Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae mpumbavu uyu. Basi alipofika akasalimia pale .mama yangu ata hakuitikia nakwambia . Tena akambinulia na midomo . Apo ata kuniangalia hajaningalia. Baba akasema kwanza kabla ya yote nataka ulipe uharibifu uliotokea kwanza. Ambao dada yako na mkeo walienda kuufanya kwa binti yangu. Baraka akasema sawa mjomba . Baba akaniuliza ni kama sh ngapi pale wameharibu. Nkasema milioni 5. Nikamkomoa apo apo . Wala hakubisha akasema ntalipa mjomba. Baba akasema utalipa saa ngapi. Lipa apa sas hivi . Baraka akasema sina cash mjomba ipo kwenye simu. Baba akasema tuma kwenye namba yangu. Basi akatoa simu yake akatuma pesa pale pale kwa baba.
Baba aksema sawa sasa. We si ulimpiga . Mana si mwanao umemzaa wewe. Sasa uyu kapelekwa hospitali kaumia na nimetumia gharama nyingi sana naomba unilipe. Nimetumia laki 3. Apo baba wala hakuongopa. Nafikili ni kweli alitumia iyo pesa.basi barkaa kaatuma tena iyo pesa.nikaona uyu msenge siku hizi kina pesa pesa. Baada ya apo sasa. Baba mdogo bakari akamuuliza barka kwa nn umempiga vile shakira. Una shida nae gani kubwa . Kwani ayo mafunzo yako ya jeshi uliambiwa uje kupiga ndugu zako baraka. Akasema hapana mjomba nimekosea. Sitaludia tena. Baba akauliza kwa nn umempiga mwanangu..baraka akanyamaza kimya.baba mdogo baraka akasema si unalizwa ww kwann umempiga dada yako. Akasema ni wivu mjomba.mimi nampenda sana shakira uo ndo ukweli.
Nyie mimi.sikutegemea kama ataongea vile.baba akakaaa kwanza vizuri. Baba mdogo akamuuliza kumpenda vp yani. Akasema wajomba zangu kama mke na mume. Mimi nampenda sana. Ni kweli nilioa nikihisi ntamsahau shakira . Nikihisi ntaweza kumpoteza .ila nimeshindwa na nilivyolidi akaendelea kuwa mwanamke wangu . Dooh uyu ni mjinga asa anaongea nini uyu mbwaaa. Akasema naweza sema licha ya kwamba nimeoa ila bado nilikuwa na shakiraa. Wajomba zangu mnisamehe tu siwezi kumuacha shakira nimejalibu sana nampenda sana. Yani nampenda sana mimi .na kule kumpiga nilijua ameenda kulala na mwanaume mwengine ndo hasira na wivu . Ndo nikafanya vile nisameheni. Apo anamaliza kuongea machozi yanamtoka nilibaki kimya mimi.
Baba mdogo akasema ndo sababu umemuacha mkeo ni kwa sababu ya shakira. Akasema sababu nimejua siwezi kumuacha shakira na nnampemda sana. Na namuhitaji sana.ata ningesema nione matara.ningemtesa tu bahati. Mimi nampenda sana shakira. Naona namtesa yule mwanamke sababu sina mapenzi nae kabisa. Akiri na moyo wangu upo kwa shakira.na naelewa ata shakira ananipemda sana . Nyieeee uyu baba alijua kujielezea na kunidhalilisha .si ntaonekana nimevunja ndoa ya mwanamke mwenzangu mimi. Kumbe wazimu wa bwana ake mwenyewe doooh.na ndo mana nilikuja kufanyiwa fujo mimi. Uwiiiiii
Aseee kwanza wazazi walchoka. Mana baraka anaongea uku machozi yanamtoka. Aseeee akapiga magoti akaja kwangu .akanmbia nisamehe shakira sikupanga kukupiga vile ni wivu juu yako tu. Nakupenda sana shakira plssss nisamehe mama. Mimi ntakufa bila ya wewe. Nakuhitaji sana nakuomba shakira tuwe pamoja.nyie kwanza naona mpaka aibu wazazi wanatuangalia sisi pale. Na baraka ndo kashasema kaacha mke kwa ajili yangu uwiiii
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA Sehemu ya 51
Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la c...
48 MWISHOOO ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
41 MPAKA 42 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae mpumbavu uyu. Basi alipofika akasalimia pale .mama yangu ata hakuitikia nakwambia . Tena akambinulia na midomo . Apo ata kuniangalia hajaningalia. Baba akasema kwanza kabla ya yote nataka ulipe uharibifu uliotokea kwanza. Ambao dada yako na mkeo walienda kuufanya kwa binti yangu. Baraka akasema sawa mjomba . Baba akaniuliza ni kama sh ngapi pale wameharibu. Nkasema milioni 5. Nikamkomoa apo apo . Wala hakubisha akasema ntalipa mjomba. Baba akasema utalipa...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-45
Maoni