Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila wewe nashindwa. Unazani mi napenda kusaliti ndoa. Hapana faridah. Nashindwa kila nnaposikia habari zake. Nashindwa nnapokuona .naomba sana tusifatishe wazazi. Na naomba sana usitoe mimba yani ukitoa mimba yangu faridah .sijuh ntakufanya nn. Na safari hiii mimi wala sitakusamehe . Mh mimi nikawa nalia mana ata mimi bwana namtaka na nampenda sana tu. Ila sasa mazingira ni magumu . Nikawa nalia. Mlige akanambia kuwa makini na ujauzito wangu. Lia unavyitaka ila ikitoka iyo mimba utanibeba nakwambia. Kisha uyoo akafungua mlango akaondoka ndo na mama anaingia chumbani kwangu.

Mama akanmbia yani nakwambiaje uyo mlige wako ntampeleka polisi na ntampigia bab yako kumuelezea uhu uchafu wako mjinga ww. Mie nikawa nalia tu. Heee nashika simu nakuta matusi jamani ni yanatoka kwa mama mlige na kwa yusta . Mbona nilikoma mimi. Yani sikuwa swa kabisaaa. Nikazima na simu tu. Basi zikapita siku 3 sijawasha simu na mama kaninunia. Na hizo siku 3 zote ambazo sipatikani mlige anakuja nyumbani anaingia kinguvu . Et anakuja kuniona.yani hajali kuhusu watu kabisa. Mi mpaaka nikawa namkattaza kwamba sio sawa. Hataki kunielewa .namjua nikajua apa anapelekwa na hasira na ujeuri wake. Basi ndo ikawa hivyo. Siku iyo kaja nakwambia mama yangu kamwambia ondkka usingiiee kwa farida. Loooh kama hamsikii kaingia chumbni kwangu. Kisha kafunga mlango. Mie nilikuw nimelala.mpaka nimeamka. Namsikia mama ana bwata kweli kwi. Mlige akatoa simu akanipa. Akanmbia mi siwez kulala sijajua hali yako na ya mtoto wangu tumboni. So chukua hii simu nishaweka na laini kila kitu . Tutakuwa tunawasiliana umo. Mie nikasema sawa . Hakukaaa sana akaondoka. Nyieee mlige jeuri.sijapata kuona

Basi ayo ndo yakawa maisha yangu. Sijuh yusta akiamua kuja kutukan kwetu na mama yake . Sie tunafunga mlango ndani. Watachamba apo kwrli kweli. Et wanamuita mama yangu mwanga. Na mie mwanag tunamloga mligee. Basi mama analia tu. Mie nabaki kimya ata cha kufanya sina. Ata road nikawa siendi mana habari ni zangu tu. Mh sikuwa naenda kabisaa. Basi apo mlige yeye ananipigia simu tunaongea .japo sina raha nae sasa. Na pesa ananitumia na kashanambia . Jiwazishe jilize. Jione una matatizo sana. Ila iyo mimba ikitoka utanibeba. Mi nafanyaje sasa. Basi napambana na tumbo languu. Mpaka matusi nikawa nishazoea sasa. Nikalea mimba mpak ikafika miez 7 . Apo mlige anatka mpaka tuonane hatki kuelewa. Ni mm ndo namkatalia nilimwambia tu tuzae na tuleee basi . Ila aendelee na mkeo. Mlige wala hakunijibu. Ila siku akiamua kuja hakuna cha kuomba ruksa wala nn. Anakuja. Na yusta akaacha kuja kunifanyia fujo nyumbani sijuh alimpiga mikwara ataa sielew

Basi ikawa hivyo yani. Mi nikawa nalea sasa tumbo lake. Yani ni ndani tu . Nikienda road kwa emergency sanaa. Basi siku iyo nipo nyumbani. Mlige kaja. Mh ana ata kusema.nakuja uyu baba. Mama yangu akawa ata salamu za mlige hataki. Ila mlige hajali . Mi.nikainua nikaingia chumbani na yye akaja . Nikakaa kitandani. Nikamuuliza vp mbona leo sahizi. Mana kaja usiku. Akanmbia ahaaaa mi najisikia kulala na wewe leo. Mh uyu baba mbona ana shida lakini. Nikamuuliza wewe una nn . Huoni kama tunaandamwa na tuna majanga mlige . Ebu nenda bwana..ahaaa mi apa hunitoi yani siondoki . Kma hutaki nilale apa jiandae tukalale njeee. Khaaaa . Na mtumbo wa miez 7 . Anataka kunisumbua. Nikamwambia we huoni hali yangu mlige . Mi sitaki presha now ebu niache nipumzike. Akanambia sawa kwani mi naenda kukuchosha noo . Mi nimekumisss nataka tukalale wote . Nataka kusikia joto la mwanangu. Mh nikamwambia hapana mama hataniruhusu. Mh basi akanambia swa et kanikalisha hataki kuondoka .nyoeee uyu baba

Mi nikamwambia ondoka kwako bwana. Et usinipagie bwana. Basi kajikalisha mpka saa 7 mama ndo kaja kumfukuza ndo kalizika🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌. Et aya bwana naondoka watu washaanza kunifukuza. Mpaka nikawa nacheka. Ndo uyoo anaondoka. Ndo ikawa hivyo . Siku anakuja ndani anajifungia mpaka saa 8 za usiku. Mpaka afukuzwe na mama. Ndo ananiaga anaondoka. Siku iyo nipo na mama . Mama akawa ananingalia sana. Mpaka nikawa najistukia mama akaniuliza we yule baba umempa nini kwani. Mie kimya. Mama aknmbia au umemroga kweli mlige ww. Mbona unampelekesha yule baba eeeh. Mie nikasema jamni mam hadi wewe unaona mie mchawi . Sijamfanya kitu. Mama akasema hapana sio kwa kukupenda uku. Ata kama ndo tuseme we mtoto mdogo mbichi. Mbona yusta nae mbichi. Khaaa . Mi akij ap namfukuza nakwambia sitaki mabaalaa. Mie nikajinyamazia . Kwanza uyo mlige mwenyewe mnazani anakubali kufukuzika bila ya kuniona sio kweli.

Basi mie nikalea mimba mpaka miez 8. Apo nikimuona yust namkwepa naogopa kupigwa shoga yenu. Siju iyo sasa ilikuwa ni mida ya mchana . Rahul ametoka shule . Akanisalimia nikamuitikia. Akambia mama mi sitaki ugali leo nataka chipsi kuku lleo na mayai. Loooh . Nikamwambia koma usinihalibie bajeti zangu . Ugaki ule bibi kakufunikia .et sitaki mimi mama mwambi baba elly anitumie hela. Nikamwmabia nyoooi ukome kushobka na mababa wa wenzio. Toka apaa. Akanuna akajibanza pembezoni mwa mlango et kanuna.. ila nikajisikia vibaya na pesa nnayo . Kwa nn mwanagu asile alichokitaka. Nikamwambia aya nyanyuka twendeee ukale unachokitaka. Mjinga wewe. Ndo iwe mwisho leo kunipangia cha kukila. Basi mwanangu akafurahi mnooo nakwambia . Akakenua uyoooo

Bibi mie nikainuka. Kujikokota tu. Mana mtumbo ule kule. Basi nikamshika mwanagu tukaend mpka wanapouza chipsi bala balani kabisa. Akagiza anachokitaka nkwambia. Namwambia vizur yule muuza chipss. Eka mayai mengi umo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 mama yangu atalipa. Nyiee uyu mwarabu koko ana visaa. Aseeee tupo pale tunasubir chips nikastuka nnaitwa na sauti ambayo naijua vizuri sana. Nikageuka haraka nyieeeee nilistuka ssna namuona zayd pale . Mh nikamshika mwanangu mkono vizur haraka. Zayd akanambia woow una mimba sasa. Umependeza sana . Umekuwa mrembo kweli kweli na mimba imekupenda. Nikasema we zayd unataka nn . Ebu achana na mimi. Akanmbia unazani nimekufat wwewr. Nooo . Nimefata damu yangu ya kiarabu. Huwa haiendi mbali kabisaa. Nipe mwanangu we uendelee kufanya umaraya wako . Weeeee . Nikamwambia mpumbavu ww. Ukitaka kumchukua uyu mtoto labda kwanza mm nife ndo ntakupa uyu. Yani kwanza niue mm. Kisha nakupa mwanangu. Weeeee namjua michezo yake uyu . Akanihalibie mtoto thubutu

Weee akaanza kunivutaaa . Et amchukue mwanagu nilimbana rahuli. Yani nilisema uyu laba atoke na mkono. Ila mwili ni wangu. Rahul akawa analia si anaumia tunamvuta . Aseeee hana ata huruma. Anamvuta tu mtoto. Mi naona mwanagu anakia anambia mma mkono ananitoa naumia mama. Weee alfu mwanangu alivunjika mkono mi nikamuachia nakwambi. Uku nalia pale. Akamvuta upnde wake mtoto akanmbia hautkaaa ukamuona mwanangu tena. Naondoka nae uyu. Nikajua uyu ataenda kumfanua shiga mwananagu. Ile anataka kugeuka. Mh kakutana na mligeee. Nyieeeee mlige akamuuliza uyu mtoto unampeleka wapi zayd?

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117


Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila wewe nashindwa. Unazani mi napenda kusaliti ndoa. Hapana faridah. Nashindwa kila nnaposikia habari zake. Nashindwa nnapokuona .naomba sana tusifatishe wazazi. Na naomba sana usitoe mimba yani ukitoa mimba yangu faridah .sijuh ntakufanya nn. Na safari hiii mimi wala sitakusamehe . Mh mimi nikawa nalia mana ata mimi bwana namtaka na nampenda sana tu. Ila sasa mazingira ni magumu . Nikawa nalia. Mlige akanambia kuwa makini na ujauzito wangu. Lia unavyitaka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-116-na-117

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.19K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.14K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

488
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

242
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

77
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

30
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

4
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest