Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
Gonga94 · Stories

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto. Nilipokuwa napambana na maisha nilisikia mke wangu ameolewa na mwanaume mwingine tajiri, maarufu na mwenye nguvu. Iliniuma, lakini nilisema sawa tu. Niliendelea kufanya kazi mchana na usiku mpaka nikakutana na rafiki yangu wa zamani………… Huyu rafiki Tulikuwa karibu sana lakini mambo yakatufanya tutengane. Yeye alikuwa ana maisha mazuri, alikuwa na biashara kubwa. Alijua mimi ni engineer mzuri, lakini sikuwahi kupata nafasi ndipo Akaamua kunipa kazi kwenye kampuni yake. Kuanzia hapo maisha yakaanza kubadilika. Niliweza kupanga nyumba nzuri, nikaajiri mtu wa kumwangalia Salmon nikiwa kazini. Niliweza kumudu milo mitatu kwa siku hata sita kwa siku pia niliweza. Maisha yakawa mazuri na sikutaka tena kufikiria mapenzi. Nilijikita kwenye kazi na kumlea Salmon tu.
So Miaka mitano ikapita Nikaanzisha kampuni yangu na sasa imekuwa kubwa”

Noela akauliza “Na mke wako?”

“Now ni zamu yake kuteseka. Yule mwanaume aliyemuoa alimwacha na hakupata mwanaume mwingine tena. Aliposikia nipo vizuri Alitaka kurudi kwangu lakini sikumkubali”

“Kwaiyo Sasa yuko wapi?” 🤔

“Yuko Mwanza anaishi kwa ndugu zake. Sijui anafanya nini sasa na sijali sana kuhusu yeye”

“Salmon anamkumbuka mama yake?”

“Yes! Licha ya yote aliyofanya, bado ni mama yake. Wakati mwingine anaenda kumtembelea na kukaa naye siku chache”

“Unadhani Salmon anataka mrudiane na mama yake?”

“Mhhhhh! Ndiyo! zamani alikuwa ananisihi nimsamehe mama yake na mimi nikamsamehe. But kurudiana ilikua ni ngumu sana”

Noela akauliza “Kwa nini?”

“Kwa sababu ya yote aliyonifanyia ni ngumu kumuamini tena! Also kwa sasa moyo wangu unadunda kwa mwanamke mwingine. Nategemea siku moja atanipa nafasi nimuonyeshe ananichanganya kiasi gani” aka tabasamu😍

Noela akabaki kimya, akaona aibu kwa sababu alijua mwanamke anayezungumziwa ni yeye.

Mr. Marvel akauliza “Una swali lingine?”

“Ndiyo. Uliwezaje kukaa peke yako muda wote huo?”

“Kwa kweli ilikuwa ngumu. Nililala na wanawake wachache mpaka siku ile nilipokutana na wewe hotelini. Na mimi pia nataka nikuulize, ulikuwa unafanya nini pale?”🤔

“Kabla sijakujibu, Kwanza si uliona jinsi chumba kilivyopambwa?”

“Yes”

“Ilikuwa kwa ajili ya Salmon. Nilimuandalia kila kitu, lakini hakuja. Ilipaswa kuwa usiku wetu wa kwanza”

“Samahani kwa kuharibu usiku wako”

“Nafurahi ulifanya hivyo. Ni Bora nimpoteza usichana wangu kwa mtu mzuri kama wewe na sio Salmon. Unajua aliniambia eti hakuja hotelini kwa sababu baba yake alipata ajali?”

Mr. Marvel akashangaa, “Nini? Mimi? Ajali? No!”😳

“Ivyo ndivyo mwanao alivyo nidanganya! Lakini yaliyopita, yamepita”

“Ningependa kuomba msamaha kwa niaba ya mwanangu! Ni kijana mzuri and i love him ila ni
Ujana tu unamsumbua!”😊

“Usijali kuhusu ilo ila Wewe ni tofauti sana na yeye”

“KiVipi?”

“Wewe unajali, ni mpole, mnyenyekevu na pia mkorofi. Si rahisi uumize mtu kwa sababu wewe uliwahi kupitia maumivu kama hayo”

“Vizuri sana. Umenisoma vizuri”😊

Noela akatabasamu kisha Wakakaa kimya kidogo ndipo wakaamua waingie ndani maana giza lilikwisha ingia.

Kwa muda wote Noela alipokuwa kwenye ile nyumba, alizidi kuwa karibu sana na Mr. Marvel. Walikuwa wanapiga stori, wanapika pamoja, wanaangalia movies na kutoka mara kadhaa.

Ilikuwa ni wiki mbili tu, lakini ilionekana kama wamejuana muda mrefu. Na kwa sababu ya Mr. Marvel, Noela aliacha kufikiria kuhusu Salmon na Iris.

Basi Usiku mmoja walipokuwa sebuleni, Noela akamwambia Mr Marvel kuwa anataka kurudi chuo.

Mr. Marvel akauliza “Una uhakika?”

Noela akasema “Ndiyo”

“Utakaa chumba kimoja na Iris?”

“Sitaki Na sijui nitaishi wapi”🥺

“Kama ndo ivyo… Endelea kukaa hapa”

Noela akauliza “Na chuo je?”

“Usijali, Nitakupa gari na dereva. Atakuwa anakufikisha chuo kila siku, na baada ya masomo atakurudisha nyumbani salama. Apo Vipi?”

Noela akashangaa “Utanifanyia hivyo?”😳

“Ndiyo! kama utakua tayari”

“Mimi nipo tayari” Noela Alifurahi sana kwa sababu hatalazimika kukutana na Iris au Salmon mara kwa mara🥳

Kwa upande mwingine, Salmon alikuwa anamtafuta Noela lakini hakumpata. Hakujua aende wapi kumtafuta kwa sababu Noela hakuwa na marafiki wengi.

Pia simu yake ilikuwa imezimwa. Noela Aliwasha simu tu alipotaka kuwasiliana na familia yake kisha anazima ndo maana ilikuwa ngumu sana kwa Salmon kumpata.

Hali hiyo ilimkera sana Iris. Alikasirika kwa maana Salmon bado alikuwa anamtafuta Noela badala ya kumpa yeye attention🤣.

“Wakati mwingine nahisi ulikuwa unanitumia tu”
Iris alilalamika

Salmon akauliza “Unamaanisha nini?”

“Noela hayupo badala iwe nafasi yetu kufurahia mapenzi yetu lakini wewe kila wakati unamtafuta, unampigia simu, hunipi attention ninayo stahili. Tayari Nimewaambia watu wote kuwa tuna date, ila ni ngumu wao kuniamini coz huonyeshi mapenzi kwangu”

“Iris, nitakuonyesha mapenzi baada ya kumpata Noela. Hata huogopi au kuwa na wasiwasi labda kuna kitu kimemtokea? Tangu atufumanie siku ile hajawai pokea simu zangu wala kuja chuo”😳

“Mimi najali kuhusu wewe tu Salmon! Achana na ilo tipwa tipwa lako”😒

“Iris, Noela alikuwa rafiki yako. Angalau uwe na huruma kwa anachopitia”

“Kheeee! Ni kosa langu kwamba humpendi? Ni kosa langu kwamba hukuwa mwaminifu kwake? Hili si tatizo langu. Please usilitaje tena jina la yule nguruwe”

“Unajua nini?? Acha nirudi nyumbani coz mood imeisha”

“Hutalala hapa? Nilidhani umekuja kukaa na mimi”🥺

“Siwezi kulala hostel. Vipi kama Noela akirudi akatukuta tena hapa?”

“Sawa, basi twende wote huko kwako!”😊

“Uwende wapi?? Wewe kaa hapa, subiri kama Noela atarudi au laaah! Kama Akirudi nipigie simu”

Salmon akaondoka akimuacha Iris akiwa na hasira. Iris Hakujua afanye nini ili moyo wa Salmon uwe wake kabisa, kwa sababu kila kitu alichofanya hakikufanikiwa.

Sasa Asubuhi ya siku iliyofuata, Iris akiwa amelala, akasikia mtu akiingia chumbani. Alidhani ni Salmon, lakini alipomuona Noela, akaogopa kidogo kisha akajifanya hajali kuhusu ule ujio wake.

kwa dharau akauliza “kheee ndo umerudi?”😒

Noela akajibu “Ndiyo”

“Sikiliza Noela, sijali kama umerudi au la. Hilo ni jambo lako. Ninachotaka ni ukae mbali na mwanaume wangu, Salmon. Tunapendana, sitaki na drama zako”

Noela akatabasamu akisema “Sawa” kisha Akaanza kufunga makabati akitoa nguo zake na kupaki kwenye mabegi kimya kimya🤐.

Hili jambo lilimshangaza Iris kwa sababu alidhani Noela angegombana naye lakini hakufanya hivyo.

Baada ya kumaliza kupaki mizigo yake, dereva wa Mr. Marvel akamsaidia Noela kubeba mabegi yake na kuyapakia yote kwenye gari. Walipomaliza waliondoka zao.

Iris kuona vile akachanganyikiwa zaidi. Noela amehama hostel na tena amekuja kuchukuliwa na gari la gharama, na dereva juu!😭

“Ina maana Noela kapata mwanaume tajiri? Ndiyo maana haumi sana kuniona na Salmon? Kwa lile gari, lazima huyo mwanaume ni tajiri. Ina maana yeye kapata mwanaume tajiri, mimi nateseka na Salmon ambaye hajawahi hata kuninunulia kijiko. Lazima nichunguze nijue huyo mwanaume ni nani, ikiwezekana nimpitie. Noela hawezi kunizidi mimi. Mimi ni mzuri kuliko yeye tipwa tipwa kama ngiri”

Je Nini kitaendelea?
Nakuja…

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12


🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto. Nilipokuwa napambana na maisha nilisikia mke wangu ameolewa na mwanaume mwingine tajiri, maarufu na mwenye nguvu. Iliniuma, lakini nilisema sawa tu. Niliendelea kufanya kazi mchana na usiku mpaka nikakutana na rafiki yangu wa zamani………… Huyu rafiki Tulikuwa karibu sana lakini mambo yakatufanya tutengane. Yeye alikuwa ana maisha mazuri, alikuwa na biashara kubwa. Alijua mimi ni engineer mzuri, lakini sikuwahi kupata nafasi ndipo Akaamua kunipa kazi kwenye kampuni yake. Kuanzia hapo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

662
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

585
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

164
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

159
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

151
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

137
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

112
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

98
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

95

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa 🔥🔥🔥  SEHEMU YA 1       😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest