SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ
Mwandishi; lissa wa huru media
Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda sana. Na mm nakupenda sana. Na mimi na wewe wote tunahitajiana plsssss mama yangu naomba tuwe pamoja nakupenda sana. Nilibaki kimya ,mbele ya wazazi daaah . Mama mdogo sasa yani mke wa baba mdogo bakari. Akasema baraka lakini utamjengea mazingira mbaya shakira. Si tutaonekana kama familia tumemkataa mkeo ilo ww umuoe shakira. Huoni shakira atakuwa na hali mbaya. Baraka akasema shangazi hapana sijali chochote nimeamua kufanya ayo maamuzi magum u kwa ajili ya furaha yangu. Lakini pia nitamtesa sana bahati.sababu moyoni amejaaa shakira
Aseeeee baba angu alibaki kimya anatuanglia tu pale. Aseeeee nikana kwan sh ngapi . Mbona ata mimi nampenda sana . Niliinuka nikamkumbatia kwa nguvu. Uku na mimi nalia. na yeye analia. Aseeee wazazi walibaki wanatushangaaa tu aseeeeee. Baba mdogo akasema aya brooo una la kusema. Baba akaseema nalitoa wapi sasa mimi .Basi baraka akaninyamazisha pale.mpaka mimi.nikatulia tena mble ya wazazi . Aseeeee baba akasema nendeni chumbani mkayaweke sawa. Nikaona mzeee kalegea tu. Basi kweli mimi na baraka tukai ngia ndani. Akanisogeza mpaka kitandani. Akaningalia sana. Eeeh akanidaka mdomo tukaanza kukisss. Aseeeee sikujivunga tena mana ata mimi.nampenda mbona. Tukakisss kweli.kweli. yani mimi nilimshikilia t shirt kama vile anaondoka. Tlikissss kweli kweli. Tulipolizima sasa. Ndo akaniacha. Tukaaanza kuangaliana. Akawa ananaangalia aliponiumiza .akanmbia samahani. Sitkaaa nikakupiga tena ata ukinikosea vp. Na kwa kile kipigo.nilisema uyu simchokozi ten
Nikamwambi lakini barka mimi naogopa dada yako maua hatanipenda mm. Baraka akasema kwani anakuoa maua .nakuoa mimi na nakutaka mimi.na wewe utaishi na mimi.nimasema jee ikatokea ukampata mwengine unampemda zaidi yangu si na mimi utaniacha. Akasema hapana siwezi . Nakupenda sana shakira .huelewi tu . Hujui nimepata tabu gani uko jeshini. Shakira nilioa kwa hasira tu. Nilihisi kwangu utakuwa mwanamke mbaya. Nikajua labda hautaishi vizuri na ndugu zangu. Ila nimeshindwa mama. Vyovyote na iwe tu . Najitesa na nilikuwa namtesa na bahati na ndo mana nimemuacham plssss shakira nakupenda sana. Aseeee nilojikuta nalia tu. Aseeeeee nikamkumbatia .nikasema.a lakini baraka ww ndo ulinikataaa mimi. Baraka akaniziba mdomo. Akasema inatosha mama. Nakuoa . Aseeeee tulikaaa sana ndani .mpaka mama ndo akaja kutugongea sasa. Nikatoka mimi. Mama akasema chak ura teali. Nikasema sawa. Nikaludi ndani .nikamwambia baraka tukale. Akasema.sijisikii kabisa. Nimksema ebu twende bwana.basi tukatoka tumeshikana mikono. Tukaenda mezani. Mama ndo alitenga chakura tukaanza kula tukiwa kimya kabisa
Baba akasema baraka kesho leta barua . Kesho kutwa njooo uoe.mtaoana kimya kimya hakuna sherehe.baraka akasema sawa. Basi ikawa imepita hivyo. Na baada ya chakura barka akaniaga anaondoka kwake.nikasema sawa. Na baba mdogo na mamamdogo wakaondoka. Ila sasa baba akamiuliza unampenda baraka au amekushawishi. Nilasema nampemda . Baba akasema kwaiyo na kukupiga kote kule unampenda eeeh. Nikasema ndio baba hanipigi tena.baba akasema ngoja nikupe unachotaka. Lisije likatokea la kutokea ukasema baba ndo kanisabababishia ayaaaaa. Wala sitako lawama mimi.
Nikabaki kimya. Basi hii siku jamni nilikesha naongea na baraka tu. Alikuwa ananielezea jinsi ananipenda.nyie nikasahau kama nimepigwa. Aseeeee akanmbia shakira mimi bila ya ww nakufa. Nakwambia nakufa.nakupenda sana. Aseeee we ndo kila kitu kwangu. Wewe ndo maisha yangu. Aseeee nilisifiwa jamani. Nilisifiwa mno. Yani usiku mzima tu mwanaume ananmbia maneno mazuri nilibaki kucheka tu. Aknmbia natamani nikuoe kesho uko kesho kutwa mimi naonaa mbali nabaki kucheka tu. Nyie maisha aya acheni. Nikamuuliza kwaiyo bahati yuko wapi. Akanmbia bahati ameludi kwao kiibiti mana kashampa taraka. Nikasema lakini umekosea. Akasema shida unajua nini. Bahati ni rafiki wa dada. Na ata kukutana na bahati mimi nilimjua kupitia dada maua. Na ata kumuoa ni bahati na dada maua ndo walifosi. Nikaoa nikizani ntaweza kukuacha. Na nilikuwa na hasira bado za huko nyumba.ila nimeshindwa na nisamehe kwa yote niliyokuwa nakujibu uko nyuma.ila kitu cha pekee unachotakiwa kujua ni kwamba barka anakupenda sana.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni