๐๐KIJIJI CHA UTAMU๐๐ Sehemu ya 13
(๐)
(HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO)
Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye kiu aliitoa tukapeana ahadi ya kuoana akimaliza shule,
Asubui asubui tulikutana na Alex na hao tukaondoka zetu mjini sasa nashangaa tumefika mjini mama yake Alex alivyotuona akaanza Kulia uku anamwambia Alex.
" Mwanangu utamjua tu mama yako usinifanyie ivyo unajua kiasi gani navyokupenda mwanangu.
( Mimi nilishangaa ila sikutaka kuonyesha nashangaa nini...baada siku tatu Alex akaniambia)
" Mbwana unajua mimi mama yangu alinizaa na akataka kuniua aya ameniambia mama mlezi ila yeye akamwambia asiniue ampe yeye na atamlea...mama yangu alikuwa Changudoa alijari sana wanaume kuliko mimi...sasa mimi nimepewa tu izo taarifa lakini nataka kumjua mama yangu ata kama sasa yule mama mlezi akiona mimi sipo anajua naenda kumtafuta mama yangu inauma sana๐ญ๐ญ.
" Pole Alex mimi siku zote najua yule ndio mama yako mzazi ila sasa usimkwaze yule ni zaidi ya mama yako kwa sababu kakulea je angekuficha na kusema yeye ndio mama yako ungeamini ivyo cha msingi mwambie mama yako alikuwa anajiuza wapi?...ukipata jibu utajua pakuanzia kumtafuta mama yako inawezekana yupo hai au amekufa.
" Mbwana naomba mama yangu awe hai nimuone tu na nitamuuliza maswali magumu sana na ikiwezekana nitampa kisu aniue hili rengo lake litimie๐ญ
" Alex usionge ivyo je ikiwa si kweli alitaka kukuua?...unajua wanawake wa zamani walikuwa na roho ngumu sana nasikia wengine walikuwa wanawasusa watoto kwa baba zao ila wanawake wa siku izi wanabeba watoto wao aya wewe unasema mama tu je baba unamjua?.
" Mbwana nikimjua mama ndio nitamjua baba...mbwana acha niende kesho Basi.
" Poa.
( Dah swala likaniumiza sana akili kumbe Alex anapitia changamoto kubwa sana ya kutokumjua mama yake...siku zikapita Alex akaja kuniaga akaenda kijijini kumla kungwi yani kanogewa...mimi Nikamwambia)
" Mimi siendi mwezi umeshaisha na isitoshe asma analudi.
" Poa mimi nakaa siku tano tu namla kungwi siku tatu mjumbe siku mbili.
" Poa.
( Alex akaondoka...na upande wa asma akarudi akiwa na mama yake..sasa balaa likaja alipoenda shuleni..shule imefunguliwa mwalimu mkuu anaingia shuleni amepaka pafyumu...ile harufu ikamfanya asma atapike kweli kweli...mwalimu akawa na wasiwasi akamwita mzazi wake...yani alienda baba mtu..mwalimu mkuu kwenda nae asma hospital kumpima wamekuta asma ni mjamzito ๐โโ๏ธ...mwalimu anamuuliza baba yake asma)
" likizo ndio mumempa mtoto nafasi ya kuwa huru mpaka anapata mimba?
( Baba asma midomo inacheza cheza kwa hasira anampigia simu mama asma na mama asma akuchelewa alifika pale hospital)
Dah yani...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni