Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
Gonga94 ยท Stories

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO.....

Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini

Tena zilionekana kabisa kuna mtu ameziangusha makusudi na kuzikanyaga kanyaga zikiwa bado mbichi, nyie katika siku ambayo nilichukia basi ni hii siku walah

Maana mimi sipendi kuzarauliwa na pia mimi sio mnyonge, na kitu ambacho hamkijui ni kwamba mimi bwana sipendi ile kazi ya kufanya harafu narudishwa nyuma yani sipendi kabisa hii tabia.

Sasa kitendo cha kukuta nguo ambazo nilikuwa nimezifua zikiwa chini tena zikiwa zimechafuka kilinikera sana, nikawa naomba mungu huyo mtu ambaye amefanya hivi ajulikane mapema

Kweli bana huyo mtu akawa amekuja hapo na sio mwingine bali ni yule mdada niliemuona pale seblen, yule dada alisogea mpaka nilipokuwa huku akicheka sana

" inauma eee..??"

Aliniuliza huku akinisogelea lilikuwa kosa kubwa sana kwake kunisogelea maana nilimchota mtama wa maana ๐Ÿ˜‚ msinishangae mimi hayo mambo nayaweza maana nimekulia kwenye familia ambayo ina madume watupu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Yani kule nyumbani kwetu Tanzania ni mimi pekee ndio mtoto wa kike lakini hao saba wote madume, na kibaya zaidi hao madume ni wakatili sana

Kabla sijaja Omani nilikuwa naonewa hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ japo nilikuwa mkubwa wao ila sikuwa naweza kupigana na mwanaume mimi, so kila nilipokuwa nawakosea basi nilichotwa mtama ๐Ÿ˜‚

Ikafika wakati na mimi nikaanza kuwachota mtama wale ambao wananizarau lakini pia kunionea, sasa huyu ndugu yenu ni kama ameviamsha vitu ambavyo vilikuwa vimelaka kwa muda mrefu sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Acha akome, yani sura nzuri ila roho sasa ๐Ÿ˜ binti ana roho mbaya huyu sijawahi ona aisee..

Yule mdada baada ya kumchota mtama nikakimbia na kwenda kupotelea kwenye nyasi, ๐Ÿ˜‚ sio kama nilikuwa naogopa hapana nilikuwa nampa funzo kuwa hata mimi hayo nayaweza vizuri tu mbona

"Mama weee, nakufa huku.."

Ni sauti za yule mdada ndio zilikuwa zinasikika baada ya kuangukia makalio na kibaya zaidi aliumbwa na sura nzuri ila kalio hola ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nacheka kama mazuri vile

Maana binti alikuwa hana kalio hata lile la bahati mbaya, sasa kitendo cha kuangukia makalio nahisi aliumia maana kulikuwa na mifupa tu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Mungu nifundishe kunyamaza mimi, ๐Ÿคซ nisije kuonekana muongo bure na huku naongea vitu vya ukweli kabisa, basi bwana kelele za yule binti ziliwatoa watu ndani

Wakatoka mpaka nje na kumkuta mdada anagalagala hapo chini yani kama ameumia sana na hawezi kusimama ๐Ÿฅบ, upande wangu nikabaki natazama mashetani ya Oman namna ambavyo yanakuwaga kumbe ndo yanakuwaga hivi ๐Ÿ˜

"Umekuwaje...??"

Madam alimuuliza huku akimsaidia kunyanyuka pale chini

"Mfanyakazi wako, oooh my God nitatoa wapi tena kalio zangu mie ..."

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yule mdada alikuwa analalamika kama vile aliumbwa na makalio makubwa, haki ya mama nilicheka sio poa, kitendo kilichowafanya watu wageuke sehem nilipokuwa nimejificha

"Mira huko kwenye nyasi unatafuta nini..??"

Madam aliniuliza huku akisogea mpaka nilipokuwa na kunishika mkono huku akinivuta kunitoa kwenye nyasi mie nacheka tu, tumbo linauma kwa kicheko

"Da Mira tuambie basi na sisi kinachokufanya ucheke hivyo.."

Swatii aliniambia, basi ndio akazidi kunifanya nicheke, wakazidi kuangalia mimi,..

"Yani nimepigwa hata kunisaidia hamna kweli.."

Alizungumza yule dada

"Kwani umefanyaje mbona hatuelewi ??, harafu unagalagala kama mtoto bwana.."

Anfrey aliongea

"Si huyu mfanyakazi wenu amenipiga.."

"Mmh we Ellice acha uongo bana, toka lini Milra akaanza kupiga watu..??"

Alizungumza madam akinitetea ndio nikajua yule mdada anaitwa Ellice, basi yule dada akaendelea kusisitiza kuwa nimempiga lakini hakuna aliyemuamini hata kidogo

"Mhhh Mira hizi nguo mbona zimekuwa hivi..??"

Swatii aliniuliza baada ya kuona nguo za mtoto zikiwa chini, nikageuka na kumtazama yule mdada nikamuona akiwa na hofu sana lakini pia alinisisitiza nisiseme

Yani kwenye vitu ambavyo sipendi kwenye maisha yangu, basi ni kuongea uongo, sinaga tabia ya kudanganya watu wakubwa hata kama huyo mtu awe amenikosea kiasi gani siwezi kumdanganya

Sasa huyu binti wa Oman ni kama anataka kuniona mimi matako yake kabisa na hajui nimetokea mkoa gani yeye ananiforce tu

"Kusema ukweli hizi nguo nilikiwa nimezifua il...."

Ellice akadakia

"Muongo muongo me siwezi nikafanya hivyo..??"

Yani ndugu yenu alijichanganya huku, sikuwa na nia ya kuwaambia maana nilimuonea huruma, sasa kitendo cha kudakia maongezi akawa ameharibu kila kitu..

"Ellice ni wewe ndie umefanya hivi..??"

Madame alimuuliza Ellice na siku hiii bwana madame aliweka uso wa serious sana mpaka nikabaki namshangaa huyu mama amekunywa konyangi au vipi??

"Aaah shangazi sijamaanisha hivyo.."

Ndio nikajua kumbe hawa watu wana undugu baada ya Ellice kumuita madam shangazi yake..

"Ila ulimaanisha nini, unajua Ellice acha kuniona mimi kama kijana mwenzio sawa, kwanza hiki kitendo ulichokifanya nilikishuhudia kwa macho yangu kabisa

Ukitoa nguo kwenye kamba na kuzitupa chini kisha ukazikanyaga kanyaga, haya niambie ulikuwa na maana gani kufanya hivi...??"

"Hapana shangazi, me sijafanya.."

Alijitetea

"Hujafanya sio??, tangulia chumbani nakuja.."

"Lakin....."

"Nimesema tangulia chumbani..."

Wakati yote yanaendelea Mira mimi nilikuwa naangalia tu na nisielewe eti, yani kwanini madam alipomwambia Ellice atangulie chumbani Ellice aliogopa sana

Nilikuwa najiuliza tu na nisielewe kinachoendelea kwa muda huo

"Mira.."

Madam alinifata na kunishika mikono yangu, huyu mama ananipenda sana mimi ๐Ÿฅฐ yani ananipenda sijui hata nielezeeje jamani maana dah ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ huyu mama ni mfano wa kuigwa

Eeeh mfano wa kuigwa kwa kujali watu, na sio kuigwa kwa kutelekeza watoto ogapa hii kitu.....

ITAENDELEA......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10



SONGA NAYO.....

Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini

Tena zilionekana kabisa kuna mtu ameziangusha makusudi na kuzikanyaga kanyaga zikiwa bado mbichi, nyie katika siku ambayo nilichukia basi ni hii siku walah

Maana mimi sipendi kuzarauliwa na pia mimi sio mnyonge, na kitu ambacho hamkijui ni kwamba mimi bwana sipendi ile kazi ya kufanya harafu narudishwa nyuma yani sipendi kabisa hii tabia.

Sasa kitendo cha kukuta nguo ambazo nilikuwa nimezifua zikiwa chini tena zikiwa zimechafuka kilinikera sana, nikawa naomba mungu huyo mtu ambaye amefanya hivi...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miranda-binti-yangu-sehemu-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miranda-binti-yangu-sehemu-ya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

1.01K
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

236
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

206
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

197
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

196
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

148
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

147
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

138
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest