FROM BANGI TO BABY ๐๐ SEHEMU YA 6
Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii ..
Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale wanawake jamani wapo uch uch tu daah najikuta natamani hata kulia sa anawezaje kwenda sehemu kama ile eti kujipumzisha mmh
Usiku nikaona simu inaita D ananipigia nikaipokea haraka harakaaa, Ajabu hakuwa D nikakutana na sauti ya Veda, Ooh akaniuliza swali moja tu "umefika salama??" Nikasema " Ndio D yu....." Nikasikia Tii tiii mweeh simu ishakatwa hee kwahiyo katumwa aniulize au vipi, Nikaanza kupiga simu haipokelewi, nilipiga sana haikupokelewa tenaa daah .
Nikajuta yaani nilitamani hata nisingejua tu D alipo, Basi nikalala zangu sa ningefanya ninii , mpaka naamka asubuhi sikukuta hata simu ya D jamani nikapiga tena haikupokelewa , mie nikajiandaa zangu nikaenda kazini, nikasema sitapiga tena simu .
Kaja kunipigia simu mchana nilikuwa na hasiraa, nikaipokea huku nimenunaa hatari
"Halo.!'" Yaani haloo ilikuwa kavu hatari nimekasirika sijawahi
"Mke wangu ...mrembo wangu Vero wangu nimekumiss ujueee " heheh nyie haha yaani hata nguvu ya kuchukia nilikuwa nayoo sasaa nikajikuta nacheka akanambia
"Umekula mamaa eeh'" wee sa ngap isije sauti ya kudeka
"Hata sijala we jana umeniudhi sanaa" yaani hapo nimelegea hatari
"Came on mke wanguu kwanini sasa unajitesa okay naomba unisamehe kuhusu jana eeh'
"Mie sipendi bwana uwe unaenda hapo D mie sipendi bwana "
"Nimekuelewa mama watoto wangu Sitaenda tenaa sawa eeh"
"Sawaa kwahiyo upo wapi??"
"Ahm nimetoka Godaun hapa nilienda kukagua gari si unajua hawa vijana bwana hawa aah soon utaanza kusimamia wewe ma mtu" mie tenaa hapo nachekaaaa yaani laiti ungeniona heheh maharage kg 50 nikipewa kuhesabu bila shaka nitakupa idadi yake kamiliii ..
Tukaongeaaa jamani hapo akanibembeleza niende kula kudeka sasa, akanitumia na hela niende kula mie li kichwa paaaa!!
Nikala kwa mapana 60, Sasa tangu baby kaja hatujanyanduana ujue na aliondoka umekuwa muda kweli mie binafs nilikuwa nishamiss dudu hivyo, Nikapanga nikitoka kazini jioni niende huko nikalale kesho niamkie kazini, Wakati natoka kazini nilimpigia sana simu hakupokea unajua kawaida mana ni mtu ambae yupo bize sana ndo mana nikasema mie ananipa muda mchache wa kuwa nae ila kama tutaoana inamaana nitamuona zaidi kuliko sasa tunavyo ibana ...
Nilipoona hajapokea simu, mie nikaenda mpaka nyumbani nikaoga vizuri mtoto wa kike unyunyu kama wote bwana eeh nikachukua vishanga vyangu nilivinunua kitamboo nikavitunza mpaka siku D aje ndio nitavaa kwa ajili yake, basi mtoto wa kike leo ndo nikavaa nikatafuta na gauni yangu nzuri ya mpira lainiiii, halafu sikuvaa Hata pichu ili nisimpe tabu kuhangaika , nilitaka akutane na tamu yake live liveee hahah nyie nilikuwa na upwiru na ile kum_miss Ba mtu imekuwa muda mrefu hahah basi bwana vinyunyu kama vyooote yaani nilihakikisha nanukia mpaka uch hatariiiiii hahaha .
Nikapanda gari yangu nikasema kwake napajua ya nini sasa nihangaike na kumpigia simu jamani wakati mie ma mtu ndio mwenye mjengo tenaa ...
Safari mpaka kwa D, Nikakuta gari yake ipo nje nikajua yupo nikapack mbele kidogo mana ile gari yake iliziba geti,
Wakati naikaribia ile gari nikashtuka kumuona Veda amesimama nje ya gari ameegamia anavuta mibange yake yaani huyu kaka na Bangi jamani khaaa!! Mie hapanaa jamani ..
Alipo niona alishtuka akaniuliza "Umekuja kufanyaje hapa!!" Khaa!! Nikamshangaa sa ananiuliza hivyo kama nani kabla sijajibu akanivuta mkono
"Hutakiwi kuwa hapa'" ananivuta kunipeleka kwenye gari yangu , nikauuvuta mkono nikamuuliza "We kama nanii??"
Akaniachia "Sikiliza sipo hapa kukubembeleza sawa Ondokaaa!!" Akaongea kwa ukaliii amenikazia jicho mama limenoka bangi tu
Bado natafakari huyu amekubwa na nini leo nashangaa mlango wa gari ya D umefunguliwa akashika D na wadada wawili jamani jamani jamaniii amelewa yupo pwiiii wale wadada ni wanamatako hadi yanawashinda kutembea walivyovaa nusu uch kabisaa yaani wapo wazi sehemu kubwa ya mwili jamaniii wamemshika huku na huko yaani kimahaba kabisaa
Baada ya wao kutoka akatoka tena mdada mwingine nae ameshika chupa za pombe kali yaani kazibebelea mpaka zingine zinamshinda daah ..
Wale wadada wanatembea huku wanamchezea mwingine kifua mwingine shingo jamanii, nilisikia aibuuu haswa mbele ya Veda dah nilijisikia aibu, hasiraa na uchungu huko humoo
Machozi yakaanza kunitoka miguu inatetemeka, nilitoka mbioo hata kabla hawajalifikia geti nikamvuta D kwa nguvuu nusu aanguke nilishika shati nikavuta kwa nyuma wote wakayumba yumba
Veda hana hata habar akasimama pembeni anavuta bangi yake kama mtu asiyejali chochote, kana kwamba pale hakuna kinachoendelea
D alipo niona alishtukaa Alishtuka ghafla kama mtu aliyemwagiwa maji baridi.
โVโฆVeroโฆ??โ
Itaendelea.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni