Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi bwanaaa . Huba kilichanua aswaaa mnajua lilichanua. Pesa ndo napewa mpaka.nasema iki nn. Basi nampa mama anapokea uku anachamba et ohhh pesa nachukua ila ukipata mimba utajua unaongeaje na baba yako. Yani kuna jinsi mama alishayapitisha mahusiano yetu . Ila ile kusema ndo hakuwa anasema sijuh alikiwa ananiona bado mdogo . Mana ata week end nikitaka kwenda kwa mlige. Namuaga anakubali vizur ananisisitiza tu niwahi kurudi. Basi naondoka zangu..kiukweli mimi.na uyu baba tulipendana aswaaa . Kila mtu alikuwa hoi kwa mwrnzio. Ni kweli mlige ni mkubwa kwangu . Ila.anaheshima sana na mm. Ananisikiliza sana..na ikatokea kankwaza .mlige Kupiga magoti sio shida zake. Tena nikimkazia ata lia na kulia apo yani alikuwa ni mdhaifu sana kwangu. Ananipendaaa sana uyu baba. Nadeke nnavyotaka mpaka nilikuwa nanenepa .na mboo nishizoea mie. Naikalia vyovyote basi ndo nazidi kumchanganya. Ila sasa na mm nikizingua ww kinawaka.

Mlige ni mkari mpaka nakuwa naogopa. Namuomb msamaha yanaisha ila ikiwa kesi ya wivu. Yani kakauta sms haielew kwenye simu yangu weee ntaeleza apo. Ntajielezea mpaka nikome ndl anaelewa .na atanipiga mikwara kibao .ila tunapendena sana. Nyieee ikapita miezi 2 mie nipo home tu. Nafanya mambo yangu. Week end ndo kwa baby . Ila silali. Ataa. Basi siku iyo ilikuwa mida ya saa 4 asubuh hivi. Nilikuwa naosha vyombo.nikawa nasikia kasimu kangu kanaita. Mama akanmbia we simu yako inaita uko. Atakuwa ni.mlige tu. Kwan kuna mwengine wa kukupigia ww. Mie nikacheka mana nishazoe mipasho ya mama. Labda baba akiwepo ndo atanyamaza. Basi mie nikavuta simu..na ilikuwa j tatu yupo kazini najua kwa uo mda . Basi nikapokea simu kisha nikase.a hallow. Akanmbia aseeeeee ebu chagua mke wangu . Nikupeleke wapi tukaspend tu next week. Mie nikacheka.nikamuuliza kuna nn kwani. Akanmbia najivunia ww mama. Matokeo yametoka umefauru una division one ya 12. Nyie nilipiga kelele za furaah. Nikasema.mlige unanambia kweli akasema yaa na yusta ana one ya 17. Najivunia nyie . Mchagua sehemu kwanza leo niwatoe out .nimefurahi sana..kisha nna zawadi yako nzuri sana mke wangu. Umenifurahisha na nakupenda sana. Aseeeee nilifurahi jamani. Mama kaja aniuliza we vp mbona makelele

Nikamlukia. Kwa nguvu nikasema mama nimefurahi jamni.nimefauru mm. Nimefauru mama. Nimepata division one. Eehh mama alifurahi mnoo. Akanikumbatia kwa nguvu. Akasema.jamani jamani. Nina rahaa leo nakuchinjia kuku mwanangu. Jamanii nilifurahii hii siku. Mzee nae mda uo uo analudi anakutana na habari njemaa. Ahaa baba alifurahi sana
Akasema nishaona kabisa mwanangu unaenda kuwa doctor. We unaenda kuondoa umaskini wote nyumbani kwangu. Yani ilikuwa rahaa. Kaka zangu wakapigiwa . Wakafurahi mno. Na pesa walinitumia kama.zawadi jamani. Yani hii siku nyumbani ilikuwa rahaa tu. Na kweli nilichinjiwa kuku. Mie sikungoja ata kuku wao kwanza nikaenda kwa kina yusta. Nakuta na yeye ndo anashangaalia kashaona matokeo yake.nyie tulikimbatiana kwa kuluka luka mnoo .ilikuwa rahaa sana . Yani ilikuwa rahaa mnoo jamani.

Basi bwana . Mchana mie na yusta tukaenda kula kwetu. Wali kuku. Yani ilikuwa rahaa kinoma noma . Basi jioni kabisaa . Mlige akanipigia simu yupo road ananingoja. Basi nikamuaga mama naenda kumuona mlige mala moja. Mama akanmbia ole wako uchelewe sasa kajifanyeni mnajua kupongezana. Mie kimya nikatoka na yusta mpaka alipo mlige. Aseee mlige alitupongeza sana.. na alikuwa kafurahi mnoo. Basi akatutoa out . Akatupeleka runzewe town pale.tukaingia kwenye mgahawa. Akasema kila mtu aagize anachotaka. Basi tukaagiza tena . Apo sasa tukala nyama choma.aseeee mlige alifurahi sana. Alinambia najivunia ww. Alitamani kuwa na mm sana ile siku. Ila aknmbia usipolala home haitakuwa sawa ngoja tu uludi nyumbani na kweli saa 2 usiku akatulidisha mie nikaludi nyumbani.

Baada ya apo sasa . Nikawa nipo nyumbani na shoga yangu yusta tukisubili shule tutakazipangiwa. Basi ndo hivyo apo mama mkwe alinipigia na akanipa hongera sana akanmbia amefurahi sana kwa mie kujitahidi na kufauru mitihani yangu. Aseeee ilikuwa rahaa mnoo. Na mam mkwe alinmbia et ntkupa zawadi . Basi nikamshukuru tu. Na kweli alinitumia elfu 70. Et ninunue nipandacho . Nikamshukuru sana mama. Basi bwana mda ukapita kama.mwez hivi. Na shule zikatoka sasa. Mh yusta alipangiwa shule moja ipo dodoma inaitwa kondoa girlss. Na mimi ni
Kapangiwa shule moja ipo mwanza . Inaitwa bwiru girlss. Basi tukafurahi sana . Yani sana tu. Apo mama hana ata presha anajua wa kunisomesha yupo tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Basi mlige akanmbia tulia . Kuna mambo naweka sawa ntakuja kuongea na ww na wazazi kuhusu masuala yako ya shule. Nikasema sawa . Basi siku iyo sasa mlige ndo kaja nyumbani alafu ata hakunambia kama anakuja kabisa. Na alikuja mida ya usiku kama saa 2 na mzee yupo . Basi mie nilishangaa nilivyomuona mana hakunipa taarifa kuwa anakuja. ila nikamsalimia nikajifanya kama simjamzoea mzee si yupo pale.kumbe namchezea mpka mapumbu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Basi mie nikaingia ndani. Nikampa nafasi mlige aongee na wazee. Mh . Na nilivyombea nikaenda kukaa dirishani nisikilize kwanza wanaongea nn . Nikamsikia mlige anasema ahaa wazee wangu mm nimekuja apa ni juu la suala la kusoma la faridah. Ahaa faridah ni binti creative sana anayejitambua na anayefanya vizuri sana shuleni. Lakini kama mwalimu wake mi sijaipenda kabisa shule ambayo faridah kapangiwa . Kwaiyo mi nahitaji kumsomesha faridah katika shule nzuri ya private. Apate elimu nzuri na bola. Na gharama zote za yeye kusoma na kila kitu zitakuwa juu yangu. Nyieee mie mwenyewe nilishangaa. Yani hataki nikasome ya serikalo tena.Baba aksema ahaa mlige una moyo mzuri sana. Ila mbona mpaka unapitiliza kwa faridah . Mbona imekuwa mwema sana kwa faridah. Ni aya aya . Au una mpango mengine na faridah zaidi ya hii. Ila baba kama alimstukia hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Mh mlige nae ni msanii. Alimsaundisha mzee kweli kweli . Akajifanya yeye wala hana nia mbaya na mm ni vile anataka kunisport tu. Na mama akakazia na akamshukuru kweli mlige Aksema yeye hana shida . Kama.ni sula la kimsomesha wala hana shida kabisa. Na mzeee akasema.sawa hakuna shida kabisa kijana wangu . Na mungu atakulipa sana. Mungu akusimamie mnoo. Basi baada ya maongezi yao .mama akaniita .mie ndo nikatoka akanmbia nipakue chakura mgeni ale ndo aondoke. Na kweli mie nikafanya hivyo. Baada ya chakura sasa. Mzee alinambia faridah katika watu unapaswa uwaheshimu na kuaona wa thamani basi ni mwalimu wako mlige anakupenda sana na kukutakia mema mnoo. Mie kimoyoni nacheka anavyonipenda ata kosa kuwa mwema kwangu. Nikimnunia anvyohaha chezea mie wee. Basi baba akanieleza nia ya mlige ya kunisomesha shule ya private. Mie nikasema.sawa baba ntasoma sana na nikamshukuu sana mlige.basi mama anatuchora tu si anaelewa show yote. Mzee ndo haelewi tu . Ila mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Basi mlige tena hakuendelea kukaa sana akaaga zake kuwa anahitaji kwenda sasa. Na mama na mzee wakamruhusu akondoka. Basi mie nilivyoingia chumbani .nikampigia simu sasa mlige nikamuuliza kuhusu iyo shule anayotaka kunipeleka akanmbia ondoa shaka .kuna shule moja ipo singida. Inaitwa st camilus ndo nataka ukasome apo ni shule nzuri sana. Mh nikamuuliza ada ni shangapi. Akanmbia unataka kunisaidia kulipa mke wangu . We ondoa shaka ada mm ndo nalipa na wala.sio nyingi ni milion 7 tu kwa mwaka. Mh uyu baba ana balaaa. Milion 7 ananilipia adaa. Hivi nisipo mpa upendo wa dhati uyu mwanaume nimpe nn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52



Basi bwanaaa . Huba kilichanua aswaaa mnajua lilichanua. Pesa ndo napewa mpaka.nasema iki nn. Basi nampa mama anapokea uku anachamba et ohhh pesa nachukua ila ukipata mimba utajua unaongeaje na baba yako. Yani kuna jinsi mama alishayapitisha mahusiano yetu . Ila ile kusema ndo hakuwa anasema sijuh alikiwa ananiona bado mdogo . Mana ata week end nikitaka kwenda kwa mlige. Namuaga anakubali vizur ananisisitiza tu niwahi kurudi. Basi naondoka zangu..kiukweli mimi.na uyu baba tulipendana aswaaa . Kila mtu alikuwa hoi kwa mwrnzio. Ni kweli mlige ni mkubwa kwangu . Ila.anaheshima sana na mm. Ananisikiliza sana..na ikatokea kankwaza .mlige Kupiga magoti...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-51-na-52

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.34K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.26K
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

333
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

153
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

144
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

90
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

16
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

15
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14

14
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.55K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest