Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
Gonga94 · Stories

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mwandishi; lissa wa huru media

Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia maupumbavu yangu. Nikakusha kimya na yeye wala hakuniiuliza . Basi mama akanichukua akanipeleka beach. Nikalerax sana . Tukaongea mambo mengi n mama .alinishauri tu niachane na baraka niangalie maisha yangu tu. Mana ata baraka haoneshi kama ana nia ya dhati na mimi. Basi nikamuelewa tu mama japo kiuchungu. Mana baraka alikuwa ndani ya damu yangu jamani .acheni kabisaaaaaa. Basi tulipotoka beach tukapitia kariakoo mama akaninunulia simu kubwa nzuri tu ya laki 3. Akanmbia aya sasa nakupa uhuru wa kutumia simu. Urefresh akiri yako. Aseee nikafurahi sana mama. Mana nilimisi kuperuzi mitandaoni sana.

Basi jioni kabisa ndo tukaludi nyumbani. Nikiwa na rahaa tu na akiri ilishakaa sawa. Na kuanzia apo ndo ikabidi tu maisha yaendeelee mana barka alishaamue aangalie mipango yake. Na mie nikaona nifanye maisha yangu tu. Basi mda ukaenda na baada ya mwezi nikapata cheti changu na mzee akanipeleka sinza kwenye chuo cha urembo. Apo nilikuwa najifunza kupaka make up. Kupamba maharusi. Kudesign mishono. Kusuka na kupamba maukumbi. Yani vitu vingi kweli kweli. Na ada ilikuw ni milion moja kwa mwaka. Na mzee ndo alikuwa ananilipia . Apo mzeee hakuwahi kabisa kuniiuliza upumbavu wangu na baraka . Alikuwa kimya na issue zake

Basi nikaanza kujifunza urembo sasa. Naenda asubuh na ludi jioni. Na uko ile kujichanganga nikapta marafiki wengi tu. Yani nilichanganyika na watu.nikawa niko sawa sasa. Na taratibu ata yale mawazo juu ya barka yakawa yanapungua nikawa busy na maisha yangu tu. Basi siku iyo sasa mapema asubuh nimeamka nikajiandaa kwa ajili ya kuelekea chuoni. Basi ile nimetoka nyumbani nimepiga kama hatua 3 hivi. Eeeh si naona nashikwa mkono. Nageuka hivi namuona adrian. Nyie uyu kaka anajua kufosi jamani. Nikasema we vp akanmbia plsss mama ebu panda kwenye gari tuongeee. Hivi kweli nakufata leo mala ya ngapi. Shakira ujue nakuhitaji sana.nakuhitaji kuliko lolote mwenzako. Naomba tuongeee plsss. Nikamuangalia sana .nikaona ebu nimsikilize. Basi kweli nikaingia katika gari lake. Akaniuliza unaelekea wapi shakira. Nikasema.sinza. akanmbia sawa. Basi akaanza kudrive kunipeleka chuo. Njiani akawa ananibembeleza sana et nimsamehee. Akanmbia sikia shakira we unaelewa sana ni kwa kiasi gani mimi nakupenda sana . Ila ile siku ingekuwa kesi mbele ya wazazi ningeeleza nini mimi na wewe inajulikana ni mwanafunzi. Nisingeweza kueleza hilo plssss mama naomba uelewe hili suala. Nakupenda sana shakira naomba tuendeleee na uzuri now umeshamaliza shule ntakuwa freee

Mimi ntakuja kwenu ntaomba radhi wazazi . Nitaleta barua na ntakuoa nakupenda sana kipenzi. Mh mwanaume alitia swaga mpaka nikalegea. Nikaona mh kama vp ngoja tu nimsamehe adrian .na niwe nae mana kwa jinsi alivyokuwa ananifatilia nikaona bola niwe na uyu baba.niachane na uyo mpumbavu anayetaka kuwa mwanajeshi

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30



Mwandishi; lissa wa huru media

Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia maupumbavu yangu. Nikakusha kimya na yeye wala hakuniiuliza . Basi mama akanichukua akanipeleka beach. Nikalerax sana . Tukaongea mambo mengi n mama .alinishauri tu niachane na baraka niangalie maisha yangu tu. Mana ata baraka haoneshi kama ana nia ya dhati na mimi. Basi nikamuelewa tu mama japo kiuchungu. Mana baraka alikuwa ndani ya damu yangu jamani .acheni kabisaaaaaa. Basi tulipotoka beach tukapitia kariakoo mama akaninunulia simu kubwa nzuri tu ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-30

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sasa-nakupenda-sehemu-ya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

1K
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

231
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

201
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

196
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

147
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

145
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

132
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine

10

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest