Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari ๐Ÿš™ lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula cha usiku. Mamkubwa alirudi usiku ๐ŸŒƒ alikuta tayari nimeshapika tayari. Mwenzetu umepata wapi hela ya chakula ๐Ÿค” , Denis alikuja kunisalimia ndio kanipa hii hela amesema anataka anisomeshe unanishauri nini mamkubwa. Kubali tu mwanangu ili utimize ndoto zako si unaona maisha yangu yenyewe hayana mbele wala nyuma labda utakuja kutukomboa . Sawa mama nimekuelewa, ila tu jichunge na mimba utakatiza ndoto zako zote sawa mamkubwa sitakuangusha.
Usiku nilimtumia Denis ujumbe kuwa keshokutwa nakuja kukusalimia , moyoni nikasema atajua nachomaanisha yeye sio mtoto bora tu nimpe mwili wangu nisijibane sana.Mwisho wake aghairi kunifanyia alichoniahidi basi kesho yake nikaenda zangu hospitali kuweka kijiti cha miaka mitano na hivi mamkubwa alinisisitiza kuhusu mimba nikaona hapa nijichunge nikarudi nikanyoa msitu wa amazon nikasubiri hiyo kesho ifike.


Kesho yake bahati nzuri ilikuwa weekend hivyo niliamka asubuhi ๐ŸŒ„ na mapema nikafanya usafi nikajiandaa nikawa namsubiri Denis aje kunichukua, hakuchelewa akaja karibu na nyumbani ๐Ÿก tukaondoka zetu .Tulifika kwake akanikaribisha ndani leo sikuwa mgeni sana , Vipi umekunywa chai ๐Ÿค” Denis aliniuliza hapana sijanywa bado . Kila kitu kipo jikoni hapa ni kwako unaweza kupika chochote nilifanya shopping kwa ajili yako mama, Sawa nilisimama nikaenda jikoni kuandaa chai nilivyomaliza nikaandaa nikamuita aje anywe. Wow umepika chapati tamu ๐Ÿ˜‹ kumbe nimepata mke anajua kupika Denis alinisifia niliishia kutabasamu ๐Ÿ˜† tu asante ๐Ÿ™ mke wangu nimeshiba leo. Asante na wewe kwa kushukuru niliondoa vyombo nikaenda kuosha kisha nikaenda kukaa sebuleni nilimkuta ameweka movie anaangalia na mimi nikakaa tukawa tunaangalia wote akanisogelea akaniweka kichwa changu kwenye bega lake, tuliangalia hadi mida ya mchana nikaenda kupika chakula cha mchana kilipoiva nikamuita ili ale, tulikula pamoja tulivyomaliza nilisafisha akaniambia tuende tukatembee mahali nikamkubalia akanipeleka beach kushangaa maji ya bahari huku tunapiga story hadi giza lilipoanza kuingia tukapitia hoteli kula kisha tukarudi nyumbani ๐Ÿก kwake hapo ni saa mbili za usiku ๐ŸŒƒ nikamtumia mamkubwa ujumbe kuwa sitarudi leo akanijibu tu sawa ila kuwa makini, Denis muda huo yeye alikuwa yupo chumbani kwake mara akatoka akaja sebuleni .
Mbona umekaa tu sebuleni karibu chumbani au unaogopa ? Denis aliniuliza huku akinipa mkono akinipa ishara niinuke nilisimama, hapana siogopi nilikuwa nasubiri ruhusa yako nilimjibu tukaelekea chumbani kwake , badilisha nguo tukaoge basi nilimjibu sawa huku naona aibu . Denis alivua nguo mbele yangu bila hata ya aibu akavaa taulo akatangulia bafuni hapo na mimi nikapata mpenyo wa kubadilisha nguo zangu nilivua nikavaa taulo nikamfuata bafuni nilimkuta yupo kwenye sinki la kuogea ๐Ÿ›€sijui ndio mnaita hivyo ๐Ÿ˜† ushamba

mzigo kajaza mapovu hadi juu mengine yanamwagika njoo usiogope Denis aliniita.

12

Denis aliniita nilivua taulo nikaingia na mimi tukaanza kuogeshana alikuwa ananishika sehemu mbalimbali za mwili nilibaki nasisimka tu mimi kumshika nilikuwa naona aibu , tulimaliza kuoga tukarudi chumbani tulifikia kitandani nikamwambia azime taa ya chumbani kiukweli sipo comfortable alienda kuzima taa akaja kitandani akawa ananifuta maji kwenye mwili wangu mara akalitupia pembeni akanisogelea akaanza kunibusu mdomoni nikampa ushirikiano tukaanza kunyonyana taratibu akanilaza kitandani akaanza kunilamba mwili wangu kila sehemu ,akaja kwenye maziwa hapo nikahisi kupagawa . Tulikuwa tupo hoi Denis aliingiza mb** yake kwangu ikagoma kupita alijaribu tena na tena hadi nikaanza kuhisi maumivu makali sehemu zangu za siri , pole mke wangu inauma ila naomba ujikaze ukizoea ni tamu ๐Ÿ˜‹ sana , nikamjibu kwa ishara sawa huku machozi yananitoka ๐Ÿฅฒ mara kitu kikaingia nilihisi maumivu ila mwenzangu alifurahia utamu aliokuwa anausikia alijikuta anapiga kelele akamwaga hapohapo wazungu huku akinishukuru, Asante ๐Ÿ™ mke wangu mzuri nahaidi kukupenda siku zote za maisha yangu hamna kitakachotutenganisha mimi na wewe. nilimjibu tu sawa Denis aliniinua kitandani akanipeleka bafuni kuniogesha kisha tukarudi chumbani alitandua shuka lile maana lilikuwa limechafuka , ili shuka lina historia kubwa sana kwetu nitalitunza na kuliheshimu i'm proud of you Nelly kuwa na imani na mimi nakupenda โ™ฅ๏ธ sana , alitandika shuka lingine nikalala akaenda kuniletea dawa ya maumivu ninywe nilikunywa kisha nikalala nikaona hapa kweli nimepata mwanaume nahaidi kumpenda na kumuheshimu siku zote za maisha yangu. Nilikuja kuamka asubuhi sikumuona Denis niliamka nikaenda kuoga bafuni kisha nikatoka sebuleni nikamkuta ameniandalia chai ya maziwa mikate na mayai, karibu chai mke wangu pole na uchovu wa jana alinisogelea na kunibusu kwenye paji langu la uso nilikunywa chai . Nilivyomaliza akanirudisha nyumbani ๐Ÿก kisha yeye akaenda kazini alikuwa anaingia shift ya mchana,
Nilimkuta mamkubwa yupo amekaa nje nilimsalimia kisha na mimi nikakaa chini, huyo mkwe hajataka hata kuja kunisalimia jamani ๐Ÿค” yupo bize atakuja siku nyingine kasema ili muongee kuhusu mahitaji yangu .

13

Sawa namsubiria mamkubwa alijibu nilitoa mkoba wangu nikatoa hela nikampa mamkubwa ya matumizi hiyo mama. Asante ๐Ÿ™ mwanangu ndio ninapokupendea hapo tu sio mbahili kabisa Mungu akupe hitaji lako , Amen ๐Ÿ™ mama yangu dua imepita hiyo...
Basi Denis alikuja nyumbani ๐Ÿก kwa mamkubwa kujitambulisha kisha wakakaa kuongea mwishoe walikubaliana mama akaniruhusu nikaishi na Denis ilipofika mwezi wa saba alinitafutia shule moja ipo bagamoyo.

Nilienda kuripoti shule yeye alisimama kama kaka kumbe ni mpenzi wangu ๐Ÿ˜‚ , nakusisitiza usome kwa bidii sijataka uwe na mambo mengi ndio maana nimekuleta shule hii ya wasichana pekee. Siwezi kukuangusha nitajitahidi nakupendaโ™ฅ๏ธ sana , nilimjibu Denis . Sawa ubaki salama mimi naenda likizo nitakuwa nakuja kukuchukua , Denis aliondoka akaniacha shule na hivi nilikuwa na uchungu nilikuwa najitahidi sana kusoma tulivyofanya mtihani matokeo yalikuja mazuri kweli hapo Denis akawa na imani na mimi likizo yote tuli spend pamoja tulikaa kama mke na mume nikarudi shule zilivyofunguliwa. Hatimaye nikamaliza five na six ndani ya hiyo miaka miwili akaanza kunifuatilia mambo ya chuo akanipigania hadi nikapataga mkopo kwa asilimia hamsini nyingine akawa anatoa yeye mwanzoni nilikuwa naishi naye akaniambia mdogo wake anataka kuja kuishi pale na nyumbani ๐Ÿก akinikuta lazima atamwambia mama yake kibaya sitambuliki ni bora anipangie chumba karibu na chuo atakuwa anakuja kunisalimia hadi pale atakaponitambulisha rasmi, kwangu mimi niliona sawa sikutaka mama yake ajue kwa sasa kama tuna mahusiano lazima tu na mama wa kambo angejua maana ni shoga yake yule mipango yangu ingeharibika tu wakati ndio kwanza naanza.

Basi akaenda kunitafutia chumba akanilipia kodi ya mwaka mzima akawa anakuja akinimisi sex kwangu haikuwa kipaumbele sana .

14

Mungu alisaidia nikamaliza mwaka wa kwanza salama nikaingia mwaka pili nao nikamaliza kimbembe kikaanza mwaka wa tatu, Siku hiyo alikuja kunitembelea ilikuwa mida ya jioni ametoka kazini Denis akaniambia anataka sasa anitambulishe rasmi kama mchumba kwa mama yake. Vipi kama mama yako akinikataa Denis ๐Ÿค” nilimuuliza, mama yangu hawezi kukukataa kwani umemfanya nini hadi akukatae kuwa na amani soon nitakuchumbia ๐Ÿ’tuoane tu tuwe mke na mume rasmi, mhh sawa nakusikiliza wewe tu.
Mbona kama hauna imani na mimi Nelly ๐Ÿค” ninayo Denis nilimjibu huku nikimlalia kifuani , alinigeukia kisha akaanza kuninyonya mate hapo hapo nikalegea mtoto wa kike tukavunja amri ya sita , mida ya saa mbili usiku ๐ŸŒƒ akaondoka kwake.
Siku zilisonga ikawa imebaki semester moja tu ili nimalize masomo yangu .

Denis akaanza kubadilika anaweza kukaa hata wiki nisione pua yake habari za kunichumbia zilikufa hata haongelei tena yeye akija ni sex tena kimoja huyo anaondoka zake , usiku nikipiga simu ๐Ÿ“ฑ muda mwingine inaita tu au haipatikani kabisa.
Nikajikuta nina mawazo kweli nikimuuliza kwanini kabadilika ananijibu yupo bize niondoe hofu ikabidi nimshirikishe rafiki yangu ambaye nasoma nae hili suala muda tunarudi nyumbani ๐Ÿก, Neema shemeji yako simuelewi siku hizi hayupo kama zamani no care , love sijui kawaje๐Ÿค”.

Unawajua wanaume vizuri wewe usikute kashapata mwanamke mwingine wewe anakuona kama kinyago yaani wewe ilibidi ushituke ile siku anakuambia akupangie mtaani . Halafu kama unanifumbua macho lakini anawezaje kufanya hivyo amewekeza sana kwangu amenisomesha yeye anawezaje kuniacha kirahisi hivyo ๐Ÿค”. Watu wenye hela hawanaga cha kupoteza itakuwa Mungu alimleta kwako kama daraja we jaribu kuchunguza utaniletea majibu rafiki yangu , Sawa kesho tutaonana basi tuliachana na Neema nikarudi nyumbani ๐Ÿก.

Denis alisema akitoka kazini atakuja kunitembelea niliamua niende sokoni kununua mboga ili nije nimpikie chakula kabisa ili akija aondoke ameshiba navyojifanya wife material kumbe mwenzangu ananichora tu ๐Ÿ˜† , nilinunua vitu nikarudi kupika nikaandaa kabisa nashangaa mtu hatokei nikipiga simu ๐Ÿ“ฑhapokei nikaamua tu nimtumie ujumbe labda hatauona nikamtext Denis kesho kuwa nahitaji niende kwake kuna kitu hakipo sawa nahisi ananifichaโ€ฆโ€ฆ.

15

meseji haikujibiwa muda huo huo alikuja kunipigia mida ya usiku nilipokea haraka , Umeshindaje Nelly Denis aliniuliza . Niko salama kwanini unachelewa kujibu meseji ni masaa manne yamepita ? Nilikuwa bize na kazi hapa ndio napumzika , Sawa meseji yangu niliyokutumia umeiona nilimuuliza.Nimeiona unafanya nini sasa hivi Denis aliniuliza nipo nimekaa tu nilimjibu , ok kuna kitu nataka nikuambie japo kwa upande wako itakuwa sio habari njema ila lazima ujue tu sina jinsi,
Habari gani hizo D mbona unanitisha na wewe nilimuuliza huku natetemeka tu.

Samahani sana Nelly wiki hii nina engengment ๐Ÿ’ , Sijakuelewa bado Denis una engengment na nani ? nilimuuliza huku mapigo yangu ya moyo yakienda kasi. Nimetafutiwa mchumba na mama yangu na siwezi kukataa Nelly, nilibaki kimya namsikiliza tu . Nelly unanisikia lakini ? Denis aliniuliza , ndio nakusikia bado sijakuelewa kabisa ni nani huyo msichana Denis hadi amevunja upendo wetu ๐Ÿค”. Victoria ndiye nataka nimuoe mama kasema nimuoe yeye ili tudumishe urafiki zidi ya familia zetu.

Nilivyosikia jina tu Victoria roho yangu iliniuma ni mtoto wa mama yangu wa kambo Iakini si unajua kama Victoria ni ndugu yangu mimi nina tofauti naye gani kwani ulishawahi kumwambia mama yako kuhusu mahusiano yetu๐Ÿค”. Ndio anakufahamu nilimwambia mwezi uliopita Denis alivyoniambia hivyo tu nikajua basi fitina ishafanya kazi yake hata kama nikisema nilazimishe siwezi kutoboa kama waliweza kunisingizia nimeiba hela hashindwi kufanya kingine.

Kwahiyo Denis ๐Ÿค”nilimuuliza , Naomba tukae mbali namba yangu futa sitaki Victoria ajue kama tulikuwa na mahusiano pia kuhusu ada na kodi utamalizia iliyobaki mimi sitaweza kuhudumia sehemu mbili . Denis mbona ghafla sana mimi natoa wapi hiyo hela wakati sina kazi yoyote bora ungenipa taarifa mapema ningejiandaa ,ndio hivyo naomba tu unielewe sitaki dada yako ajue kitu chochote hii ibaki kuwa siri yetu. Sawa Denis ila hujanitendea haki kabisa tumetoka mbali mwaka wa nne sasa unaenda wa tano kama ulikuwa hunipendi ungeniambia kuliko kunipotezea muda ๐Ÿฅฒ.
โœจMwisho wa season one โœจ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15



Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari ๐Ÿš™ lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula cha usiku. Mamkubwa alirudi usiku ๐ŸŒƒ alikuta tayari nimeshapika tayari. Mwenzetu umepata wapi hela ya chakula ๐Ÿค” , Denis alikuja kunisalimia ndio kanipa hii hela amesema anataka anisomeshe unanishauri nini mamkubwa. Kubali tu mwanangu ili utimize ndoto zako si unaona maisha yangu yenyewe hayana mbele wala nyuma labda utakuja kutukomboa . Sawa mama nimekuelewa, ila tu jichunge na mimba utakatiza ndoto zako zote sawa mamkubwa sitakuangusha.
Usiku nilimtumia Denis ujumbe kuwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ila-boss-anajua-kupeleka-moto-11-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending ๐Ÿ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ila-boss-anajua-kupeleka-moto
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

1.71K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO

586
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“

252
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17

68
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

50
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

43
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

6

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.67K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.9K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.84K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema โ€œwewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.โ€ Nikacheka nikisema โ€œupoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

๐Ÿ’ฅKamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahรงe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu ๐Ÿ“ฑ hapo hapo nilishikwa na machungu ๐Ÿ˜” sana nilifuta namba yake kwa hasira๐Ÿ˜กnikaanza kulia ๐Ÿ˜ญ kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari ๐Ÿš™ lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 15 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15 (๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 14 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 13 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 12 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....๐Ÿ‘‡ Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...๐Ÿ‘‡ Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest