Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikasem na mm pia simkumbuki. Rahul akasema unamkumbuka mma.si yule alikua nanibeba . Nikasema simjuh mbona unanilazimisha. Mwanangu si ndo akakumbuk akasema ni elly bibi. Anaitwa bab elly. Uzuri sasa mimi nikiwa na mlige. Nimezoea sana kumuita jina lake lenyewe elly.so mma ili jina halijui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Mama akasema mtoto maraya wew. Umeshapata bwan mwengine anaitwa elly si ndio mie kimya. Mama aksema sawa umwambie waje nyumbani kukutole posa sio kukuchezea uko watakupanua harka. Mshenzi wewe. Mie kimyaaaa ila raul anakumbuka jaman. Khaaaa kama katumwa. Mama akanisema pale kisha uyo akatoka ndani. Asee nikamsogela rahul nikamfinyaa shavuni. Heee si kaanza kulia. Namsikia mam unampiga mtoto si ndio . Nikasema hapana mama kaanguka mimi wala sijamfanya kitu

Heee mwnagu nae et bibi ananifinyaaa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Mama akaja kumchukua. Et twende uku mchumba wangu achana na hilo shetani. Akamchukua akaondoka nae. Akaenda kulala nae chumbani kwake. Basi na mie nikajipumzisha nikiwa na mawazo mengi. Kweli bwana nampenda na ata mlige aananipenda sana .ila kuwa pamoja itakuwa mtihani . Mh basi nikajilalia zangu asubuh nikaamka na kazi zangu. Mida ya saa 4 hivi naona mlige ananipigia . Nikaenda kupokelea chumbani kabisa. Akanmbia vp mchumba unaendeleaje.nikasema.niko powa vp ww. Akanmbia niko powa . Vp bi mkubwa hajazingua.nikasema hapana wala sio sana ila sasa rahul si kakutaja uku. Mlige akacheka akanmbia wee sure. Nikasema.ndio ila kakutaja kwa jina la elly mama ajajua. Mlige akasema ata kama atajua ni sawa tu mi sijali kiukweli. Nikasema.no mlige una mke wewe. Akanmbia nakumbuka sasa mbona unanikumbusha. Mh nikabaki kimya akanmbia uwe na siku njem nakupenda sana faridah..nikasema powa .kisha nikakata simu. Nyieeeeee achenii

Kuanzia apo shoga yenu penzi na mlige likaludi kama kanitia bikra jana. Yani lilijaaa aswaaaa. Baba kanipenda kanipenda kweli. Mahaba kama yotee. Na pesa ananipa sana. Nyieee na mimi nikaanza kuonekana mwanamke. Na mambo yake kama kwa ni mwanza ndo tunaenda kufanya yetu. Ikawa sasa namuacha mtoto naenda mwenyewe uko nakaaa ataa weeek . Ila sasa nikawa nazuga bwana akiludi mimi nabaki ata siku 3 ndo naludi. Kumfanya yusta asistuke. Ila mlige wee uyu baba kwa kunipenda sio siri. Kwanza akiwa na mm ni ana rahaa mnoo. Tunacheka na kufurahii. Namtania hivyo .japo ananambbia we skkuamini najua ukipata mwanaume wakunizidi unaniacha. Nakuwa naumia na ayo maneno ila sina cha kufanyaaaa. Shoga yenu nikawa mchepuko aswaaaaaa ikapita kama miez 2. Mie mchepuko wa mlige. Na pesa annipa. Apo mama anajua nna bwana anaitwa elly yupo mwanza . Ana gari . Kumbe ndo mlige🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

Basi siju iyo sasa nipo nyumbani naosha vyombo. Mh najisikia kichefu chefu kweli kweli. Nyieeeeee nikajua apa mamb yashatiki mana kwanza sikuwa najielewa. Na mlige alikuwa nafosi kinoma kuzaa na mie. Yani alikuwa hataki kumwaga njee kabisa. Na mie wala sikuzuia. Niliona ata nimfurahishe kwa hili uyu baba. Kama kuzaa nae basi saw tu. Na kweli nilivyoona vile .mie niikaenda kujipima . Weeee mzigo umetiki. Dr akanmbia ina mwezi na week 1. Basi mie nikamtumia sms mlige nikamwambia mana nilikuwa na uwa kika kwa uo mda atakuwa kazini. Nikamwambia mimi nimepima leo ni mjamzto. Wee mlige akapiga simu mda uo uo. Natweta. Et faridaha plsss hakuna kutoa mimba nasema hakuna kutoa.mimba khaaa kwani mie nimemwambia nataka kutoa mimbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Nikasema sitoi mbona una presha elly. Akanmbia uko wapi. Nikasema home akanmbia sawa usizulule plss isije kutoka. Nyieee mpaka nikacheka yani nilijua uyu baba alikuwa na kiu ya kuzaa na mimi aswaaa.

Basi shiga yenu nikaanza kulea mimba ata mama sijamwambia . Nyiee baba anatuma pesa kama chizi. Sikua na shida ata. Nikanenepa na nikapendezaa. Mie wala sikuwa na shida kwanza nilikuwa na heshima. Namba ya mlige kwenye simu yangi sijasevu kabisa. Na nikichart nae nikimaliza nafuta. Sijuh yeye sasa uko. Ile mimba ilivyofika miez 3 .mama akanigundua. Nikamwambia ahaa mama. Ndio mimi mja mzito ila alonipa mimba anaitwa elly amesafiri tu . Ameenda Congo ila akiludi anakuja. Mama alinambia we nyots yako ya kuzaliswa nyumbani sawa sina cha kufanyaaa. Mh mie nikaanza kuangaika na mimba yangu. Hii mimba ilinipenda wala sikukonda na kuumwa kama rahul hii mimba nilipendeza. Niliwaka . Mtako ukaludi. Apo sasa ndo mlige ana shida kila week end anataka tukalale wote . Et anataka joto la mwanae. Mpaka nikawa namsema kwamba mkeo atajua ahaa wapi wala hataki ni mbishi jamnai.

Siku iyo sasa nimetoka road. Nikakutana na yusta naona alienda kuangalia maduka ya mumewe. Basi nakwambia alivyoniona akanambia we dada mbona umependeza hivyo na una mimba. Nikasema ndio nn mimba . Akanmbia wewe mbona umependeza sana . We hutembei na mume wangu kweli wewe. Nikasema kwani mumeo maraya. Mbona una muhisi vibaya kila ukiniona.kwanza nna mda sana sijaonana nae uyo mlige sijuh ata anafananaje. Na hii mimba shiga nataka kuzaa mtoto wa pili na baba rahul kaludi wala usijipe presha aknmbia ahaa kumbe sawa. Ila mie nikisikia unatembea na mume wangu nakwambia kutakucha yani ntakiwasha hautaamini. Mie wala.sikumjibu nikaondoka zangu mana sikutaka maneno mengi.

Nikapambana na kulea mimba mpka mimba ikafikisha miezi 4. Nyie apo mlige nikiguna tu . Ananipa nnacho kutaka. Yani mapenzi alinizidishai mpka nikawa namshangaa kwamba uyu ana moyo wa aina gani. Yani hajapungiza ata kunipendaa mimi uyu baba. Na hivi nma mimba yake ndo kabisa kachanganikiwa mnoo. Basi siku iyo nikampigia simu nikamwambia nataka ela ya saloon. Nilimjalibu tu .mana pesa ya matumizi alishanipa. Akanmbia sawa unataka sh ngapi mke wangu . Nikamwambia yoyote akanmbia sawa. Akata simu ikaingia laki 2. Et kasuke mke wangu upendeze zaidi. Mie nikamwambia asantee. Basi mie . Nikafanya kazi zangu . Nikajiandaa uyo nikaenda zangu sallon..nimefika pale . Namkuta yusta ndo anasukwa. Mh ikabidi mm nisubiri nikaaka kwa pembeni. Na wadada wengine . Mh akaanzaa yani mie mume wangu ananipemda jamanii . Yani apa kanipa laki 3 ya kuja kusuka tu. Sijuh anipa sna pesa. Sihuh kwangu apumui. Sijuh nimemkamata. Basi nakwambia menno kibao.na mwenye saloon ana msupport na kweli mtuuu wako hana bayaa. Anajua kukupendaa. Basi sindo kaniona mie . Anajua kujielezea. Mie niko pale pale .mumewe ananipigia. Wala sijuogopa nikapokea. Nikasema ndio baby. Akanmbia ushaanza kusuka..nikasema hapana akanmbia asa kama kuna foleni nikupeleke ukasukr nyakanazi basi. Usiumie kiuno kukaaa apo.

Nikasema hapana mpenzi . Ntasuka apo apo .akanmbia swwa mida nikasema powa .mh yust akanmbia weee baba rahul uyoo. Nikasema ndio .akanmbia aya bwana.naona kakutelekeza ata kukufata hataki mpaka umekuw mwanakijiji. Mie kimyaaaa.akanmabia naona na sasa hivi ndo kakulidia mana apa kati ulipauka. Mie kimoyoni nasema ungejua ww. Mumeo Mumeo ndo mwenye huu mtumbo wala usingeongea . Akasuka zake ananikashifu mpka kamaliza .uyoo akamlipa yule dada akaniaga akasepa zake.mie ndo nikaanza kusukwa .yule dada akanmbia pole shogaaa. Najua ulijuwa unapigwa vidongo wewe na shoga yako.nikasema nishayazoea ya dunia. Akanmbia uyu tushamzoea wenzio. Anapenda kujisifia na uyo mumewe . Wakati nasikia hapendwi ata kidogoo. Bwana hamtaki ata. Ila yeye ndo kajing'ang'aniza. Sijuh ndo kafata pesa. Mh kwani na wewe si umchukue uyo mlige . Umkomeshe uyu. Nikasema wala sitembei na waume za watu. Yule dada akanmbia ahaaa tunakoma wallah . Mh anajua kujisifia dada. Mpaka mambo ya ndani kuna siku anakuja anaanza kutwambia leo mume wangu kanitomba mpka nimechanganikiwa . Asa wapi na wapi jamani. Mh mie nikabaki kimya. Nikamwambia dada nisuke niondoke . Mana ata sijielewi. Sikutaka umbea wa masaloon nikaja kusutwa mie

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


profile
Said 20 Feb 2026 07:48
hatar kibend tumepat
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112


Nikasem na mm pia simkumbuki. Rahul akasema unamkumbuka mma.si yule alikua nanibeba . Nikasema simjuh mbona unanilazimisha. Mwanangu si ndo akakumbuk akasema ni elly bibi. Anaitwa bab elly. Uzuri sasa mimi nikiwa na mlige. Nimezoea sana kumuita jina lake lenyewe elly.so mma ili jina halijui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Mama akasema mtoto maraya wew. Umeshapata bwan mwengine anaitwa elly si ndio mie kimya. Mama aksema sawa umwambie waje nyumbani kukutole posa sio kukuchezea uko watakupanua harka. Mshenzi wewe. Mie kimyaaaa ila raul anakumbuka jaman. Khaaaa kama katumwa. Mama akanisema pale kisha uyo akatoka ndani. Asee nikamsogela rahul nikamfinyaa shavuni. Heee si kaanza kulia....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-111-na-112

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

1.23K
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

908
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

278
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

251
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

248
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

178
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

121
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

119
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

109
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

107

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.39K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.83K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS 🥰 yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest