AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, si nakuuliza wewe, unanizoe mimi sanaa, hivi we unapata wapi nguvu ha kuja nyumbani kwangu na unakuja kuongea usenge usenge wako, we ni nani kwanza ,kwani inakuwaje , yani kuzaa na wewe ndo imekuaa shida we demu jau nini, mama ahmed akawa anacheka akasema loooh wewe ndo jau kwa unavyechezea wanawake mpka kesho, na utapata laana za wanawake waote unaowaliza mshamba wewe ,mtu mzima ovyoo unashindwa kutafuta wa kuoa unaanza kuangaika na wanawake leo uyu kesho yule, na kazi yako kuzalisha kama paka, lione kwanza , na utakufa na ukimwi msenge wewe,nikasema we mjinga acha upumbavu wako, na ulichokifanya leo kimeniuzi sana na kukuonesha hilo, kuanzia leo mimi wewe sikupi ata mia, wewe si una mdomo sana, sasa pambana na umuhudumie mwanao, mi sikupi ata 100 wewe si jeuri na unajua sana kuongea ,na sinunajua sana kutukana sasa ntakuonesha, sikungoja jibu lake upande wa pili nikakata simu
Nikaona uyu mama.ahmed namuendekeza sana wakati mi ndo namuweka mjini, namlea msenge uyu, namtumia pesa kinoma kuliko wanawake zangu wote nilozaa nao, alafu nikikosa pesa siku moja tu nikawa sijamtumia dooh, inakuwa shida anakuja mpaka nyumbani kwangu, na hana adabu akimkuta mtu anaanza kelele zake, sasa nikasema nitamkomesha maraya uyu, simuhudumii manina zake kisha ndo atanijua mimi ndo nani, basi bwana ,mi apo sijumtafuta ata zena nikatulia zangu tuli, nikajua ata kwa mda huu nikimtafuta hawezi kunielewa, mi nikatulia zangu nikawa nacheki movueee, na hiis iku bwana kulikuwa na npira wa simba na yanga taifa na teali nilishkuwa na tiket, nikachek.movue mpak saa 7 hivi, ibra akanipigia simu kuwa mda sasa tukachek games taifa, mana na yye alikata tiketi,
Basi kweli ,nikajiandaaa zangu, na mm ni mshabiki sana wa timu ya simba ila ibraa ni yanga, basi bwana niliponaliza kujiandaaa mwanaume nikachukua bodaaa, mana sikutaka kwenda na gari yangu sehemu zenye pilika pilika za wtu wengi hapana ,na ata ibraaa nilikutana nae taifaaa ,ndo tukaingia sasa iwanjani, tulikuwa vvip kabisa, na kwa uo mdaa game bado ilikuwa haijaanza mi nikamuhadithia ibraaa kuhusu balaaa lililotokea leo home juu ya zena na mama ahmad, ibraa akanmbia daah pole sana kaka so unaamuaje, nikasema.sasa mimi naamua nini, apo wa kuaamua ni zena, kama kamaind anatoa mimba ni sawa, akinambia anazaa pia ni sawa yani ipo hivyo mwanangu, ibraa akanmbia daaah mwanangu shida we hujawahi kujali moyo wa mtu, hivi humfikilii zena atakuwa kaumia kwa kiasi gani, sikia usiwe hivyo kaka, tukitoka kuangalia hii game twend kwa zena tukaongeee nae mm na wewe, na ikiwezekena muombe msamaha, aseeeee millan unajua yule mwanamke umemkuta bikraa, so haelewi kuhsu mapenzi ukute aya maumivu unayompa wewe ndo ukawa wa kwanza alafu unchukulia powaaa,
Nikasema sasa nifanyaje mwanangu, tatizo zena ananiganda sana, all times anataka kuwa na mm na ndo mana yote yanatokea, unazani angekuwa anatulia kwake yangetkea ayaaa ahaa, mambo mengine ata sielewei inakuajee, aibraa kaanmbia tulia tunachek games kisha tunaenda kuonana na zena kwake usiku sawa, mi nikasema sawa ,na apo sababu ya ibraaa, ila mi ningeuchuna tu ,mpaka siku ambayo zena angejisikia kunicheki, na mimi ndo ningemjibu na tungeongea, basi kweli tukachek game na mpaka saa 2 ikawa ishaisha ,na uzuri simba tulishinda bwana, nikawa namtania tania mwanangu ibraaa sana kuwa tumewachambisha ibra ananmbia nyie mmetuotea tu, basi nikacheka sana na itani sana, mi bwana ibraaaa ni rafiki yangu kwrli kweli, kwanza hakuna siri yangu ambayo haijuh au siri yake ambayo mimi siijuh yani,
Basi kweli tulivyotoka kwemye mpira sie moja kwa moja tukaenda kwa zena, basi tulivyofika nikakuta zena yupo na shoga ake yule shey, alafu zena hakuwa sawa kabisaa, nikajua kazi ipo apa, basi shey yeye ndo alitukalibisha ,zena alikuwa kalala tu katika sofaa, shey akasema karibuni jamani ,mana mwenye nyumba anajisikia vibaya hyupo sawa, na nilipomuangalia zena aniliona kavimba macho kwa kulia, nikaona doooh asa mambo madogo tu yale ndo analia hvi, asa akikutana na mambo yangu makubwa makubwa yale atayaweza uyu 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌, nikaona uyu ikiwezekana niacha kudate nae ,mana nikiendelea nae ntamuua kwa matukio yangu na presha bulee, basi ibraaa sasa akaomba kuongea na zena ,na kweli zena akakubali na ikainuka akaa kwenye sofaa, apo mie hataki ata kunitizama et , ndo ana hasira tena na mie, najari sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Basi mie nikatilia zangu kwa pembeni kwenye sofa ata presha sina, basi ibraa akamwambia ahaa shemeji si tumekuja apa ,kukutaka radhi na kumuombea msamaha mshikaji kwa yale yaliyotokea leo asubuh nyumbani kwake, mh uyo nnaeombewa msamaha sasa sula ata haioneshi kwamba nimekubali kosa na nataka kusamehewa , sula hairefect kabisaa yani, basi ibraa akasema shemeji msamahe jamaaa, ni mambo ya kawida tu ila angekueleza tu kuwa ana watoto teali, ila bado anamtegemea anayekuja pia ,na anamuhitaji sana, so fanya yaishee zena , mana hali yako haikutaki wewe uwe na hasira wala mawazo kabisaa, unaweza kupata shida uko mbelee, zena akasema kwaiyo shemu wewe ndo unamuongelea uyu kwani hana mdomo, uyu haoneshi kuwa anataka kuniomba mimi msamah, kiukweli now naanz kumuelewa vizuri millan ni mwanaume wa aina gani, millan ni muongoo shemeji, millan ni katiri na hajali, na hawezi kujali mwanamke uyuu, ni vile nilifanya haraka tu ya kuwa nae katika mahusiano, na nazani unamjua sana rafiki yako shemeji
Nikasema ooh sawa so unaamuajee, mana mi complain nakuaga sipendi kabisaaa, aya nambie wewe unaamua nn juu ya hili suala mi nikimchoka demu nakuwag na kiburi, zena akaningalia kisha akmwambia ibraa shemeji uyu ndo ulokuwa unamuombea msamaha, ibraa akabaki kimyaaa ,zena aksema sikia siwezi kutoa mimba mimi, sijawahi kufundishwa hivyo kabisaa, ntakubali kuwa nimepata hasara na nimealibikiwa kama ao wengine alowafanyia kama mimi, na ukawazalisha na kuwacha but kuanzia leo mimi na wewe basi, yani siitaki mahusiano ya mapenzi na wewe kabisaaaaaaa tena sitaki serious, nitalea mimba na nitaazaa sawa ,ila mahusiano na wewe sitaki, na alafu kuanzia leo sitaki huduma yako ata ya mia, mm natajua naishije na naendeshaje maisha yangu, ibraaa aksema no shemu mbona imefika mbali sana aya mambo yanaongeleka , mi nikasema ibraa ebu tulia bwana si kashaamua hivyo fresh, kma mahusiano yamevunjiaka ni sawa na kama hutaki ata 100 yanguu juu ya kuhudumia mtoto wangu pia ni saw ,but at the end of the day atabaki kuwa ni mtoto wa millan, so kama wewe umeona unajimudu na unaweza kuendesha maisha yako bila ya mimi ni sawa piaa, nikaona zena machozi yanamtoka kweli kweli naona alikuwa haamini, mi kubembeleza mwanmke sipendi kwanzaa, alafu mwanamke akijafanya anajiweza mi naaachana nae, nilozaa nao wananijua vizuri kichwa changu, hawaniletei jeuri za kijinga kama hizi, mi nakuachia mtoto kweli ukijifanya unajiweza
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni