayokuja kukutana nayo, ata asingenileta madkini ila ndo mtoto hakakuwa kanaeleaa kabisa maskini.aseee zena alikuwa na hasiraa na mimi ,yani ile live ,
Akanmbianaya nipe mwanangu na usepe apa, nikasema sawa ila nimekuja kukuona zena na nahitaji tuongeee, akanipandisha kisha akanishusha , akanambia unataka kuongea na mm kwa nn, we nani kwanza mjinga nn, ebu ondoka apa usinijazie mbu mm na usiharibie siku kabisa, na nipo busy na wateja, na mda uo uo akaw anafika rafiki yake shey akawa anaingia ndo akatukuta pale, basi ummy alivyomuona shey, akamkimbilia uku analia, anamwambia mma mkubwa mama kanipiga uku analia, shey akamuonua kisha akamwambia aya nyamaza sasa , shey akanisogelea akanambia millan vo mbona upo apa uhuu mda, nikasema nimekuja nataka kuongea na zena ila hataki kuongea na mimi kabisaa, shey akanmbia millan kwani mambo unayoyafanyaga uwa unasahau au inakuaje mbona nashindwa kukuelewa afande millan, kwani si mlishakubaliana kuwa utamuacha uyu na maisha yake leo imekujaa
Ebu acha kumsumbua zena na umuache, hujui amepitia mangapi tangu ameanzisha mahusiano na wewe, alafu millan hujawahi kujali ebu muache na maisha yake bwan, fujo za nn, nikasema saaa shey mm nimefanya fujo gani, kuja kutaka kuongea nae, nyie mnazani iko kiumbe akichobeba zena ndo kiataacha kuwa mwanangu ata nn kitokee ni mwanangu, zena akanmbia mwanao nani, wewe ntakupiga na flampeni la chapati mpumbavu nn ,tena usinitie hasira mimi mjinga wewe, au unaona nnavyojinyamazia kimya nakukaushia unaona nakuoogopa , mjinga nn ebu ondoka apa, daar ilikuwa aibu alafu kuna watu kibao pale, kuna mshikaji mmoja ,akaja akanmbia broo ebu nenda bwana hii sehemu ya biashara na wewe mwanaume hizi kelel sio sawa, awa watoto wakike, we tenga mdaa uwatafute uongeee nao ,mi nikasema powa kaka nimekupata, sikutaka maneno, nikaaanza kuondoka et, ummy kananikimbilia baba tuondoke wotee ,eeh nahisi shey ndo alimdaka ,naona nusu apigwe uko nyuma ,ila watoro bwana, ila sikuwa sawa ata kidogo, yani hakuna kitu kinatuumiza wanaume kama uachane n mwanamke kisha yule mwanamke, amove on na awe busy na maisha yake, na asikuoneshe anakuhitaji tenaa, oyaaa inauma kisenge, mi nishazoe wanawake kunipapalikia wote nnaozaa nao kama mama ahamed, ika uyu na mimba yake yupo busy anatafuta pesaa daah
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni