Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA sehemu ya 38&39
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA sehemu ya 38&39

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Mwandishi; lissa wa huru media

Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa na mwanamke kama wewe. Mwanmke mchafu wa tabia kila nikijifikilia kukupeleka kwetu nakuwazia maraya wewe. Mh niliumia jamani mbona sijafanya kitu na tangu niamue kuishi na uyu mwanaume mimi sijawahi kutombwa na mwanaume tofauti na yeye daahπŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
nikasema hamadi mimi sijafanya hivyo kipenzi niamini akanmbia wewe sipendi uongo wako kila siku ni kuongopa ongopa mpumbavu wewe. Inaonekana ata yule shoga yako ni maraya kama wewe pumbavu kabisa. Na sijuh kwa nini nilikuamini mwanamke mdangaji kama wewe.yani wewe ji bule kabisa naona kabisa kwako napoteza mda wangu.mwanamke kila diku matukio .nimechoshwa na mambo yako ya kisenge senge. Najalibu kukupa kila unachokitaka lakini wapi .ama dikuridhishi kitandani ebu nambie. Nikasema hapana naridhika.akasema sasa kumbe nini kinakusumbua wewe paka la uswahilini .mh😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mimi nikachukia nikasema sawa basi ngoja niondoke nikuachia nyumba yako na maisha yako mimi nikifanya kitu nakubali .na kama ni kweli ningekwambia tu kuwa niligawa namba.ila sijafanya hivyo nafikiri ni marafiki zangu. Akasema mpumbavu wewe kelel unatakaa kuondoka si ndio unataka kwenda kwa ao mabwana zako sasa utaondoka na arama zangu. Akanivaa mwilini awamu hii hakuna bakora .mh hamadi hii ndo shida yake anapenda kuingiana mauongoni sana jamani. yani kukupiga dakika mbili sijuh ana hasira sana mpka anashimdwa kuzicontrol . Basi akanidunda kweli kweli nikawa nalia tu. Tena ata sikujalibu kumludishia mana weee ataniua. Basi alivyoridhika kunipiga ndo akaniacha sasa .nipo hoi .nakoma kwa uyu mwanaume kupigwa mimi nyie acheni tu. Basi mimi nikawa nalia tu pale kitandani akasema naondoka shamira nikiludi nisikukute nyumbani kwangu .nakuvunja. sasa nimeridhika nenda kwa ao mabwana zako maraya wewe. Si tumetoka kuongea juzi tu aya mambo. Unaona mimi msenge msenge sio. Unaleta upumbavu kwangu. Nakuuliza wewe mjinga .unanichukuliaje mimi . Eeeh ebu nambie.nikabaki kimya mana niliogopa ata kumjibu asije akaniludia kuniweka mibao

Basi akaongea sana kwa hasira yani mno .akanambia ntakuuwa nakwambia maraya wewe. Mala umetoroka umeenda uku. mala umeenda kule umekuwa na tabia za kisenge senge mno kwa nini.nakuulza nikabaki nalia tu .sasa boss kuopata msimu wa pili wa hii story mimi ndo ninayo uyu mwizi alokuuzia hana.kuoata nicheki wassap kwa namba sifurisaba nanesita sabatisa sitatatu sitatatuakaondoka kwa hasira.nikaona basi isiwe shida. Nikanyanyuka nikachukua mabegi nikatia nguo zangu zote. Nikabeba kila kitu kkinachonihusu. Nikakusanya kila kitu yani .nilikuwa na maumivu mno.kwanza sijafanya kitu chochote . Nikaona kwanza uyu mwanaume ataniua sio kwa kunidunda uku. Bola nisepe zangu tu mambo yasiwe mengi apa. Basi nikajikusanya shoga yenu mpka saku kwa aisha na mabegi yangu nipo hoi. AISHA alivyoniona akasema vp .nikasema niache kwanza nilale kisha nikiamka .naamka kwa mwajuma. Nilikuwa na asira nae

Basi aisha akachukua mabegi akaingiza ndani. Nilikuwa na hasira alafu mwili ulikuwa unaniuma sana.nikapumzika tu. Nililala mno kwanza mwili ulikuwa unaniuma sana yani sana. Nikaja kustuka saa 7 mchana kidogo nasikia mwili afadhari. Aisha akanambia njoo ule basi. Basi nikashuka chini nikavuta ugari na tembere.nikala mpka nimeshiba nilishindialia mana nilikuwa na njaa kweli .nilivyo shiba sasa nikasema sikia sasa nimeshiba nipeleke kwa uyo mwajuma cha umbea nataka nikamkomeshe sasa .yeye si mbea ntamuonesha.aiasha akasema kafanyaje kwanza. Nikasema watu wananiomea sana wivu yani mwajuama kawapa wanaume zangu wote wa zamani namba yangu mpya wanitafute waniharibie kwa hamadi.yeye ndo wakaunifanyia hivyo.sasa mimi nimepigwa mpka mpaka mwili nahisi sio wangu nataka na yeye nikamuoneshe tukalushane uko uko msenge yule. Nilimand kweli kweli na nilikua na hasira mno.........

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA sehemu ya 38&39


πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Mwandishi; lissa wa huru media

Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa na mwanamke kama wewe. Mwanmke mchafu wa tabia kila nikijifikilia kukupeleka kwetu nakuwazia maraya wewe. Mh niliumia jamani mbona sijafanya kitu na tangu niamue kuishi na uyu mwanaume mimi sijawahi kutombwa na mwanaume tofauti na yeye daahπŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
nikasema hamadi mimi sijafanya hivyo kipenzi niamini akanmbia wewe sipendi uongo wako kila siku ni kuongopa ongopa mpumbavu wewe. Inaonekana ata yule shoga yako ni maraya kama wewe pumbavu kabisa. Na sijuh kwa nini...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-38-39

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

736
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

725
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29

391
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

351
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

218
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

185
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

162
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

155
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

143
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

129

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.55K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.3K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.75K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.64K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.57K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.48K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Nikasema sikia utakaaa apa, na usiwaze kabisa kuhusu kodi, mimi nipo na sina plan za kukuacha wewe kabisaa, nakupendaa sana, nakupenda kuliko chochote zena, siwez acha kukulipia kodi ata siku...

A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame β€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a Post Mpya
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame β€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
@majario LIVE

. Harivansh Rai Bachchan, one of India’s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh stands beside him β€” a man who would go on to become...

*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
@majario LIVE

zena alinikumbatia uku analia sikuelewa ni ule uchungu wa kutoa bikra yake au mahaba yamemzidia acheni kabisaaa ila nilimvuta kwa karibu nikamtuliza na nikambembeleza kweli kweli mpaka mchumba akatulia nilimwambia...

ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI.  Elvin alikuwa kijana wa miaka 28 Post Mpya
ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI. Elvin alikuwa kijana wa miaka 28
@majario LIVE

aliyeishi na mama yake mjane kwenye nyumba ya kupanga uswahilini. Mama yake, Mama Kelvin, alikuwa akijishughulisha na kuuza mbogamboga sokoni ili mwanawe apate chakula na mahitaji mengine. Kelvin alikuwa...

SHAMIRA sehemu ya 40&41 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 40&41
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha akasema sasa sikia tuna kazi naye .si kafanya uo usenge kwaiyo zile laki 9 zako ulizomtunza kaona sisi mafala .sasa tutamuonesha kumamamke zake twende...

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Β SEHEMU YA 1 Β Β  Β Β  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Em kwanza nicheke mieeeΒ  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijuiΒ  wapi wapiiΒ  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mr. Marvel akaendelea β€œNiliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest