Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 44 kwa 45
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 44 kwa 45

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Sehemu ya 44
Mwandishi; lissa wa huru media
Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake na hausiki nayo. Mh kazi ipo. Aisha wala hakuona aibu akainama akaziokota zile pesa zote . Akanambia twende shoga tuatajua tunafanya nini tukifika nyumbani.Basi shoga akaanikokota tu mpka stand. tukapanda gali la mbagala. Na tulivyofika mbagala tukapanda gari mpka kwetu saku. Aseeee sikuwa sawa kabisa . Yani nilikuwa na mawazo sana.na chengine kilichoniumiza ile kumkuta hamadi ana mwanamke mwengine.nikawa na waza yani mda uhuu mchache tu awe ameshapata mwanamke hapana itakuwa alikuwa anacheat.mbona mapema sana jamani. Nilijikuta ata sijielewi mpka machozi yakawa yananitoka sasa. Aisha akaniuliza unalia .aah shamira usiniangushe bwana usilie. Wewe ni mwanamke shipavu unayejua kupamabania changamoto zako plsss acha
Nikasema aisha yule ni mwanamke wake eeeh. ni mwanamke wake si ndio. Yani nilishachanganikiwa nafanya kumuuliza aisha wakati nilikuwa nae na hana analolijua ata. Akasema tulia kwanza nini bwana unataka kujipandisha mapresha shamira. Nikasema plssss kwanini anikatae vile ina maana anaona mimi nambambikia mtoto. Aisha si unaelewa kuwa sijawahi kutembea na mwanaume mwengine tangu niende kwake si unajua aisha. Akasema ndio naelewa tulia basi.nikasema sasa kwa nini anakataa mimba na wakati allinambia anataka tuzae. Kwa nini ananisusia sasa. Nauliza kwa nini mimi ntaishije mwenyewe jamani. Nililia hii siku kwa uchungu mkubwa na aswa wivu ilinikaba mno.ile kumuona ana mwanamke mzuri ndo alinivuruga mimi wallah .mh nikaona kabisa nitakuwa chizi
Basi aisha alinisogelea akanikumbatia akanambia tulia achana nae yule. Mshamba tu alafu shamira ww ni mzuri kama kaondoka yye wewe utapata mwengime na maisha yataenda shida nini acha kulia bwana.nikasema lakini mimi nampemda sana hamadi yani sana .namuhitaji mno asa katika iki kipindi. Aisha akanmbia upo na mimi achana nae bwana na asikupe mapresha ata.
Basi ilikuwa ngumu kumuelewa aisha .kuhusu hamadi. Mana nampemda sana uyu mwanaume.basi akanibembeleza sana shoga yangu mpka nikalala kabisa
Nikaja kustuka mchana mchana hivi nakuta shoga kapika ugari na dagaa . Nikavuta chakura nikala vizur mana njaa iΔΊikuwa inanuma sna. Nilivyomaliza kula nikaenda kuoga kisha nikaludi kitandani nikasema napumzika akanmbia powa shoga yangu lala kidogo na pole kwa majanga.nikasema ya dunianai ayo wala usijali. akanambia sawa
Basi niliamka usiku sana .nikawa chumbani peke yangu nikajua aisha kaenda dukani kwake. Mana ile pesa nilimpaga milioni tatu aisha alifungua fremu na akaweka vipodozi vya wadada na rosheni na chupi na taiti.yani urembo wa wanawake ule. Basi bwana nikavuta simu nikajalibu kupiga namba ya hamadi ikawa haipatikani bado.nikabaki nimechoka nawaza sana .nafanyaje na hii mimba mimi. Niliwaza mno ila sikufikilia kutoa kabisa. Mana maremu shangazi alishawahi kunambia usije ukajalibu kutoa mimba ata siku moja. Nikawa za au nizae na mtoto akishakua namwambia baba yako alikukataa au vp 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 45
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Niliwaza sana .na mawazo yalikuwa mengi sana .ila nikawaza nikasema mimi shamira siwezi kushindwa na maisha mpka nikashindwa kumuhudumia mtoto. Nikaona lakini pia nimezingua ndo mana hamadi kachukia sana na kawa mkari sana kwangu. Ila ninaweza nikaenda tena nikaongee na hamadi vizuri alielewe ili suala jamani mh. Mimi sikuuwa nataka kabisa kuwa single mother jamani. Basi nikiwa pale nawanza mno aisha akanipigia simu. Akasema shost nataka nikununuliee chipsi nikubebee chipsi yai au kavu.akasema leta kavu tu na soda akasema sawa shost
Basi kweli akaniletea ila sikuwa sawa kabisa. Sio kwamba nilikuwa najisikia kichefu hapana .ila mawazo yalikuwa .engi sana kichwani nilikula kidogo sana. Sikuwa sawa kabisa. Aisha akasema shamira ebu kula basi. Unamuwazia mwanaume kiasi iko na alivyonichamaba mimi ata hamu naye sina. Ahaaa kajua kutuumbua yule kaka jamani. Alafu kwa nini ulikuwa hufuti sms shamira.mpaka naonekana mnafiki pale. nikasema aisha kwa sasa sitaki lawama. Naomba nipumzike niliona anaichanganya tu. Nikapanda kitandani nikawa navuata usingizi. Aseee nilipata usingizi kwa shida sana. Mawazo jamani kila nikimuwaza mwanaume nahisi kuumwa mimi. Nawaza nakuwaa single mama mimi daaah. Basi mawazo yalikuwa mengi mpka nikapitiwa na usingizi na sikujua ata nimelela saaa ngapi mimi.

Asubuh niliamka nimechoka mno.ila kidogo akri ilitulia nilienda kuoga nikaludi chumbani. Nikakuta aisha nae kashaamka anaaandaa chai. Akanmbia vp shoga yangu wa kuteswa na mapenzi unaendeleaje.nikatabasamu tu .nikasema wewe tena mimi nipo powa kidogo leo. Aisha akanambia aya ebu njoo kwanza apa tuongeee kitu. Badi nikasogea nikaaa kwenye sofa .nikasema aya nipe mchapo shoga nakusikiliza.akanambia kwanza naomba ujikaze shamira. Wewe ni mwanamke usiwe unalia lia bwana. Tuna biashara teali na umenipa msingi ile ni biashara yetu hatuwezi kushindwa kuendesha maisha yetu. plssss ebu acha kuwaza na kujikondea .halafu kitu kengine mwanaume ameshakataaa mimba na hii mimba ni ndogo shamira kwa nini usiitoe hii mimba. Mh moyo wangu ulifanya paaah. Kutoa tena kisa nini kwanza

Nikasema wewe aisha mbona umefika mbali sana sijaplan kutoa mimba ata kidogo. Kwa nini nitoe .akasema sikia kwiyo unataka kuwa single mama. Mana mwanaume kama ulivyomuona katuchamba atari na kasema hakutaki na kashapata mwanamke. Unazani ataa atamuwaza uyo mtoto. Ebu utazeeka shamira toa mimba tuludi sokoni maisha yaendelee. Na mimba kama iyo kuna mwanaume atakutamani sasa. Acha ushamba bwana katoe. Nikasema aisha mimi mimba sitoi kabisa na sina mpango wa kutoa mimba. Akasema unaogopa nini mimba changa iyo . Mimi apa nimeshatoa mimba 3 na mbona sijafa na nalipa sina mpango .na labda nikwambie shamira kuzaa sio kazi .ila kazi kulea mzigo utaweza kuulea mtoto. Nikasema niweze ama nisiweze mimba sitoi shoga yangu. Na ata kama kakataa sio mbaya kanipa zawadi ya mimba nitalea mwenyewe. Mwisho napaga mtoto wangu atanilea baadae ila kutoa mimba hapana


Ayaaa mzigoooo uoooo njoooni tuendleeeeeeeeee mambo ji motroooooooòoo❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 44 kwa 45

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Sehemu ya 44
Mwandishi; lissa wa huru media
Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake na hausiki nayo. Mh kazi ipo. Aisha wala hakuona aibu akainama akaziokota zile pesa zote . Akanambia twende shoga tuatajua tunafanya nini tukifika nyumbani.Basi shoga akaanikokota tu mpka stand. tukapanda gali la mbagala. Na tulivyofika mbagala tukapanda gari mpka kwetu saku. Aseeee sikuwa sawa kabisa . Yani nilikuwa na mawazo sana.na chengine kilichoniumiza ile kumkuta hamadi ana mwanamke mwengine.nikawa na waza yani mda uhuu mchache tu awe ameshapata mwanamke hapana...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-44-kwa-45

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

1.09K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

1.04K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

164
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

160
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

152
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

41
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

40
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

34

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.71K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu πŸ”₯) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest