SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Mwandishi; lissa wa huru media
Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu jana umekuja nyumbani una maneno maneno sana mpumbavu ww. Unazani uyo kaka yako mimi namtaka sana ama. Sina shida nae wala sina haja nae. Maua akasema et sina shida nae. Mbona ile siku alikushushua akasema hakutaki. Sasa hakutaki kweli umemnyanyasa sana wewe na mama yako. Umesimia kaka yangu ana maisha now unaleta shobo iloo. Aseeeee nilitamni nimlukie uyu dada yani ilibaki kidogo sana .ila nikajikaza tu. Nikakaushaa nikaamua kuondoka zangu. Nikamuacha anaongea. Aseee uyu maua nae ni chizi kama mie. Kama uyu ndo angekuja kukaa kwetu tungekuwa tunalushana ngumi kweli kweli.
Aseee nikafika saloon nna hasira mpaka natetemeka yani. Gile akaniuliza vp shoga.mbona asubih umepita vizur .kisha umeludi hivi imekuwaje kwani.umegombana na adrian.nikasema hapana yani yule mdada yule nimepita nae asubuh anaitwa maua.ni ndugu yake na baraka. Aseee amenijibu vibaya sana. Ikabidi nimsimulie vizuri sasa gile. Gile akanituliza akanambia tulia na upunguze presha kipenzi. Yani tuliza presha kabisa. Nikasema sawa na kweli nikatulia tu. Ila nilikuwa nna hasira sana na maua basi tu. Nikafanya kazi zangu na jioni sana ndo nikaludi home. Basi baba aliomba kuongea na mimi sasa. Nikasema sawa nikaenda kumsikiliza baba ynagu anasemaje
Basi nikatoka sebleni nikakaa na baba. Baba akanmbia shakira mtoto wangu unajua nakupenda sana mwanangu. Nikasema ndio baba naelewa. Akasema sasa naelewa sana kuwa una chembe za kumpenda baraka. Najua na naelewa . Sielewi aya mahusiano yenu mliyaanzishaje wewe na baraka na sijuh mlikubakina vp ww na mwenzio.nyinyi kuwa ndugu wala kwangu sio jambo kubwa .sababu kidini baraka anaruhusiwa kukuoa ww. Na sijuh nini kimetokea ama baraka labda aliona ww humfahi kuwa mkewe yani sijih alipima kwa kutumia nini. Au inawezekana uliyomtendea. Si unaelewa jinsi ambavyo mwanzo ulikuwa unaishi nae. Nikasema ndio baba. Akasema basi uwenda pia aliyajaza. Ila naomba ukubali aya yanayoendelea na achana na baraka kabisa. Fanya maisha yako. Nikasema naelewa baba na nitafanya hivyo.
Akasema baraka kesho anaenda kuolewa na kka yake mtoto wa baba mdogo bakari. Na mimi.ni mjomba wake lazima nikauzulie .na tufanikishe hilo. Siwezi kuingia kattika chuki zenu. Na siwez kumchukia baraka kwa chochote kile. Nikasema naelewa baba. Wala usijali kabisa. Nyie nendeni tu. Na tupo pamoja baba. Bba akasema ata siku ukimuona barka anaomba ubwage moyo wko na ufanye maisha yako. Na wewe tafuta mwenzio mkikubalina mlete nyumbani mufate utaratibu sawa. Nikasema.sawa baba. Basi baba akanambia ni ayo tu mrembo wangu kama.tumeelewana nashukuru. Nikasema sawa baba .nikaendelea na ratiba zangu nyengine.
Na kweli kesho yake baba na mma walienda uko shughurini. Mana ndoa ilifanyika gongo la mboto kwa mjomba bakari.na walienda kumuoa uyo bahati kibiti. Mi wala sikuumia sana.niliamua tu kujishukulia mana kwanza kwa ile familia hapna.. nikaenda zangu saloon tu. Basi nikiwa busy na kazi zangu. Mama akanichek watssap. Aksema shoga uyo baraka ata ajuhi kuchagua iko kibahati kabaya mweee. Nilijikuta nimecheka kwa sauti wallah. Yani mama mgomvi. Yani yupo kwenye sherehe anafanya umbea. Basi mama akanitumia picha ya bibi harusi. Loooh asa uyo maua alikuwa anajifanya kumsifia wifi yake kwa kipi. Yani baada ya weupe hana la ziada kabisaaaa.mbovu puuuh. Yani mbaya ni vile weupe umembeba tu. Aseee
Nikajikuta nimecheka kweli. Ata roho haikuniuma mwanamke mwenyewe sijaona ata alichonizidi puuh.basi nikawa busy na wateja wangu. Aseeee niivyoludi nyumbani sasa. Nilivyokutana na mama. Weee mama alimnanga uyo bi harusi jamani. Ananza kunambia yani mbaya. Mala hana matako .mala mbaya .mala hakufikii mwanagu .mala chefuu tu. Mh mama nae ana wivu uyu.nikabaki nacheka kweli kweli mimi.mpaka baba ndo akaingilia akasema acheni wivu ndo ata kama mbaya ndo kaolewa sasa. Mh ndo atushushue sasa baba. Mama akasema aoe tu. Mwanamke mwenyewe mbaya kwendeni uko. Nikawa nacheka kweli kweli mama nae. Baba akasema mh ebu ninyamaze baraka nae. Ndo nini kile lakini. Apo ndo nilicheka zaidi. Yani nilicheka mpak mzee kaongea.baba akasema kweli katika aya maisha usililie uzuri lilia bahati. Mwanagu bahati huna. Nikasema baba nnayo we ngoja ntakuletea mkwe pedesheee apa hautaamini. Baba akabaki kucheka tu. Na mie nikaingia chumbani kwangu. Ila kama binadamu moyo lazima uume ujue. Kwli niliamini maneno ya baba. Usililie uzuri lilia bahati. Mh nikaona aya bwana baba ndo kashaoa na mie nafanyaje acha maisha yaende sasa mpaka mwanaume kashaoa atakuwa wangu tena wala sio kweli.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni