Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
Gonga94 Β· Stories

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



SONGA NAYO.............

Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae.

Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote ya nyumba ile na kunipa taratibu zao pamoja na majukumu yanipasayo kufanya

Baada ya hayo nikataka kuingia jikoni kwaajili ya kuandaa chakula cha jioni ,akanizuia kwakunambia mara zote juma tano huwa mama yake anarudi na chakula so nyumbani hakupikwi kitu.

Niliitikia sawa na kukaa tu maana hakukuwa na chakufanya.

Mda ulisogea ikafika usiku mama yake akarudi tukampokea ,akauliza kama nimesha elekezwa na kupewa taratibu zote wote tukajibu ndio.

Basi kaingia chumbani sisi tukabaki tukiandaa meza na baada ya mda akatoka tukapata chakula pamoja kisha kila mmoja akaendelea na ratiba zake .

Mimi huwa sio mpenzi wa tv hivyo baada ya chakula Daria na mdogo wake walibaki wanaangalia movie mimi nikaingia chumbani kwangu.

Nilifika na kujitupa kitandani , nikalala chali na kuelekeza macho yangu juu , taratibu akili yangu ikaanza kuzama kwenye dimbwi la mawazo, niliwaza na kukumbuka matukio yote ya nyuma.

Nikashusha pumzi ndefu na kutoka kitandani nikasogea dirishani , ili niangalie nje walau nipigwe kiupepo ,maana mara zote nikiwa nahisi msongo wa mawazo au kutokuwa sawa huwa napenda nikae sehemu nipigwe upepo weee.

Hapo nahisi nafuu kwa kiasi kikubwa sana , hivyo nikasogea pale na kufungua mapazia pamoja na kioo sasa ile nimefungua kioo nilikutana uso kwa uso na yule mkaka niliekutana nae nje mida Ile namkimbilia Alvin.

Nilishtuka maana sikutegemea kumuona pale, sasa nikawaza niendelee na jambo langu au nifunge na kurudi zangu kulalaπŸ€”mmmh hapana nikifunga ataona kama namkimbia maana tayari alishaniona .

Kwa hiyo cha kufanya nikuendelea na mambo yangu ila nitajifanya kama sijamuona , kweli nilichukua kiti nikakaa na kula upepo wa Mungu.

Upande wake akawa ananiangalia huku akitabasamu naona alihisi sijamuona ,akaona akae ili aweze kuniangalia vizuri 😏.

Dakika zilisogea ikafika mda nikaona sasa hapa niko sawa , nikainuka na kutoa kiti kisha nikafunga vioo na kurudi kitandani .

Upande wake baada ya kuona nimetoka na yeye akatoka na kuingia ndani, alitembea kuelekea sebleni na kufika anakaa huku uso wake ukiwa bado na tabasamu pana.

Robyn ambae ni kijana watatu wa familia hiyo alikuwa amekaa sebleni huku akiangalia tv , kitendo cha Samuel kuja na kukaa huku akitabasamu mwenyewe kilimfanya akaacha kuangalia tv na kumuuliza ndugu yake.

"Oya vipi mbona unatabasamu mwenyewe umepata mtonyo wa maana nini ?"

Samuel kuulizwa hivyo alimuangalia Robyn na kusema " hii ni zaidi ya mtonyo mzee😊, aaah Mungu fundi bhna "

"Una maanisha nini ??🀨"

"Achana nayo maana hutanielewa " aliongea na kuinuka akaondoka , Robyn alibaki akimuangalia huku akijiuliza ni nini kilichomfanya ndugu yake kuwa na furaha vile.

Aliwaza bila majibu ,akaamua kuachana nayo na kuendelea kuangalia Tv, basi mda ulienda hatmae usiku ukapita na asubuhi ikaingia .

Kama kawaida watu waliamka na kila mmoja akawa bize na majukumu yake huku wakwenda kazini wakiwa bize kujiandaa.

Sasa mmoja kati ya majukumu yangu humu ndani ni kufanya shughuli zote za ndani pamoja na kusimamia mauzo ya mayai pamoja na kuku.

Maana boss wangu alikuwa akijushughulisha na ufugaji wa kuku ,sungura pamoja na ngo'mbe ,ila ng'ombe walikuwa sehemu tofauti na nyumbani hapo.

Hivyo kijana anaehusuka na mifugo asubuhi huwa kule waliko ng'ombe na baadae ndo huja huku nyumbani kwaajili ya kuwahudumia hawa hapa pamoja na kuweka mazingira ya nje sawa.

Sasa mimi huwa niko shap sana kwenye kazi zangu hivyo nilivyo maliza kila kitu nikaona kuliko nikae ndani tu ni bora nimsaidie kijana wawatu walau hata kumwagilia maua .

Basi nikachukua mpira na kuunganisha kwenye bomba kisha nikaanza kumwagilia, ambapo baada ya kumaliza ndani nikatoka nje ya geti na kuendelea kumwagilia.

Upande wa Samuel baada ya kujiandaa na kunywa chai alichukua begi lenye pc pamoja na simu yake akataka kutoka kuelekea kwenye gari kwaajili ya kuanza safari ya kwenda kazn.

Lakini kabla hajapiga hatua kutoka nje aliitwa na mama wa nyumba ile , Samuel aliitika na kuambatanisha na salamu.

Mama yule aliitikia huku akionesha kuchukia na kumwambia " Nipe funguo za gari lako "

Samuel alihisi kama hajasikia vizuri akamuuliza " sorry umesema !!?"

"Nimesema !! Kwamba hujasikia nilichosema 😠 embu nipe bhna unanichelewesha "

"Okay ,lakini kwanini unataka funguo la gari langu ,au kuna kitu ulisahau humo ?"

"Samuel! Unataka kunitibua si ndio , embu nipe bwanaaa 😑" eeeh hii kali, aliwaza Samuel kumpatia funguo mama yule au tumuite Mrs Watson aliichukua kwakukwapua na kuondoka huku akiambatanisha na sonyo kali.

Kwa hatua za haraka alienda maegesho na kuingia kwenye gari la Samuel, hakuchukua mda akawasha gari na kuondoka.

Samuel alibaki amesimama mlangoni huku akijiuliza kwani kuna nini hadi mama yake kaamua kutumia gari lakeπŸ€”, aliwaza na kuamua kurudi ndani .

Akamuita binti wa kazi na kumuagiza chumbani kwa wazazi wake ili akamchukulie funguo ya gari la mama yake , binti yule bila kuchelewa aliingia chumbani na kuangalia sehemu zinako wekwaga funguo ila hakuona .

Akajaribu kuangalia sehemu nyingine lakini pia hakuona, akatoka na kumwambia Samuel kuwa hajaona funguo , Samuel akamuuliza.

"Unauhakika hakuna ?" Binti yule alijibu ndio Samuel akaona huyu hayuko serious akatoka na kwenda mwenyewe ila pia hakuweza kuona .

Kwa hasira alitoka na kuchukua simu yake akampigia mama yake, ajabu simu iliita ila hakupokelewa na sio kwamba Mrs Watson alikuwa haoni simu no aliiona ila hakutaka kupokea.

Basi Samuel alivyoona simu zake hazipokelewi aliacha na kwenda chumbani kwa Robyn akangia kufika anakaa kitandani.

Kwa sauti yenye hasira akamwambia Robyn " Mama kashaanza mambo yake, ameondoka na gari langu na funguo zingine hazipo "

"Ohooo mapema hii ! Sasa utafanyaje maana mwenyewe nataka kwenda chuo na baadae nitakuwa na mizunguko mingi "

"Naelewa ila sasaivi inabidi unisogeze hadi kazn "

"Sawa na jioni je ?"

"We sikia nipeleke kazini kuhusu jioni nitajua mwenyewe"

"Poa " Robyn alimaliza kujiandaa wakatoka na kuingia kwenye gari, mlinzi akafungua geti wakatoka , sasa mda ambao wanatoka mimi nilikuwa bado namwagilia .

Hivyo walivyonifikia tu Samuel macho yote kwangu , angalia yake ilimfanya hadi Robyn akageuka kuniangalia na kumrudia ndugu yake .

Akataka kuuliza ila akakausha na kuendelea kuendesha wakanipita , upande wangu nilimaliza nikakunja mpira na kurudi ndani.


ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*




SONGA NAYO.............

Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae.

Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote ya nyumba ile na kunipa taratibu zao pamoja na majukumu yanipasayo kufanya

Baada ya hayo nikataka kuingia jikoni kwaajili ya kuandaa chakula cha jioni ,akanizuia kwakunambia mara zote juma tano huwa mama yake anarudi na chakula so nyumbani hakupikwi kitu.

Niliitikia sawa na kukaa tu maana hakukuwa na chakufanya.

Mda ulisogea ikafika usiku mama yake akarudi tukampokea ,akauliza kama nimesha elekezwa na kupewa taratibu zote wote tukajibu ndio.

Basi kaingia chumbani sisi tukabaki tukiandaa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

506
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

124
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

116
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

81
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

79
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest