Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
Gonga94 · Stories

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.................

Kauli ya ole wako uinuke na inuka zilikuwa nyingi hadi nikahisi kuchanganyikiwa ikawa ni mwendo wa simama kaa kama mtoto wachekechea .

Mwisho Aunt Vero aliingilia kati na kusema " Dada!! Alvin yuko sahihi ,muache mtoto wawatu "

Kauli ya aunt Vero ilimfanya madam akaachana na Alvin na kuhamia kwake, kwa hasira akamuuliza " Vero unasemaje!! Ina maana unamuunga mkono huyu mpuuzi?"

"Sio kwamba namuunga mkono , sikia shoga angu Wardah bado ni mdogo mno hastahili kukaa kwenye nafasi unayotaka kumueweka "

"Eti mdogo anaudogo gani huyu ,na kwanza yeye kuwa mdogo au mkubwa vinanihusu nini mimi? .

Embu acheni upumbavu wenu basi na sitaki kuingiliwa kwenye maamuzi yangu tafadhali "

Alvin alitaka kuongea aunt Vero akamwambia "Alvin subiri kwanza ✋️, mama Shuu hili swala halihitaji maamuzi ni wewe kutii huwezi kutaka kumharibu mtoto wawatu na tukukalie kimya .

Fanya kama tulivyo ongea usiku ,huyo aliekuja amekuja akijua wazi anakuja kufanya nini kwa maana hiyo mpeleke yeye mwenyewe.

Ila swala la kwamba ubadilishe maamuzi na umchukue Wardah hili nakupinga ,huyu mtoto anahitaji kuwa na kesho iliyo bora "

"Hahahahahha wallah tena najionea maajabu ,na sasa nimepata picha kwanini Alvin amekuwa na ujasiri wa kusimama na kunipinga ,kumbe tayar umeshamnywesha sumu mwanangu.

Na sasa nisikie kwa makini ,huyu binti alikuja kwa hela yangu mwenyewe na siku zote amekaa kwenye nyumba yangu anakula na kulala kwangu unanielewa.

Kwa hiyo atafanya kile ninachotaka mimi nasio nyie ,eti huwezi kuruhusu ,we ninani hadi usiruhusu mwanao huyu au una ukoo nae ?"

"Sina ukoo nae ndio lakini nikiwa kama mwanamke ninaejua nini maana ya kuwa mwanamke huyu hatoki hapa?"

"😆😆eti rudia tena we ni nani ?nyooo huna haya weye,, eti me mwanamke🤧 wakiita wanawake na wewe utatoka chakubimbi wewe 😏.

Embu usinifanye nikakutolea maneno ya ajabu saizi mie ,mtu umekausha kizazi chako kwa magonjwa ya zinaa , leba hujui inafananaje wala hujui utamu wa ndimu.

Alafu unataka kunikazia mishipa ya makalio ,we cheusi kwanzia leo utaanza kwenda na mimi kazini hii sio ombi ni lazima unanielewa "

Alvin hakutaka kuendelea kusimama bure alinifuata haraka na kunivuta nusu achomoe mkono wangu🥲 ,mkuku mkuku hadi chumbani.

Huku nyuma tukaacha wakongwe wakirushiana maneno,,basi tukafika chumbani akaniachia mkono na kusema.

"Fungasha kila kilicho chako uondoke haraka sana "

"Niende wapi!!?😳"

"We ni fala eeh😡, yaani unaona tunavyo pambana kutetea hilo tubwasha lako lisiende kuuzwa na kutumika hovyo alafu bado unauliza maswali ya kibwege oya👉 nitakufumua mikofi huo ushamba ukutoke .

Embu fungasha vurago chap usepe "

Nilimuangalia Alvin kwa huruma sana nakumuuliza " bado sijaelewa nini haswa ambacho kinaendelea maana naona mnagombana na madam bila sababu ya msingi.

Kama ni kuhusu kazi me nipo tayari kufanya kazi yoyote wala haina shida "

"Aaa mamae wewe😡 👉 nitakufumua h......" hakumalizia kuongea akaingia Shuu huku akisema .

"Kwanini unataka kumlazimisha wakati ameshasema anaweza? , mwaya Wardah kama unaona unaweza usimsikilize huyu anawivu tu ,ila ukweli hiyo kazi ina pesa nzuri .

Na najua unamajukumu mengi ambayo yanahitaji hela ya kutosha so binti mwenzangu nak.........." Alvin hakumuacha amalize alimvuta mkuku mkuku akamsukuma na kumsindikiza na bete la makalio.

Kwa hasira akafunga mlango na kunirudia akanambia" umesema uko tayari kufanya hiyo kazi ?"

Nikaitikia ndio kwa kutikisa kichwa , akasema " Wallah ushamba mzigo, hivi unajua utachokua unafanya au unaropokwa tu ?"

"Alvin ! Kazi ni kazi nitafanya tu haina namna "

"Kwa hiyo uko tayari kuuza thamani yako kama mtoto wakike kisa hela ? Okay basi acha niwe mteja wako wa kwanza "

Aliongea na kuanza kufungua mkanda wa suruali yake nilimuangalia kwa mshangao huku nikijiuliza anataka kufanya nini , sijakaa sawa nikashangaa anafungua zipu .😳

Weee niliruka kama kuku alikoswa koswa kuchinjwa , haraka akanidaka nikamwambia" Alvin hapana naomba unisifanyie hivyo tafadhali 🥺🙏."

"Nisifanye nini we siumesema uko tayari kufanya hii kazi ,sasa acha niwe mteja wako wakwanza haya sogea hapo nikupe baraka zangu"
Baada ya kusema hivyo ndio nikamuelewa alikuwa ana maana gani 🥺, nilijikuta nikianza kulia kwa uchungu ,ina maana nilikua naenda kuuzwa kwa wanaume 😭.


Alvin alinituliza na kunambia " usilie hizi ni changamoto za maisha na uzuri umeshavuka ,sasa kinachotakiwa ni kujiandaa kwaajili ya hatua inayofuata."

"Sasa nitaenda wapi 😥?"

"Utaenda wapi kwani hauna kwenu ?, binti embu cha kupoteza mda "

Niliinamisha uso chini na kusema "Sina nauli?"

"Hauna nauli ukimaanisha nini 🧐?"

"Kweli sina hela ,mshahara wangu wa mwezi uliopita nilituma nyumbani na mwezi huu bado hajanipa"

"Beki tatu wote akili zenu zinakomaga hapo , ina maana wewe ukipata hela kitu unafanya nikutuma nyumbani, kuweka akiba aaaah .

Haya sasa ndo ishatokea dharula haya nambie unaondokaje hapa ?"

Nilikaa kimya huku nikiangalia chini , akanambia " chukua nguo zako tuondoke "

"Tunaenda wapi ?"

"We acha maswali na ufunge tuondoke haraka maana nikikupa mgongo utaletewa njemba zilizo Shiba kisawa sawa "

Kweli kinyonge nilikusanya nguo zangu zote nilivyo maliza akanishika mkono tukatoka hadi sebleni mda huo bado madam na Aunt Vero wanachambana.

Bila kusimama Alvin aliongoza kuelekea mlango wa kutokea huku akinambia " angalia mbele ukigeuka tu unakuwa jiwe la chumvi " 😃 niseme nini zaidi ya kusema ndio na kufuata sharti.

Bila kugeuka nyuma wote tukatoka nje ,tukafunguliwa geti dogo haooo hadi bara barani akasimama na kunambia " bado hutakiwi kugeuka na kulia ni mwiko "

Nikajibu sawa ,bajaji ikaja tukapanda safari ya kuelekea nisipo pajua ikaanza .

Hatua mpya kurasa mpya 😊.


ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10


SONGA NAYO.................

Kauli ya ole wako uinuke na inuka zilikuwa nyingi hadi nikahisi kuchanganyikiwa ikawa ni mwendo wa simama kaa kama mtoto wachekechea .

Mwisho Aunt Vero aliingilia kati na kusema " Dada!! Alvin yuko sahihi ,muache mtoto wawatu "

Kauli ya aunt Vero ilimfanya madam akaachana na Alvin na kuhamia kwake, kwa hasira akamuuliza " Vero unasemaje!! Ina maana unamuunga mkono huyu mpuuzi?"

"Sio kwamba namuunga mkono , sikia shoga angu Wardah bado ni mdogo mno hastahili kukaa kwenye nafasi unayotaka kumueweka "

"Eti mdogo anaudogo gani huyu ,na kwanza yeye kuwa mdogo au mkubwa vinanihusu nini mimi? .

Embu acheni upumbavu wenu basi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

1.16K
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

612
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

576
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

573
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

206
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4

116
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

89
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

79
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

58
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

57

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.33K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. “Working with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest