Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
Gonga94 · Stories

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

:101
Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.”

Nikacheka nikisema “upoje jini la kitajiri lipoje ushawahi liona.”
Akacheka akisema “sasa kumbe.”
Nikamtazama na kusema “kulikoni upo sawa?”

Akanitazama akaniambia “acha tu mdogo wangu, lakini kwasasa nataka habari za furaha tu kulia leo hapana nikiwa tayari nakuambia.”
Nikasema kwa upole “this is unfair, unajali mambo yangu yako husemi.”

Akavuta pumzi na kusema “hujui tu baby, natamani nisimulie dunia nipate nafuu. Usijali kwakuwa nipo hapa nitakusimulia kila kitu.Nichekeshe.”
Nikatabasamu na kusema “Boss kaninunulia.”

Huku nazitoa, Dee sasa yupo “weeeee usiniambie?”
Nikacheka na kusema “nakwambia leo ni raha sana, aliniita ofisini Dokta si akachukia ila leo nimemtolea uvivu.”
Dee sasa anavyosema “saafi eenh nipe nipe.”

Nikawa namsimulia, nikamsimulia mengi yaliyotokea halafu nikasema “yote hayo madogo, kubwa kuliko shoo, kanileta leo mpaka hapo nje, kaniambia nina tabasamu zuri, na kesho ameniambia tunaenda mahali.”

Dee akacheka akisema “hizi sio habari ndogo ujue, wapi dokta mbona atakufa mdomo wazi jamani. Nikuambie kitu Dokta anakupenda kusema ndiyo hawezi ila anakupenda naona kabisa.”

Nilicheka nikisema “wewe anipende mimi, ila natamani Dokta ajue natolewa out ila sasa Dee nitavaa nini, muanko anapendeza kwanza linanukia kama jini, alivyovalia leo sasa sitaki kusema nichagulie nguo basi.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:102
Dee alinitazam akisema “unachanganyikiwa, hapa tunanunua nguo mpya, date ya maana hii unataka uvae mitumba yako. Hapa tunatafuta nguo unavaa safi na kakiatu nywele zako unabana vizuri hakuna kukaa kinyonge.”
Mimi tena “Dee lakini sasa hela ndiyo tunakusanya tena tununue nguo.”

Dee alisema “acha ujinga, unataka uharibu mambo. Tumvuruge Boss huwezi jua tulia binti. Hayo mambo niachie mimi.”
Nikasema kwa upole “haya mambo yenyewe ni kesho sasa.”

Dee alisema “wewe tulia, lete hapa elfu 40 kama kuna cha kuongeza nitaongeza ila kesho mapema nguo inafika na kuhusu mama muage mapema.”

Nilivuta tu pumzi, halafu nikakumbuka kuhusu dada Maria, nikasimulia. Nakumbuka alisema kwa upole “sitaki hata kutia neno, haya mambo ni kweli kabisa na hatujui tunajitoaje huko. Mimi nachoka.”

Nilimtazama na kusema “mbona kama unajizungumzia?”
Akacheka akisema “usinichanganyie habari za raha na kutisha.”
Mara ujumbe ukaingia kwa simu yangu, kusoma namba ngeni ila nilijua tu mtumaji ni Mr Gallen, Mr Serious wangu.

Nilitabasamu tu aliandika “Hi Boss, Usisahau kesho nakupeleka mahali. Uwe na usiku mwema. Nimefurahia kuwa dereva wako.”
Nilikuwa natabasamu kama kajinga, Dee akanyakua simu, akaanza kucheka akisema “oya wee shemu kama shemu.”

Nikawa nacheka sina mbavu, jamani alifanya siku yangu iwe nzuri sana. Kulala sasa mara niangalie huku, nicheke nisome ile text nitabasamu, natamani kujibu sijui nijibu nini. Hapo dada amelala hana habari. Mpaka kuna kucha mimi nina raha vipi.

Tumeamka, kaka anaenda kanisani. Dee anashangaa akiuliza “huyu ni Baraka?”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:103
Baraka anatabasamu akatuaga zake na kuondoka yaani kaka yangu kapendeza balaa. Nilimtazama Dee na kusema “eenh unashangaa sana.”
Akasema “ukiona hivi ujue Mungu yupo kweli, huyu ni Baraka.”
Nilitabasamu, mara naona mama na mjukuu wake wanatoka wamependeza mimi tena “mbona sielewi?”
Mama alisema “leo kuna mambo yetu ya vikundi kuna shughuli. Naweza chelewa nikaona niende na mjukuu wangu.”
Kama Mungu vile, Dee ananiminya tu kwa furaha. Tuliwaaga huku nikisema “naweza toka baadaye kidogo ila sitachelewa.”
Mama akauliza “na wewe Dee?”
Dee akasema “mimi mlinzi mama msijali mali zipo salama, utajiri wote upo mikono salama.”
Tulicheka tu.

Ilikuwa kama utani vile jambo linaenda kwa urahisi sana. Dee aliagiza nguo ikaja, lilikuwa gauni zuri. Mida ya saa kumi Dee alianza kuniambia nijiandae, kweli mida ya saa 5:30 jioni ujumbe uliingia “dereva nimemuelekeza atakufuata.”

Mimi nafuatwa na dereva kweli au naota. Nilimwambia Dee “Dereva ananifuata.”
Dereva sasa “tushatoboa maisha sie.”
Nacheka sina mbavu, kwa msaada wa rafiki yangu nilipendeza sana. Kila mtu anahitaji rafiki kama Dee.

Mida ya saa 12 na dakika 45 gari kweli ilifika, Dereva alinipigia, nikamuelekeza akaja mpaka nyumbani. Niliagana na rafiki yangu nikiwa na hofu sana. Alinitoa woga na akanisindikiza mpaka kwa gari, nafunguliwa mlango nesi mimi, safari ikaanza.

Ni kimya huko kwenye gari, hatuongei chochote. Mpaka tulifika hotel kubwa sana. Sijawahi hata kufikiria kufika ndiyo nilifika hapo.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:104
Dereva ndiyo alinichukua na kunipeleka alipo Mr Gallen. Aliponiona alisimama na kunifuata akitabasamu. Akanishika mkono na kunikumbatia akisema “Umependeza sana.”
Nilitabasamu.

Basi tuliketi, hapa watu waliopo ni wana pesa jamani, wamevaa vizuri halafu pametulia, natazamana na bahari mimi upepo fulani hivi.
Halafu nikasalimia, akanijibu kwa upendo.

Chakula kililetwa na baada ya hapo aliniambia “nimefurahi umefika. Sijatoka siku nyingi, nikaona nitumie siku hii kusema asante kwaajili ya tabasamu la mama yangu. Sitaki kusema Mengi nashukuru.”

Nilimtazama na kusema “usijali mama yako ni mama yangu.”
Alisema “Ni kweli, mama yangu anakupenda sana. Na anafurahia kuhudumiwa na wewe.”

Mimi tena najibu “ni kweli, ni mama mzuri sana.”
Akaniambia kwa upole “natumai tutazidi kufahamiana, napata shauku ya kutamani kukufahamu zaidi.”

Nilijibu kwa upole na tabasamu “bila shaka, asante sana.”
Akaniuliza “una mahusiano?, au mchumba labda?”
Nilitabasamu na kusema “Hapana!!”

Alitabasamu, mimi moyoni nasema “si useme tu mambo gani ya kuniuliza hayo.”
Nikawa natamani aendelee ila akawa anakula tu na mimi nakula kimya.

Alinitazama baada ya kimya kirefu alisema “mama anakupenda sana, anasema wewe ni binti mzuri sana. Na mimi naona kwanini anakupenda. Ni mpole na mnyenyekevu. Hongera sana.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:105
Nikatabasamu, basi akawa ananiuliza kuhusu Priya nikisema alivyo mtundu anacheka. Ilikuwa saa nne kasoro hivi simu yake ikaita. Alitazama na kupokea akisikiliza kisha alisema “Whaaaat!!”
Hata nilitamani nijue kuna nini, baadaye alisema “Ni wapi?”


Kisha akasema “nakuja sasa hivi!!”
Nikaona nani tena mimi nafurahia yeye ananiletea mambo yake. Alinitazama na kusema “natamani tungeendelea kukaa hapa, lakini kazini kuna tatizo tutapanga tena. Naomba nisamehe.”

Nilitabasamu na kusema “kwa leo inatosha asante sana, nimefurahia sana.”
Alinitazama na kuniuliza “sijakuudhi si ndiyo?”
Hivi huyu anaongea nini, yaani aniudhi mimi, nina ubavu gani wa kuchukia kwake. Nilisema “nimefurahia.”
Akaniambia kwa upole “Dereva atakupeleka.”

Akaita muhudumu, akalipia, akahesabu pesa zingine akaniwekea kisha alianza kuondoka, halafu naona dereva yule pale ananifuata. Eenh jamani nimepewa na hela, sikujua hata bei gani, nikachukua na furaha na kuondoka na dereva huku nafuraha.

Nipo njiani nachat na Dee. Dee ana furahia sana. Alinifikisha mpaka nyumbani, mama alikuwa tayari chumbani kwake. Nilimsimulia Dee, Dee ana furahia akisema “mwanzo mzuri sana, nimefurahi sana.”

Nikatoa hela, Dee anahesabu kwa furaha zilikuwa kama laki tatu na nusu hivi. Akasema “si unaona sasa umepata faida ulivyotaka kuvaa mtumba.”

Nikacheka, wakati nacheka ujumbe uliingia alikuwa ni yeye “Nisamehe sana, nilikuwa bado natamani kuwepo na wewe. Nitafidia.”
Nilitabasamu na kujibu “nashukuru sana. Nimefurahi.”
Basi hakujibu, nililala nikiwa na raha hata siamini.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:106
Kesho yake asubuhi nilijiandaa kwenda kazini na Dee na yeye hivyo tulitoka pamoja. Siku hii sikubeba hata maandazi kwasababu mama alichoka hivyo hakupika. Nilishika njia yangu mpaka kazini. Nilifika mwenyewe nikasalimiana na dada Maria kwa furaha. Vile naingia tu na Boss anatoka. Nilimsalimia tu “shikamoo!!”
Alijibu kwa userious “marahaba.”
Huyo akapita kama sio niliyekuwa naye jana usiku.Nikaguna tu mmh, hawa ndiyo wanalalaga na wadada halafu kama hakujui.

Nikaingia chumbani kwa mama, vile naingia tu mama alianza kwa kusema “eenh, eenh mwanangu nilikuwa nakungoja kwa hamu. Jana ilikuwaje?”

Nikashangaa, mama alitabasamu akisema “usijifanye hunielewi, jana Gallen alisema anakupeleka mahali.”
Nikacheka nikisema “mama jamani ina maana Gallen anasema kila kitu.”
Mama alisema “ulitaka iwe siri, iwe siri na wakati mimi nataka kuona ana furaha eneh ikawaje.”

Nikamwambia tu “mama ilikuwa nzuri, alikuwa ananishukuru kwaajili yako. Alipata Emergency akaondoka.”
Alitabasamu akisema “lakini ulifurahia.”
Nilisema “sana mama, sana.”
Mama sasa “ulivaaje mwanangu, niambie.”
Mimi nasema “mama lakini una nini?”


Mama alicheka na kusema “mwezi ujao natimiza miama 85 mwanangu, nataka nisherekee pamoja nanyi. Sasa mimi najua mwanangu anapenda nini. Kuhusu kuvaa siku hiyo uniachie mimi.”
Nilicheka nikisema “weee kwahiyo mwezi ujao.”
Mama akasema “ndiyo nishasema siku hiyo nataka umchanganye utapendeza balaa.”

Nikasema “ila mama una mambo ujue.”
Akaniambia akicheka “unajua anasemaje, mama yule binti mzuri sana ni mzuri.”
Tukacheka.


NAKUPENDA BILA MIPAKA:107
Hakika ilikuwa ni furaha, akadai maandazi nikamwambia ukweli basi akasema “kesho nataka kuona ukipika, utanitoa hapa.”
Nilitabasamu nikisema “kweli mama?”
Akasema akitabasamu “ni kweli.”
Basi tuliendelea na ratiba kama kawaida hata ikawa jioni mimi nikaaga na kuondoka.

Mr Gallen tangu usiku ule hajanitafuta tena nabaki napitia tu zile meseji. Kesho yake nilifika kazini mapema, nilifanya kazi zangu na Dokta alisema atafika jioni asubuhi ametingwa na ikawa tu sawa. Sikumuona Boss pengine alitoka kabla yangu.

Nilimuhudumia mama, mida ya saa kumi nikamwita Dada Maria tusaidiane kumuweka kwa kiti. Mama alikuwa na furaha akisema “Maria mwanangu nimekumbuka jiko langu, leo nimemwambia nesi nataka niwaone.”
Maria alifurahi sana akisema “mama umelala sana nimefurahi nahisi utani vile.”
Tukawa tunacheka tu.

Tulifanikiwa, mama alifurahi sana. Wote tukaelekea jikoni. Baada ya siku na miaka ya kutoka ya mama kutokuona hata nyumba yake inafananaje siku hii hatua hii ilikuwa ni ushindi. Dada Maria aliandaa vitu, nilianza kukanda. Mama na Maria walikuwa wanaongea wanacheka na mimi nawaunga mkono.

Wawili hawa wanaonekana kuzoeana sana. Ilikuwa ni furaha kwetu sote. Sasa tumemaliza tunasubiri mambo yawe tayari niendelee. Mama ananisifia akisema “hapo Maria akupikie hajui hata kukanda.”

Maria anacheka akisema “mama unanisaliti umesahau zile chapati.”
Mama alicheka akisema “Nazwi mwanangu, zile chapati ni ngumu sitaki elezea, hizo kona sasa.”
Tulianza kucheka.

Masaa mawili yalipita tunafuraha sana. Hata sasa nilianza kukatakata, sasa sijui mama alichoka au nini, nikasikia tu kishindo “ndiiii!!”
Nikageuka, Dada Maria ameanza kulia akiita “nesii, Nesii!!, nesiii!!” Niliacha kila ninachofanya kumkimbilia mama nikiwa nimechanganyikiwa. Huyu mama amefunga macho yake hafanyi chochote. Nilichanganyikiwa nitajibu nini mimi, nitasema nini, nilifika pale nikaanza kumuangalia mama nikiita “mama!!, mama unanisikia!!”

Mama kimya, naangalia kama anapumua sisikii chochote nilisimama nikisema “Mungu wangu!!, Mungu wangu!!,


NAKUPENDA BILA MIPAKA:108
Dada Maria lete simu tupige kuomba msaada.”
Dada Maria alisema “derevaaa, Derevaa!!”

Yaani anatafuta simu anatetemeka, Mr Gallen huyu hapa, kumuona mama yake pale chini alimkimbilia akiita “maaaaaaaaaaaaam!!!, Maaaaaaaaaaaaaaam!!”

Alimkumbatia pale chini mimi nimesukumwa, Dokta alianza kufanya huduma ya kwanza Mr Gallen anamuuliza nini?, Dokta akawa anapiga simu na yeye kachanganyikiwa. Mr Gallen anatokwa jasho. Anaita tu “mamaaa!!, mama Pleaseeee!!”

Halafu akanigeukia akauliza “kwanini mama yangu yupo hapa?”
Mimi machozi namtazama tu, akauliza kwa hasira “kwanini mama yupo hapaaaaaaaa!!!”

Nilitetemeka nikisema “alisema nimtoe ndiyo, ndiyo nikamtoa!!”
Mungu wangu, dokta alifoka akisema “unadhani wewe ni nani?, unafikiri wewe ni nani kwenye hii nyumba. Am asking who do you think you are. Unafikiri unaweza kufanya chochote unajisikia kwa mama yangu.

Upo hapa kumuhudumia ili nikulipe, sio kumuua mama yangu. Upo hapa kufanya kazi kwaajili yake sio kumpa maumivu. Wewe unajiona nani, ni malaika wewe, ni Mungu wewe eemh you are so stupid, stupid. Omba sana mama yangu apone omba sana. Otherwise.”


Mimi hapo nalia, nalia Dokta anamtuliza huku anamuangalia mama huku anapiga simu. Gari ilifika, waliingia kumbeba mama, dokta alikuwa anamwambia Mr Gallen “please relax achana naye huyu please.”

Boss alinisogelea na kusema kwa hasira “omba mama yangu apone.”
Huyu dokta alisema “nilikuonya, fanya kinacho kuhusu tazama umefanya nini sasa, eenh umenikitisha sana.”

Dokta alitoka na wale watu, Mr Gallen ananitazama kwa hasira. Moyo wangu unauma, naumia, nalia , najisikia vibaya, sikutaka iwe hivi, mama alifurahi sana saivi naambiwa who am i, nimekuja kumuua mama niliyempa upendo, nikaanza kujisikia vibaya, nikaanza kuhisi kizunguzungu, nilianza kuanguka, ninachokumbuka ni niliangukia mwilini mwa Gallen.

Mimi Nazwi nilianguka na kupoteza fahamu baada ya maneno makali ya Mr Gallen kwangu. Tena huku uso wangu ukiwa umejaa machozi.😭😭💔💔🙌dah imeishia patam😂😂Tag rafiki yako em aje kupata raha comment zikiwa nyingi kesho naongeza😂😂plz like and commeng ila meseji zenu watsp na dm🤦‍♀️

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108


:101
Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.”

Nikacheka nikisema “upoje jini la kitajiri lipoje ushawahi liona.”
Akacheka akisema “sasa kumbe.”
Nikamtazama na kusema “kulikoni upo sawa?”

Akanitazama akaniambia “acha tu mdogo wangu, lakini kwasasa nataka habari za furaha tu kulia leo hapana nikiwa tayari nakuambia.”
Nikasema kwa upole “this is unfair, unajali mambo yangu yako husemi.”

Akavuta pumzi na kusema “hujui tu baby, natamani nisimulie dunia nipate nafuu. Usijali kwakuwa nipo hapa nitakusimulia kila kitu.Nichekeshe.”
Nikatabasamu na kusema “Boss kaninunulia.”

Huku nazitoa, Dee sasa yupo “weeeee usiniambie?”
Nikacheka na kusema...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nakupenda-bila-mipaka-season-three-101-108

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nakupenda-bila-mipaka-season-three
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

1.33K
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

280
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

242
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

140
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

120
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

74
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

54
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.68K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.64K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼 Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest