๐๐KIJIJI CHA UTAMU๐๐ Sehemu ya 15
๐๐KIJIJI CHA UTAMU๐๐
Sehemu ya 15
(๐)
(HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO)
Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa...
Alex alikaa kwa kungwi siku 3...na akaenda kwa mjumbe kula mzigo kimya kimya siku mbili... sasa mjumbe akanogewa kwa utamu aliopata akamwambia Alex.
" Umli namba tu naomba unioe.
" Sawa ila ngoja nikirudi kutoka mjini.
" Sawa ila hichi kijiji kimepata baraka.
" Baraka gani iyo tena?.
" Yani unajua ichi kijiji watu wanajaaga kipindi cha kuchezwa wanawake ila kuna mtumishi mmoja wa Mungu ametuwekea kanisa Nia na madhumuni watu tumjue Mungu.
" Hahahahahaha mbona mjini makanisa yapo mengi Sana uku ndio yanaanza.
" Ndio mimi toka nizaliwe sijaenda kanisani na UKUBWA wangu wote huu na mtoto wangu mmoja.
" Sawa inabidi siku moja mtoto aje anijue baba yake.
" Hehehehe nicheke mie aya Alex atakujua ila naomba twende hapo kanisani Leo ndio ufunguzi wa kanisa inawezekana na mwanangu akaja hapo kanisani.
( Alex kwa mala ya kwanza anaenda kanisani akiwa kijijini uko na walipofika kanisani uyo mchungaji aliwapa somo zuri la maisha yao na kila mwana kijiji alifurahia kuwa na kanisa hapo mchungaji alisema maneno aya)
" Kama haupangi maisha yako, maisha yako yatapanga kwa ajili yako".
Mungu alipompa mwanadamu awe na Free will (Utashi) maana yake alitaka mwanadamu mwenyewe aamue juu ya maisha yake yaweje.
UNAJUA Mungu huwa hamchagulii mwanadamu yeyote wa kuume, MKE na pia huwa hamchagulii mwanamke yeyote, MUME. Mwanadamu huyo ana nafasi ya kuchagua mke/mume kulingana na vigezo vyake yeye mwenyewe huku akiomba Muongozo wa Roho Mtakatifu pamoja na wazazi na viongozi wa dini.
KUMBE hata kwenye maisha Mungu huwa hatuchagulii sisi tuishije bali sisi wenyewe tunapewa jukumu la kuandaa mioyo yetu na kwenda kwa Bwana na kumwambia sisi tunapenda kuishi hivi na yeye huongoza njia zetu.
Mithali 16:1,9
[1]Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;
Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
[9]Moyo wa mtu huifikiri njia yake;
Bali BWANA huziongoza hatua zake.
NDIO MAANA NI HATARI SANA KWENDA KUOMBA KWA MUNGU bila kuwa na maono na ndoto juu ya maisha yako, Utamconfuse Mungu na itabidi aanze kukufinyanga kwanza ndio uombe sawasawa na yeye anavyotaka uombe.
Richard Windooo aliwahi kusema
"Kupanga ni mchakato wa kuchagua kutoka katika vitu vingi. Kama hatuchagui kupanga ndipo watu wengine wanapanga kwa ajili yetu"
Watu wasio na mipango madhubuti ni watu ambao watu wengine wanawapangia mambo ya kufanya.
Unauwezo wa kupanga kuwa kazi hiyo unayofanya utaifanya kwa muda gani, na baada ya hapo ukafungua kampuni au biashara ukaacha kufanya kazi za watu.....
WATU WENGI WANAOLALAMIKA hawana mipango juu ya maisha yao, LAKINI MTU MWENYE MAONO HUWA HALALAMIKI.
Haikumsumbua Nuhu kujenga Safina wakati hajawahi kuona mvua, SABABU YA MAONO aliyokuwa ameyabeba kutoka kwa Mungu alipanga na kuanza kujenga safina kwa miaka mingi na baadae yeye na familia yake wakaokoka.
Una nafasi ya kupanga, ili baadae uwe huru kiuchumi....
Una nafasi ya kupanga, familia yako iishi wapi na kwa namna gani...
Umepewa nafasi ya kupanga ni namna gani utaacha kumbukumbu katika maisha ya watu....
Nimalizie kwa kauli ya Dr Myles Munroe alisema
"Kwa hivyo una shauku ya kufanya nini. Unachotaka hasa kama mtu binafsi ni nini? Unatakiwa usimame na kuweka katika maandishi, kiandike, tengeneza mpango na ndipo Mungu anasema " Nitaongoza hatua zako".
( Watu wa kijijini kila mmoja alikuwa ana mipango yake ila akuna mtu aliwai kumwambia mwenzie chochote kwenye kusanyiko lile na kungwi alikuwepo na bibi nacho kungwi alimwambia bibi nacho)
" Samahani naomba unisaidie wazo mimi nilizaa mtoto wa kiume na nikamuacha mjini kwa rafiki yangu na nikaendelea na kazi za kujiuza bahati mbaya yule rafiki yangu tulipoteana mpaka Leo sijui yupo wapi nilikuwa na mpango wa kumtafuta mwanangu ila miaka inaenda naomba bibi nacho unisindikize mjini kumtafuta mwanangu mimi.
" Dah kungwi ulikosea sana je mama yako anajua kuwa unaye mtoto.
" Mama anajua na aliniambia twende ila vikao sasa vya chama na majukumu yamemuandama ana kosa muda yani nakwambia mama ata siku moja apati nafasi ya kuja kwangu pale kunisalimia.
" Sawa ila usiondoke bila kupata baraka za mama yako na hapa kijijini sasa ivi kushakuwa na baraka nasikia na msikiti unakuja hapa hao wakina bibi mbwana wanachota maji msikiti ujengwe.
" Sawa yote mazuri tu ila mimi nisaidie hili kesho twende mjini tukamtafute mwanangu.
" Sawa.
( Alex aliondoka hapo na mjumbe na atimaye Alex akarudi mjini)
Upande wangu sasa mimi naenda zangu kutembea naonana na asma ananiambia,
" Mbwana kimbia kwenye huu mji mimi nina mimba ata ivyo nimekimbia wazazi hospital naomba utoroke kwenye huu mji.
( Jamani niliisi mkojo si mkojo yani ata sijielewi nakimbilia wapi mimi Nikamwambia)
" Naomba usinitaje asma naomba sana acha nitoroke tu.
" Sawa wewe kimbia mimi naenda uko juu nijue natokaje hapa mjini.
( Wakati asma anataka kuondoka tu mama yake anatokea yupo na taiti tu anamkamata mwanawe na anamuuliza)
" Asma uyu ndio amekupa hii mimba.
( Asma ananiangaria ajajibu hapo hapo mama mtu alimpa Kofi moja asma na asma wenge la Kofi si akasema)
" Mama ndio.....
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni