Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
Gonga94 Β· Stories

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO...............

Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake .

Alifika na kusimama huku macho yote akielekeza kwenye chumba changu, alisimama karibu nusu saa bila kuniona akatoka na kurudi chumbani .

Alibadilisha nguo na kutoka hadi nje akaangalia kama ataniona ila sikuwepo nje , akarudi tena ndani na kupanda ghorofa ya mwisho na kusimama juu kabisa akawa anaangalia pande zote ila bado hakunionaπŸ˜₯.

Moyo wake uliingiwa na huzuni sana ,maana alitamani kuniona ila bahati haikuwa upande wake πŸ˜₯ masikini kinyonge alishuka na kurudi chumbani kwake.

Akaingia bafuni na kuoga ,baada ya kuoga akatoka na kurudi kukaa kibalazani , mda ulienda ikafika hadi saa tano usiku bado sijaonekana machoni pake.

Ngoja kwanza kabla sijaendelea naomba niulize hivi vile visehemu vya wazi ambavyo viko kwenye nyumba za ghorofa ambavyo watu hutumia kupumzika .

Au vingine ndo hivi vimekaa upande wa chumbani yaani unakuta chumba kina mlango wa kuingilia lakini bado kuna mlango wa kioo ambao unafunguliwa kwa kuslide si ndo vinaitwa kibalaza au?

Nisije kuwa natamka tofauti nikafikili naeleweka kumbe nawalisha matango poriπŸ₯², ila nahisi mnanielewa bhna .

Basi bwana kijana wawatu baada ya kukaa kwa mda mrefu alichoka na kuamua kuingia chumbani na kulala, usiku ukapita kesho yake asubuhi na mapema aliamka na kujiandaa kwaajili ya kwenda kazn.

Alivyo maliza alitoka akiwa na matumaini ya kuniona nje lakini alivyo pita hakuniona , akajiambia ataniona jioni , lakini hata jioni alivyo rudi pia hakuniona πŸ˜₯.

Bado akajipa tumaini ila siku iliisha nyingine ikaingia na kuisha akiwa bado hajaniona πŸ˜₯, moyo wake ulikosa raha kabisa πŸ˜₯ akabaki akiwaza nini afanye ili tu anitie machoni πŸ˜₯.

Baada ya kuwaza sana alipata jawabu, tabasamu lilopotea usoni likarejea πŸ₯² kwa kujiamini akainuka na kuingia jikoni akachukua mfuko na kuja hadi getini kwetu akagonga.

Nikiwa nimekaa zangu ndani huku sina hili wala lile nilisikia geti likigongwa , haraka nikainuka na kwenda kufungua hapo akili mwangu najua ni kaka wa mifugo maana alikuwa katoka kidogo.

Ajabu nilifika nafungua nashangaa ni Samuel, nilimuangalia kwa mshangao huku nikijiuliza amefuata nini πŸ€” , Samuel kuona namuangalia bila kumkaribisha akasema.

"Mambo" nilijishtukia na kusema.

"Aaaam poa ,karibu "

"Asante , nahitaji mayai sijui nitapata !?"

"Ooh yeah yapo karibu " niliongea na kumpisha apite nae bila kuchelewa alipita nikafunga geti na kuongoza kuelekea ndani .

Huku nyuma alikuwa akiangalia namna nyama zinavyocheza 🀭 moyoni anasema huyu ndo mwanamke sasaπŸ€—mimi nae bila kujua naangaliwa mzigo πŸ˜ƒ nikaendelea kuchapa mguu.

Basi alikaa kwenye sofa lilokuwa balazani me nikaingia ndani ,kufika yalipo mayai nikakumbuka sijauliza anataka mangap ikabidi nirudi na kumuuliza .

"Samahani unahitaji kiasi gani?"

"Trey moja au hayatoshi?"

"Hapana yapo " nilijibu na kurudi ndani nikamfungia kisha nikatoka na kumpatia akapokea na kunipa hela yangu .

Nilimshukuru tukaongozana hadi getini akatoka nikafunga na kurudi ndani , baada ya hapo ikawa kama utaratibu kila juma moss lazima aje kununua mayai .

Sikuwaza wala kufikilia kwamba anakuja kununua kwaaliji yangu me nilihisi ilikuwa ni kawaida yao ,japo nilikuwa nawaza sana wanatumiaje mayai hadi kila wiki lazima wanunue trey. πŸ€”

Uliza upande wa pili mayai yaliyokuwa yananunulia kila wiki yalikuwa yanaenda wapi πŸ˜„, ila wanaume wakiwa na jambo lao wanapambana hadi wafanikiwe πŸ˜….

Yaani mtu anakuja kununua mayai unahisi anenda kula na familia yake kumbe anachukua hapa na kwenda kuuza mtaani kwa rafiki yake πŸ˜….

Kwa hiyo anachukua si kwasababu anayahitaji ila nikwasababu anataka kuniona ,wote tusema okay πŸ˜… πŸ˜….

Haya muuza mayai niliendelea kuuza mayai miezi ikakata , ikawa mara moja moja ananiona nje nikiwa bize na kazi zangu au usiku nikiwa kwenye kibalaza cha chumbani kwangu.

Mdogo mdogo miezi ilikata , mtoto wawatu nikazidi kunawili 😊 mapenzi kwa boss wangu yakazidi siku hadi siku ,nikawa naishi si kama mfanyakazi bali ndugu yaani ni full maupendo πŸ₯°.

Sasa bwana baada ya kupita miezi kadhaa siku hiyo nikiwa nimetoka msikitini kuswali ,nilifika nyumbani nikaitwa na boss akidai anamaongezi na mimi.

Kusikia hivyo nilishtuka nikihisi nimeyavurunda niniπŸ˜₯, eee Mungu saidia niwe sijakosea kitu maana kibarua kikiota nyasi itakuwa tatizo kubwa.

Basi nilikaa huku mapigo ya moyo ya kienda mbio , boss baada ya kuona nimekaa na niko tayari kumsikiliza akanambia.

"Wardah mwanangu , nimekuita hapa nikitaka kuongea na wewe vitu viwili tu.

Kwanza naomba nikupongeze kwa ufanyaji kazi wako, kwakweli umeni surprise maana kwa jinsi nilivyo kuona kwa mara ya kwanza tu nilihisi hapa hamna mfanya kazi.

Ila umethibitishia kuwa sitakiwi kumhukumu mtu kwakumuangalia usoni, kwa hiyo nakushukuru sana kwa hilo pamoja na kuwa rafiki bora kwa wanangu.

Sasa ukiachana na hili kingine nilichotaka kuongea na wewe ni hiki , aaam ninataka nifungue duka hapo nje na kwakua hakuna mtu wa kusimamia nikaona ngoja niongee na wewe kwanza.

Ili kama ukiwa tayari uwe wewe kwasababu humu ndani sioni kama kuna kazi nyiingi kiasi hicho na pia wewe tunakufahamu vyema so haitakuwa vizuri kumpa kazi hii mtu mwingine ile hali we upo.

Kwa hiyo kama uko tayari unaweza kubeba majukumu yote ,me nitakuongezea pesa ila kama utaona huwezi kufanya yote basi nitafute mwingine. "

Weeee🀩nilifurahi nikatamani kumrukia , jamani hii ni neema ya pekee, yaani nimepata kazi juu ya kazi mshahara juu ya mshahara πŸ₯²aaa Mungu wewe nikupe nini mimiπŸ₯°πŸ˜‡.

Bila kufikilia wala kunjing'ata nilijibu ndio niko tayari 😊 boss akasema poa na kunitajia kiasi cha pesa atakacho kuwa akinipa kwa mwezi .

Kwa moyo mmoja nikasema asante mama πŸ₯²πŸ˜‡ na kukaa tayari kwaajili ya kuanza kazi mpya , aka dada mshika mawili πŸ˜‡ sasa sijui wahenga watapita na mimi au ndo nitawashangaza 😊

Embu tukutane kesho jamani.......πŸ˜‡


ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17



SONGA NAYO...............

Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake .

Alifika na kusimama huku macho yote akielekeza kwenye chumba changu, alisimama karibu nusu saa bila kuniona akatoka na kurudi chumbani .

Alibadilisha nguo na kutoka hadi nje akaangalia kama ataniona ila sikuwepo nje , akarudi tena ndani na kupanda ghorofa ya mwisho na kusimama juu kabisa akawa anaangalia pande zote ila bado hakunionaπŸ˜₯.

Moyo wake uliingiwa na huzuni sana ,maana alitamani kuniona ila bahati haikuwa upande wake πŸ˜₯ masikini kinyonge alishuka na kurudi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

657
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

570
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

157
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

155
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

151
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

134
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

107
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

92
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

92

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Β SEHEMU YA 1 Β Β  Β Β  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Em kwanza nicheke mieeeΒ  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijuiΒ  wapi wapiiΒ  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mr. Marvel akaendelea β€œNiliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest