Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
Gonga94 · Stories

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO......

Ethan akazungumza

"Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??"

"Ni mama.."

Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi

"Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto out huku kila ukienda misele umletee zawadi mbona atamsahau huyo mumewe.."

"We Ethan wewe, ushauri gani unampa mwenzio..??"

Idress alimuuliza Ethan, Jamani msichokijua huyu Ethan huyu ni moto wa kuotea mbali muoneni hivi tu huyu kijana ameanza mapenzi kakiwa bado kadogo yani kana miaka kumi tayari kashabikiriwa

Na sijui hata kalijifunzia wapi haka kajamaa, sasa kitendo cha kunipa ushauri wake kidogo nikawa nimeupokea na kuuweka akilini

"Sasa unataka nimwambie nini??, harafu we nae Frank unamuamini mama hovyo hovyo sana hata kujiuliza tu hapa anatafuta nini kama ni mama watoto na ana mume si saivi angekuwa kwa mumewe huko.."

"Ethan mama ameniambia kwamba, alimtoa huko ukweni kwake kwa sababu walikuwa wanamtesa sana.."

"Ohoooo sasa hapo ndio napapenda mimi, chakufanya zingatia niliyokwambia ndani ya week moja mtoto ataanza kukuelewa na kumsahahu huyo mumewe tena ambavyo alikuwa anateseka mbona fasta tu...."

"Kweli..??"

Niliuliza huku nikiwa siamini amini

"Yap fanya hivyo sasa..."

Frank mimi nikapata nguvu mpya nikanyanyuka na kujinyoosha kwanza na muda huo nikamuona Zuri akiwa anakuja seblen na kapu la nguo chafu.

"Unashangaa nini nenda kamsaidie..."

Ethan aliniambia, eeeh me nawezaje eti jamani , mtu nimetoka kumgombeza saivi tu harafu niende nikamsaidie si ataniona mimi namshobokea.

Nilichofanya hapo ni kutulia tu na wala hata sikujishughurisha na kwenda kumsaidia hizo nguo, nilimuacha tu akanipita kama hanioni vile walah nilikuwa naumia

"Yani we Frank unaniboa kabisa, sasa badala ya kwenda kumsaidia pale unamuangalia tu.."

Ethan alianza kulalamika

"Ethan we hujui tu, yani nimetoka kumgombeza saivi harafu niende nikamsaidie si ataniona kama mjinga.."

"Aaagh unazingua bana.."

"Acha nizingue ila kwa hili hapana kwa kweli.."

Nilisema kisha nikashika njia na kwenda chumbani kwangu, nikimuacha Ethan analalamika hatari, huyu kijana anapenda sana kunilalamikia na huku mie ni kaka yake.

Baada ya mimi kuondoka pale sebleni, Ethan alitoka nje na kwenda sehemu ambapo alikuwa Zuri na kufika akaa pembeni yake

"Nakuona binti.."

Ethan alizungumza

"Ethan siko sawa, naomba uondoke hapa.."

"Ah usiwe hivyo Zuri, unajua wewe ni binti mzuri lakini pia uko na adabu sana so usiruhusu kabisa hasira zikae ndani yako.."

"Ethan ondoka.."

"Lakin.."

"Ondoka nakwambia.."

Ethan kinyonge alinyanyuka na kuondoka huku akiwa anatazama nyuma kama Zuri atamuangalia au kumuita.....

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8



SONGA NAYO......

Ethan akazungumza

"Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??"

"Ni mama.."

Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi

"Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto out huku kila ukienda misele umletee zawadi mbona atamsahau huyo mumewe.."

"We Ethan wewe, ushauri gani unampa mwenzio..??"

Idress alimuuliza Ethan, Jamani msichokijua huyu Ethan huyu ni moto wa kuotea mbali muoneni hivi tu huyu kijana ameanza mapenzi kakiwa bado kadogo yani kana miaka kumi tayari kashabikiriwa

Na sijui hata kalijifunzia wapi haka kajamaa, sasa kitendo cha kunipa ushauri wake kidogo nikawa nimeupokea na kuuweka akilini

"Sasa unataka nimwambie nini??, harafu we nae Frank...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/in-love-with-zuri-chapter-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi in-love-with-zuri-chapter
IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.29K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.01K
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

310
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

309
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

96
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

88
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

3
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.64K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.55K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.68K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema “mimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest